samsung

  1. Pzika

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung S8 inauzwa kwa bei nafuu

    SAMSUNG S8 64Gb 550,000/= fixed Fullbox New Call/whatsapp: 0715767420
  2. M

    JamiiForums Tanzania Samsung galaxy s6 used 60,000 TZS

    Imeuzwa tayari
  3. Arch Mnyaheru

    JamiiForums Tanzania Mwenye kioo cha Samsung A20 used nakihitaji. Nina Tshs. 100,000/=

    Habari wanaforum, Natafuta kioo cha Samsung Galaxy A20 kilichotumika na bajeti yangu ni 100,000/=. Nipo Dar es salaam Kinondoni. Kama atapatikani anitafute ili tuonane twende kwa fundi ili nikakifix na kuona kama kinafanya kazi ili tulipane pesa hizo. Pesa yangu iko mfuko wa shati na hiyo...
  4. Jaffary

    JamiiForums Tanzania Samsung A50 nikipiga au kupigiwa inaji restart naomba msaada

    Wakuu, Simu yangu samsung A50, nikipiga au kupigiwa simu, baada ya dakika chache wakati naongea hukatika na kuwa kama inaji-restart hivi. Yaani siwezi kuongea zaidi ya dk. bila kukatika. Tatizo litakuwa ni nini?
  5. Pzika

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung a2 core

    SAMSUNG A2 core Used condition Phone n box 150,000/= Call/whatsapp:::0715767420
  6. Pzika

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung a2 core inauzwa

    SAMSUNG A2 core Used condition Phone n box 150,000/= Call/whatsapp: 0715767420
  7. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa tatizo la touch ya Samsung Note 5 haifanyi kazi

    Wakuu msaada . Simu yangu samsung note 5 touch yake hairespond na hata pen yake haifanyi kazi. Je kwa wazoefu tatizo kama hili linatokana na nini na linatatulikaje? Gharama zake inaweze kuwa kiasi gani?
  8. Rion Jr

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Samsung 6s edge inauzwa

    Bei ya Tsh 260000/= Location buguruni shell Call 0746696878 No crack Ipo katika good condition
  9. A

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Brand New Samsung A10s for 295,000 TShs

    - Brand New Samsung A10s - Boxed with 2 years warrant Specifications Display6.20-inch (720x1520) Processor1.5GHz octa-core Front Camera 8MP Rear Camera13MP + 2MP RAM 2GB Storage32GB Battery Capacity4000mAh OS Android 9 Pie
  10. jogijo

    JamiiForums Tanzania Msaada Samsung note 8

    Habari ya asubuhi ndugu, Nina tatizo na s pen kwa wanaotumia note 8. Yaan simu haidetect kama kuna s pen, uitoe au uirudishe. Na hata kuandika kwa kioo haikubari. Msaada kwa mwenye idea.
  11. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Nauza samsung s8 kwa bei nafuu sana

    Nauza Samsung s8 kwa bei ya kutupwa. Wakuu habari Kutokana na janga hili la COVID-19 ambalo limeniathiri kwa 100%. Naiweka sokoni simu hii ambayo nimeinunua mwezi December mwaka jana mpya m/city. Bei 450000/= Ram 4 Storage 64. Nipo iringa kwa sasa. Nicheki WhatsApp +255745588735. Nitakutumia...
  12. Echolima

    JamiiForums Tanzania Msaada: Samsung Galaxy ipi ni bora na nzuri?

    Mimi ni mgeni kwenye hizi simu aina ya SAMSUNG kuna zinazoanzia na S..... zingine A.... mfano S-5 na A30 na nasikia tena kuna A7 ipi kati ya simu hizi ni Bora???
  13. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya google apps ni nzuri sana zaidi ya samsung apps

    Mimi sio mtaalam sana wa mambo ya simu na computer. Jana katika kupita pita mitandaoni nikaona mjadala wa google apps ambazo unaweza kuziweka kwenye samsung na zikafanya vizuri zaidi. Kweli nikaweka google massages, google contacts na google phone app kwenye samsung yangu, aisee nimezipenda...
  14. hp4510

    JamiiForums Tanzania Samsung note 4 LTE sipati 4G

    Wakuu naomba maujanja ya app au technical kuhusu hii simu yangu Hii simu ni note 4 nilinunua India sasa kwa kule nilikuwa napata 4g vizuri but kwa hapa bongo nashindwa kupata 4g kabisa sijui shida ni nn Kwa yoyote mwenye uelewa pls msaada tafadhali
  15. C

    JamiiForums Tanzania TV4Sale Used Samsung LED 40 " Television For Sale

    Nauza Samsung LED 40 " Television UA40H5100AR. Hii TV nilinunua mwaka 2016 kwa laki 9 elfu 60 enzi hizo. Nauza kwa laki 5 tu. Ipo Mbweni JKT, Dar. Wasiliana Whatsapp 0625536529 Samsung UA40H5100AR 40 inch LED Full HD TV Specifications Summary features 3D TV: No, Smart TV: No, Curved...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kurekebisha samsung galaxy s7 edge camera

    Habari wakuu usikeni na kichwa cha habari apo juu simu yangu samsung galaxy s7 edge tangu juzi imeanza tatizo la kutofungua camera please wajuzi tusaidiane niweze tatua ili tatizo.
  17. Kim Il Kwon

    JamiiForums Tanzania Nahitaji smartphone Samsung au iphone

    Napatikana Kagera Ngara. Bajeti yangu 350k. Mwenye kua nayo niPM.
  18. i-store

    JamiiForums Tanzania Phone4Sale Wapenzi wa Samsung Note5 na S8+ simu zenu zimefika

    Bila kuwa potezea
  19. uran

    JamiiForums Tanzania Samsung A30s na Tecno Camon 12 pro. Simu ipi kali?

    Wakuu kati ya hayo matoleo mawili hapo, simu gani ni kali zaidi?
  20. L

    JamiiForums Tanzania Kati ya samsung J series na A series ipi nzuri?

    Wakuu nataka kununua simu ya Samsung. Sasa kuna hizi A series na J series. Je, ipi ni mzuri kwa budget ya shilingi laki 6 hadi 8? Au hata S series pia ipi nzuri?
Back
Top Bottom