The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Toka Jumatatu team ya watu 13 wamepambana sana kutembea sehemu mbalimbali kusimamisha hii game. Tumeenda Morogoro, Tanga, Zanzibar, Mtwara na Tabora. Matokeo ambayo tumepewa ni ya kuridhisha.
Mkia anachapwa first leg na 2nd pia hafanikiwi. Kombe linaondoka. Wazee wamepambana sana. Simba...
ARUSHA NI VITA YA EGO; MAKONDA VS GAMBO
JIVISHE uhakimu, andika hukumu ya Paul Makonda. Ametumwa na Rais Samia Suluhu Hassan, kwenda kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha. Mkuu wa mkoa ni nembo ya rais. Matarajio ya Rais Samia kwa Makonda ni kumsaidia kazi na kutunza misingi ya uongozi wake ndani ya jiji...
Nimesoma taarifa ya polisi kuhusu kukamatwa kwa mfalme Zumaridi imenishangaza sana.
Lini polisi badala ya NEMC wameanza kushughulikia uchafuzi wa mazingira kwa kelele?
Lini katika nchi hii imekuwa kosa kisheria mtu kujisema yeye ni mungu?
Kwa muda mrefu sana polisi wamekuwa wakijishughulisha...
Niko njombe kwenye mishe zangu.
Baridi ikiyoko hapa sio ya kitoto.
Nimepita muda si mrefu hapo karibu na soko kuu nimewaona walinzi hapo sokoni wako lindo, wamewasha moto wanaota.police nao wako doria kama kawaida
Nimetafakari sana ,kwa jinsi hii Baridi inavyopiga hapa halafu hawa watu wao wako...
Tangu 2012 Marekani imekuwa ikifanya juu chini kuiangusha HUAWEI bila mafanikio.
Hivi karibuni HUAWEI ilizindua A.I chip ya hali ya juu iitwayo Ascend 910C ambayo imekuja kuichallenge ile ya NVIDIA.
Kuna wasiwasi unaoongezeka kwa Marekani kwamba hivi karibuni China itakuwa ikiuza AI processors...
Nasikitika kuwapa taarifa members wenzangu wa humu kuwa,
Leo tumepokea taarifa rasmi mbaya kuwa mtoto wetu wa miezi sita tuliemtarajia na kumsubiri kwa hamu sana anatakiwa kutolewa tumboni baada ya missed abortion.
Ni taarifa mbaya kiukweli nadhani niishie hapa tu.
Wanabodi,
Hii ni Makala yangu ya gazeti la Mwananchi.
Leo, naendelea na zile makala za Ijue Katiba ya JMT, nikijikita kwenye kitu kinachoitwa Sovereignty, huu ni uhuru wan chi, kutoingiliwa kwenye mambo yake ya ndani. Nimeileta mada hii baadab ya kusikia malalamiko ya baadhi ya Watanzania kuwa...
Wengine tuna jicho la kuangalia mambo kwa umakini mkubwa na tunapotoka hadharani kusema kitu fulani kina uwezekano mkubwa wa kutokea tunakuwa tumeshajiridhisha.
Mara kwa mara nimekuja humu jukwaani nikasema kuna umakusudi unafanyika katika kukwamisha ukarabati wa pale uwanja wa Mkapa. Juzi juzi...
Wakuu nadhani mko salama,.
Ntajaribu kutumia codes isijekua wahusika wako humu nikawa nimechomoa betriii,.
Ni hivi,.
Kuna last born wa bibi yetu ambaye mwaka huu mwezi9 anatarajia kufunga ndoa,. Yaani process zote za uchumba na mahari zishafanyika na kamati zishaundwa watu tunaendelea tu...
Nimeangalia Katuni ya Masud Kipanya na nikastuka ni kwa nini anawatoa usingizini CCM. Ina maana Kipanya hajui kuwa Kuna msemo wa kiswahili usemao "aliyelala usimuamshe..."?
Kwa kweli Kipanya katukosea wanachadema kwa kuchora katuni ambayo itawafanya CCM wabadili njia zao za kupambana na...
RAIS STUBB - UMUHIMU WA USULUHISHI, MARIDHIANO, AMANI NA HAKI
Hotuba ya rais Alexander Stubb jijini Dar es Salaam akiendelea na ziara yake nchini Tanzania
Rais wa Jamhuri ya Finland
Picha: Matti Porre/Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Finland
Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Finland Alexander Stubb...
ANAANDIKA Mh Heche makamu mwenyekiti CHADEMA TAIFA
Huyu kijana Kenani Kehongosi ni Sabaya mwingine.. Huyu ni kijana amedhuru watu wengi sana.
Ameruhusu madaraka yamvae na kwasababu hana uwezo anafikiri kujipendekeza kufanya hujuma kwa wapinzani kunampa sifa kwa boss wake.. namkumbusha tu...
ASILI ni mafumbo.
Ikiwa wanakuonea sana nanguvu za kupigana nao huwezi.
Mwanao mtaani imekua yeye ndio kama mpira wa kuchezea!
Usijari solution yake ni! (KIKUNTI)
Wale watu wa kigoma wanaelewa vizuri sana hii nizaidi ya kupigana nawatu10 nawote waamue kukimbia sana baada ya kutambua kwamba...
Wakuu naombeni msaada wa kisaikolojia aisee nina hofu ya kifo hali inayopelekea kutofanya kazi kwa ufanisi na hali inayopelekea nishindwe kujiamini na kushindwa kutafuta pesa kwa nguvu wakuu
Wakuu nina hofu kubwa ya kushindwa Sana na nakosa confidence Sana naombeni msaada wa kisaikolojia wakuu...
Watu wengi wanaogopa kile kisichojulikana kwa sababu kuu tatu za msingi:
1. Akili hupenda uhakika
Akili ya mwanadamu imeundwa kutafuta usalama na utulivu. Haijisikii salama inapokutana na kitu ambacho haijakielewa au haijakikadiria. Kitu kisichojulikana kinawakilisha hatari inayoweza kutokea...
Nilikuwa ninasafiri kwenda Shinyanga, kufika maeneo ya pale Puma Singida, kuna picha imetundikwa kando ya barabara ya Mbunge Elibariki Kingu wa Singida Magharibi akiwa kapiga na Mheshimiwa Rais. Basi abiria tuliokuwemo mle baadhi wakaanza kuzizomea hizo picha kwa disappointments.
Maneno...
Aisee kuna sisi tunachelewa sana kurudi nyumbani hivyoo ata muda wa kukaa kuangalia Tv inakua shida. Sasa binafsi hua mara nyingi najikuta natazama taarifa ya habari ya UTV Ile ya Azam saa 6 marudio ya Ile ya saa 2. Baada ya taarifa ya habari Kuna kipindi kinafuata kinaitwa Playlist.Host wake...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.