Hatimaye Samsung na LG wasitisha kuiuzia Huawei vioo 'screen panel displays'

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,456
17,191
Kampuni za electroniki za Samsung na LG zimesitisha rasmi mkataba wa kuiuzia kampuni ya Huawei vioo au screen panels zinazotumika kwenye simu.

Kampuni ya Samsung ndiyo muuzaji mkubwa wa vioo vya simu ama display za OLED, AMOLED na LCD zinazotumika kwenye simu nyingi Duniani.

Samsung na LG wamesema wanasitisha mkataba ili kuendana na matakwa ya Marekani ili wasikabiliane na vikwazo vya Marekani

Marekani imetishia kampuni yoyote Duniani kuiuzia vifaa Huawei bila kibali chake itakabiliwa na vikwazo vya kiuchumi na kuifilisi.

====
(Reuters) - Samsung Electronics' (005930.KS) display unit and LG Display Co Ltd (034220.KS) are expected to stop supplying panels for premium smartphones to Huawei Technologies [HWT.UL] due to U.S. restrictions, South Korean online media Chosun Biz reported on Wednesday.

Samsung Display, which counts Samsung Electronics and Apple (AAPL.O) as major customers for OLED display screens, declined comment.

LG Display said in a statement the U.S. move will have a minimal impact on the company given its limited panel shipments to Huawei, adding it will continue to diversify its customer base.

The U.S. further tightened restrictions on Huawei in August, banning suppliers from selling chips made using U.S. technology to the Chinese telecom giant without a special license.

Samsung Display and LG Display decided to stop the supply to Huawei from when the restrictions take effect on Sept. 15, as the ban includes chips needed to operate displays, and orders from Huawei do not take up a large portion of their business compared to customers like Apple, Chosun Biz reported, citing industry sources.

REUTERS
 
Kampuni za electroniki za Samsung na LG zimesitisha rasmi mkataba wa kuiuzia kampuni ya Huawei vioo au screen panels zinazotumika kwenye simu.

Kampuni ya Samsung ndiyo muuzaji mkubwa wa vioo vya simu ama display za OLED, AMOLED na LCD zinazotumika kwenye simu nyingi Duniani.

Samsung na LG wamesema wanasitisha mkataba ili kuendana na matakwa ya Marekani ili wasikabiliane na vikwazo vya Marekani.

Marekani imetishia kampuni yoyote Duniani kuiuzia vifaa Huawei bila kibali chake itakabiliwa na vikwazo vya kiuchumi na kuifilisi.
Wamechelewa sana hili jambo la huawei kutoka vita ya
1) Hisilicon chip kushinda (hata hile air malysia ilipotoea kuliwa na wataalamu waliokubali kufanya na huawei r.i.p wataalamu).

2) Google kuminya app ya playstore China walijipanga na kuja na mkakati sio lazima kuwa na kiambata cha app ya playstore ila playstore inaweza kuwa kama app zengine kuchangia kwenye mfumo. Kudadeki hapa vita mmarekani mwenyewe jasho limemtoka

3) Huawei hana teknolojia ya vioo sasa ana teknolojia yake ambayo hipo kimya na sio kila jambo kueleza kwa maadui.ambayo teknolojia hii ya vioo ndio inatengeneza copy tunazo uziwa Tanzania mfano zile za samsung, lg n.k zikiwa ni na mifumo ya TFT, HD-TFT n.k

Huawei sio wa kumdhoofisha na mbinu hanazo kuja nazo hata apple atasubiri
 
Mkuu mchango wako ni mzuri ila jifunze kutofautisha A na H, jifunze kutofautisha matamshi ya herufi A na herufi H.

Ahsante.
 
Wamechelewa sana hili jambo la huawei kutoka vita ya
1) hisilicon chip kushinda (hata hile air malysia ilipotoea kuliwa na wataalamu waliokubali kufanya na huawei r.i.p wataalamu).

2) google kuminya app ya playstore ,china walijipanga na kuja na mkakati sio lazima kuwa na kiambata cha app ya playstore ila playstore inaweza kuwa kama app zengine kuchangia kwenye mfumo. Kudadeki hapa vita mmarekani mwenyewe jasho limemtoka

3) huawei hana teknolojia ya vioo sasa hana teknolojia yake ambayo hipo kimya na sio kila jambo kueleza kwa maadui.ambayo teknolojia hii ya vioo ndio inatengeneza copy tunazo uziwa tanzania mfano zile za samsung,lg n.k zikiwa ni na mifumo ya TFT,HD-TFT n.k

Huawei sio wa kumzoofisha na mbinu hanazo kuja nazo hata apple hata subiri
Hata sijaelewa umeandika nini
 
Kampuni za electroniki za Samsung na LG zimesitisha rasmi mkataba wa kuiuzia kampuni ya Huawei vioo au screen panels zinazotumika kwenye simu.

Kampuni ya Samsung ndiyo muuzaji mkubwa wa vioo vya simu ama display za OLED, AMOLED na LCD zinazotumika kwenye simu nyingi Duniani.

Samsung na LG wamesema wanasitisha mkataba ili kuendana na matakwa ya Marekani ili wasikabiliane na vikwazo vya Marekani.

Marekani imetishia kampuni yoyote Duniani kuiuzia vifaa Huawei bila kibali chake itakabiliwa na vikwazo vya kiuchumi na kuifilisi.

Samsung, LG Display to stop supplying panels to Huawei due to U.S. restrictions: Chosun
Baraka za wazungu, itabidi waamini kuwa mzungu wa USA ni hatari
 
Kwani Marekani wana supply nini kwa Samsung na LG hadi wa comply na vikwazo??..

Mchina ni mbishi, lakini wenzie walishamtangulia kitambo sana!

Kinachomsumbua mchina ni kuwa yuko peke yake hana alliances za maana duniani!, na sisi waafrika ametuogopesha, hatumuamini sana kutokana na ubaguzi wa rangi wa kutisha aliotuonyesha kipindi cha korona.

Sasa wazungu wana umoja, wanateteana, wanasikilizana, hata wakitofautiana kuna maslahi ya pamoja wanakubaliana!

Aliyekuwa anatishia ubabe wa mzungu duniani ni mchina, sasa wameamua kumpunguzia kasi kidogo
 
Umoja wa ulaya ndio bado hawajawa na msimamo wa pamoja kuhusu China, wakiwa na kauli moja, maana yake China ulaya hana chake, Asia nchi karibu zote ana mgogoro nazo, Japan, Taiwan, Philippines, India. Ukija Australia ndio kabisaa hawaelewani. Ukienda North America ndio yupo baba wa Dunia.

Latin America marekani anazimudu zile nchi zote hivyo akiziwekea mbinyo zinafuata maelekezo. Hapo nchi pekee atabakia nayo ni Urusi, na korea kaskazini. Hao wote wanatembea juu ya vikwazo vya Marekani.

China bado ana wakati mgumu kama hao jamaa wataungana wote kua na say moja basi atakua hana namna.
 
Hizi ban za huawei kuna makampuni yanaugulua maumivu ya kufa mtu.
Google, Qualcomm, Samsung, TSMC na LG ni waathirika wakubwa, hasara ni kubwa kwao.

Qualcomm wameshindwa kuvumilia kabisa na wanatafuta namna ya kuwauzia huawei chip zao za 5G

Qualcomm lobbies U.S. to sell chips for Huawei 5G phones: WSJ

Mkumbuke China ni mteja mkubwa chip duniani karibu 85%, Simu nyingi za android ni zimeuundwa china, Google hawezi furahia kupoteza patna namba mbili kwa uzalishaji wa simu duniani.

Hii mpaka mwisho siku naiona China ikiboresha uundwaji wa chip ndani ya miaka ijayo, japokuwa china bado wapo nyuma maana kampuni yenye uwezo wa kutengeneza chip china cip zao zinaishia 14nm.
 
Back
Top Bottom