sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Nimetoka kumzika rafiki yangu aliyefariki akiwa 33 years. Aisee, imeniuma sana

    Wakuu nimetoka kumzika rafiki yangu 33 years Mwanzo sikuwa najua Kama mtu wa miaka 33 anaweza kufa Tena kwa sukari. Aisee huu msiba umenipa fundisho kubwa Naomba Kama una nafasi ya kumrudia Mungu mrudie fanya ibada za kweli. Kama unaweza kusaidia watoto kwenye vituo vya watoto yatima...
  2. JamiiForums Tanzania Vijana nyie wajinga sana

    Kuna kijana wa humu kanifuata , anataka nimuunganishie mchongo, nikavuta simu moja kwa mwanangu tajiri wa mwanza akampa dogo babashoap, dogo alikua anakula zaidi ya 400k bila wasiwasi kusimamia tu, yeye akusanye tu maokoto ya boss , now boss wake ananipigia simu dongo miyeyusho, analeta...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Stendi ya Segerea - Dar kimeo sana, miundombinu mibovu, mvua ikinyesha ndio balaa kabisa

    Miundombinu ya Kituo cha Segerea ni mibaya, kwa ufupi imeharibika, hii si mara ya kwanza Wadau tunawasilisha kero hiyo hapa JF lakini nadhani watakuwa wanachukulia poa na kuona wao haiwahusu kwa kuwa tunaoteseka ni sisi wa kipato cha chini tunaotumia daladala, wao wanatumia magari ya bei kubwa...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania tukikubali maridhiano na CCM tutakuwa watu wa ajabu sana. Damu ya Polepole itatulilia hadi kaburini

    Watanzania wenzangu lazima tujitofautishe na wanyama ambao pengine hawana kumbukumbu wala utashi. Polepole alituambia kabisa kwamba kuna wazee wamepangwa kuja kufacilitate maridhiano baada ya uchaguzi wa 29 October 2025. Just imagine Balozi Humphrey Polepole alitufungua macho kuhusu script ya...
  5. JamiiForums Tanzania Ya leo kali Mtoto BBL kanitembelea kaniacha na uchovu balaa, nilimiss sana za Kiafrika Jotroo

    Hatari sana leo Nimetembelewa na mtoto heavy ndo mambo yangu Lakin tunamalizia niende viwanja Kwanza tuka swim , tukapunga upepo kwa pool , sasa hivi nimpeleke maeneo, Maana ni mgeni, nauli nimempa mimi kutoka Dubai hadi hapa maana anaishi Dubai Mimi Raha hizi Jamani
  6. A

    JamiiForums Tanzania KERO Halmashauri ya Mji wa Mbulu inatunyanyasa Watumishi wake kwa kutunyima haki zetu za msingi

    Watumishi wa Halmashauri ya Mji wa Mbulu, Mkoa wa Manyara, tunaomba msaada wenu kufichua changamoto na madai yanayoikabili halmashauri yetu. Tumekuwa tukikumbwa na uongozi usioridhisha kuanzia ngazi ya madiwani, Mkurugenzi hadi wakuu wa idara mbalimbali. Kwa mtazamo wetu, viongozi hawa...
  7. JamiiForums Tanzania Ninaumia sana yanayoendelea Jumuiya ya Madola

    Ndugu Zangu. Ninaumia sana kwa yanayoendelea Tanzania kwasasa hususani suala la Jumiya ya Madola. Binafsi mimi sikubaliani na Mengi kuhusu serikali yetu. yaani ukiweka kwenye mizania ninayoyakataa kuhusu serikali ni mengi kuliko yale ninayo yakubali. Yapo mazuri yanayofanywa na yapo mambo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watu wengi sana wanatamani biashara ya madini wanapowaona matajiri lakini wanafichwa mengi, hii ni biashara katili sana

    Ni moja kati ya biashara ambayo wabongo wanajihusisha sana na NDUMBA, hata uwe msomi kama utahitaji kujimix na hao watu, kwao ndumba kwanza vingine vitafuata, usipokuwa tayari ni ngumu kupewa ushirikiano Inahitaji uwekezaji mkubwa na bado hakuna gyarantee, unaweza kuwekeza milioni 100...
  9. JamiiForums Tanzania Wambieni Wenye uzuni tuulizeni Sisi mwenye majeraha Israel Bony anajua Sana

    Watawala wanakiwa kusikilizia sana hii ngoma
  10. JamiiForums Tanzania Sex inamdhalilisha sana mwanamke

    Tendo la sex linamdhalilisha mwanamke na kumfedheesha sana Jinsi anavyoshughulishwa wakati wa kufanya sex, , abinywee, akunjweee, daah alaf ukute apewi pesa daah sex haipo fair Kwa mwanamke ni kweli Kama nature imetaka hivyo Kuna sehemu imemuonea mwanamke kibaya zaidi apate mimba akazae aingie...
  11. JamiiForums Tanzania Wananchi wa North Korea wanaishi kwa mateso sana

    Unaambiwa kila nyumba inatakiwa kuwa na picha ya bab wa taifa na picha ya kiduku. Ikitokea nyumba imeungua na kuna mtoto ndani ni bora kuokoa picha ,wakija wakakuta picha zimeungua na umeokoa mtoto au mtu asiue jiweza wewe ni jera. Mtu akifanya makosa basi familia yenu itahukumiwa mfano...
  12. JamiiForums Tanzania Hivi TTCL mbona mnarukia mambo sana

    Fiber yenyewe sehemu za mijini mjakizi sasa mnataka kushindana na google.
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jaman naombeni muongozo wa biashara ya ya chipsi Changamoto na faida na mengine Asanteni sana🙏🙏

    Jamani naombeni mwongozo wa biashara ya chipsi Changamoto,faida,hasara na mengine nisiyoyajua Asnteni..🙏🙏
  14. JamiiForums Tanzania BBC Africa imeachia Documentary mpya kuhusu Tundu Lissu. Mke wake Lissu Alicia nae yumo

    Wakuu, Hili suala la Tundu Lissu limeendelea kutuchafua Tanzania Kimataifa Documentary za aina hii tushazoea kuziona zikifanyika kwenye Banana Republics kama Burundi, Sudan na kwingineko lakini leo inafanyika Tanzania Kwa Documentary kama hizi, watu kama Dangote watakuja kuwekeza Tanzania...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri usisake mke Mtandaoni, pitia hapa kabla hujapotea yaan hata huyo demu uko naye kama yuko mtandaoni IMEKULWA SANA

    Unatafta Mke JF au mtandao mwingine ? Mkuu umepotea Kwanza Mpaka mke aje kupatikana mtandaoni ni ama we una shida au na anayepatikana mitandaoni ana shida kulingana na wanaomjua live life , Kama unataka mke wa kukaa naye miaka nenda rudi angalia huko mtaani kwako ! Hawa wa mtandaoni ukikagua...
  16. JamiiForums Tanzania Chuki iliyokuwa nchini hapa ni kubwa sana. Tunajiponyaje?

    Ukianza kwenye music kuna chuki hatari huyu haimbi na yule, yaani miaka 30 ya bongoflava watu wengine muhimu hawapo? Wamebanwa? Au kuna chuki Siasa nako ndio hatari Ndugu ndio usiseme Nchi hii itaonekana
  17. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wastaafu, hasa walimu, kurandaranda kwenye mabaa na kuombeleza pombe ni picha mbaya sana

    Unakuta mtu alipokuwa mtumishi alikuwa busy anakula pombe na watumishi wenzake. Baada ya kustaafu anakuwa anazunguka kwenye mabaa na kuombelez pombe kama omba omba Hii ni picha mbaya sana. Hasa kwa waalimu.
  18. JamiiForums Tanzania Watu wanajihusisha na mambo yao; Ni wewe tu unawawazia

    Ukitaka kufahamu uhakika wa kichwa cha habari nilichoandika tafakari juu ya mtu anapokufa waliobaki huwa wanafanya nini? (Jiulize tu kwa dhati ya moyo wako na ujijibu). Jibu la swali hilo ndiyo uhakika wa maisha yalivyo. Ni wewe tu umekaa unawawazia wao ila kwa hakika watu wana mawazo yao na...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mambo ya kimataifa yanakwenda taratibu lakini yana madhara makubwa sana serikali zindukeni

    Haya mambo huenda taratibu sana lakini madhara ni makubwa Jumuia ya madola ilimtuma Chakwera viongozi wetu wakampiga siasa wakajua wamemtuliza kumbe aliandika hati chafu leo hii tunaona tamko la jumuia Najua kama kawaida yetu na serikali sikivu hii watakuja watu kede kede kuifokea...
  20. JamiiForums Tanzania Hivi mnafahamu wenzetu wanamaisha ya raha sana unaweza kuishi na jirani wala usimfahamu kuwa ni kiongozi

    Wenzetu wanamaisha tofauti na huku afrika.Unaweza kupishana na kiongozi mkubwa mtaani wala usimjue kabisa. Wenzetu wamejijengea kutofautisha kazi na nzengo. Sio wote ambao wanafanya hivyo ila wengi wao wanataka kuishi hivyo. Kuna vyeo vinaweza kukufanya kuwa tofauti ila vyeo vingi kwa wenzetu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…