samsung

  1. Okwaaa

    JamiiForums Tanzania Samsung A10s

    Simu Samsung A10s inauzwa. 1 Dual camera- 13MP +2MP dual rear camera na 8MP front camera 2 finger scan- well functioning 3 warranty- 2years but used 3 months mpaka sasa 4 Octa core processor 5 Network-4G LTE 6 32GB memory and 2GB RAM 7 BATTERY. Inavumilia sana chaji siku...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy A10s inauzwa

    Habari zenu wadau, nauza simu yangu ya samsung A10s kwa bei ya 210k napatikana Mbagala Dar es Salaam iko poa kwa kila kipengele
  3. Kisoda James

    JamiiForums Tanzania Nina 300,000 nataka TV Samsung inchi 32, nipo Pugu Dar

    Nina 300,000 nataka TV Samsung inchi 32 nipo Pugu Dar
  4. Tomaa Mireni

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vitu vya ndani, Sony Hi-Fi music, Samsung TV bei ya January

    Sony MHC-RG310 bei yake 350,000 Samsung TV nchi 32 bei 350,000 Kitanda cha chuma na godoro lake 400,000 godoro nchi 8 Vyote tuchekiane 0685008131
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna toleo la Samsung S7 lenye storage ya 128 GB?

    Wakuu, Kuna tangazo nimeona huko FB, kuna simu inauzwa ni Samsung S7 lakini storage ni 128 GB Asa nauliza hivi kuna Samsung S7 ya aina hiyo?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kuroot samsung A2 core

    Habar wadau Nisiwachoshe nina samsung a2 core ipo poa ina android 8.1 sasa kuna vitu inaniboa mfano haina dark mode wala galaxy theme ivo nakuwa sina uhuru sn pia haina LTE only feature so nataka niroot kisha ni update iwe android 10 niweEaeti dark mode na kuchagua theme itayopenda kwenye...
  7. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Vioo vya Samsung kuanzia S6 Edge ni vya hovyo sana

    Pomoja na Tech nzuri ya Super Amoled, vyenye mwanga mng'aavu, Vioo vya hizi simu ni mtihani sana kwa watumiaji. Yaani kuanzia toleo hilo na kuendelea vioo vinaweka mistari bila sababu ya msingi kama TCL. vipo so delicate, weka liquid protector ongezana Glasi protector lazima vikutafutie sababu...
  8. astalavista

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung Galaxy m11, 250K

    Nimetingwa jamani, nauza simu yangu ninayoitumia. 250000/= Samsung Galaxy m11 32Gb internal Memory. 3 Ram Triple Camera. Battery 5000mAh. Imetumika miezi miwili. Hizi simu zimeingia sokoni May 2020. Location, Kimara. Karibu PM. Shukrani.
  9. Raniyah1994

    JamiiForums Tanzania Programu ya Chombo cha Samsung haifanyi kazi

    Je! Kuna mtu yeyote hapa ametumia zana ya Samsung (toleo la Windows) kufungua vifaa vyovyote vya Samsung? Hivi majuzi nilipakua programu hii kwa kompyuta yangu. Lakini siwezi kusakinisha hii kwenye kompyuta yangu kwa sababu inahitaji nywila. Hakuna faili ya maandishi iliyoambatanishwa na faili...
  10. kidadari

    JamiiForums Tanzania Samsung "A series" ni simu zenye ubora hafifu; kuwa makini

    Kwa wale wanaotaka kubadili brand na kwenda brand maaarufu kama Samsung kuweni makini hasa kwenye Samsung A series". Ukifuatilia kwa makini utagundua kampuni ya Samsung wametoa A series kwa ajili ya wateja wanaotaka kumiliki brand ya Samsung ila bajet yao ndogo ila kiukweli Samsung A series...
  11. HiSilicon

    JamiiForums Tanzania Report: the Huawei P50 will use Kirin 9000 chips, Samsung and LG OLED displays

    With the Mate 40 flagships out of the gate, Huawei is moving its attention to the P-series – despite US sanctions disrupting its supply line, the company is on track to launch the P50 phones in the first half of 2021. This means the P-series may keep to its usual March/April launch time frame...
  12. Ryzen

    JamiiForums Tanzania Samsung S9, note 8 na A50

    Nataka tusaidiane na tupeane maarifa na ujuzi kuhusu Simu za samsung hasa hizi flagships za miaka ya nyuma kama S6, S8, Note 8 na S9 ambazo zinauzwa hapa Tanzania miaka kadhaa baada ya uzalishaji kupita! wauzaji wengi wanadai hizi simu wanazouza ni mpya.. yaani wameimport brand new phones kutoka...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Kioo cha Samsung S8+

    Natafuta mtu anayeweza kuniuzia kioo cha Samsung S8+ nna 230k
  14. T

    JamiiForums Tanzania Samsung refurbished

    Samsung zilizoandikwa jina la toleo kwa nyuma ni rufurished phone? Mfano hapo juu galaxy s8+ Chief-Mkwawa Bavaria mtz one kcamp Nafaka mkorinto na wengine karibuni mtoe experience zenu kuhusu refurbished phones
  15. Mgalula MzTz

    JamiiForums Tanzania Samsung s6 ya kubadili kioo- nipe offer yako

    Nauza samsung s6 - kioo cha kubadilisha. Piga 0712 668190 unipe offer yako Mbezi kimara-Dar
  16. Kilimbatz

    JamiiForums Tanzania Wapi naweza ipata samsung A 80?

    Miye ni mapenzi mkubwa wa Simu za kampuni tajwa hapo juu. Nimefanikiwa kutumia baadhi ya Simiu zake, Lakini ndoto yangu ilikuwa kumiliki samsung a80, Je, bado zipo kwenye stock na kwa sasa bei yake ni shs ngapi?
  17. MR_LAWTON

    JamiiForums Tanzania Jipatie Samsung Flat Tv Inch 32

    Jipatie Samsung flat led tv inch32 full HD..Tv ni mpya ndani ya box inakila kitu. Bei: Tsh 320,000/= Piga / SMS: 0657333769
  18. Kaka Sai

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kioo cha Samsung Galaxy S7 edge kilichotumika

    Mwenyekioo cha hii simu anicheki haraka, Kiwe used. Offer chini ya 100k. Maeneo ya Dar, Moro na Dom tunaweza kuwasaliana kwa haraka zaidi. Mawasiliano 0715175518.
  19. Almendezz

    JamiiForums Tanzania Samsung na LG kutowauzia display HUAWEI

    Tarehe ya mwisho ya Septemba 15 inaonekana inazidi kutisha kwa Huawei - laini ya usambazaji ya kampuni hiyo itapungua pamoja na kukatwa kutoka kwa supplier wa chip wa TSMC. Reuters inaripoti (ikinukuu media ya Kikorea) kwamba Samsung Display na LG Display zinatarajiwa kusitisha uuzaji kwa...
  20. T

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Samsung na LG wasitisha kuiuzia Huawei vioo 'screen panel displays'

    Kampuni za electroniki za Samsung na LG zimesitisha rasmi mkataba wa kuiuzia kampuni ya Huawei vioo au screen panels zinazotumika kwenye simu. Kampuni ya Samsung ndiyo muuzaji mkubwa wa vioo vya simu ama display za OLED, AMOLED na LCD zinazotumika kwenye simu nyingi Duniani. Samsung na LG...
Back
Top Bottom