samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Majizo umemsikia Rais Samia?

    MAJIZZO Boss wa E-FM nadhani umemsikia Rais Samia kuhusu kuruhusu watu kumkosoa, sasa uamuzi wako wa kumchukulia hatua Gerald Hando kama itakupendeza utengue kama sehemu ya kuunga mkono uamuzi wa Rais wa kujikosoa na kukosoana. Pia wape Uhuru wa kuchambua mambo ya nchi watangazaji wako akiwemo...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awastukia Chawa, aanza kufuata ushauri wa Askofu Bagonza

    RAIS Samia Suluhu Hassan ametangaza rasmi kuruhusu kukosolewa baada ya kilio cha muda mrefu cha wananchi na viongozi wa dini kuwa amezungukwa na watu wanaomsifu kama njia ya kumdanganya asione changamoto za nchi. Hatimaye sasa Rais Samia amewastukia watu hao na kuruhusu rasmi kukosolewa kama...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

    Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa. Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana. Kwa tamko hili jeneza la legacy Sasa imepigiliwa misumari ya kijerumani.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaweza akastahimili lakini chawa wake anaweza asistahimili

    Rais Samia ameyasema hayo akiwa anawaambia viongozi wa vyama vya siasa wanatakiwa kufanya siasa za kistaarabu kwasababu kutukanana siyo mila za kitanzania. Akisema kuwa yeye anaweza kuwa na upeo mkubwa wa ustamihilivu kama aliyokuwa nayo, sababu yanampata lakini anakaa kimya lakini chawa wake...
  5. Mystery

    JamiiForums Tanzania Je, wahafidhina ndani ya CCM, wameafiki Kwa shingo upande, maamuzi ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya kisiasa, Kwa vyama vyote?

    Nimeisikiliza Kwa makini Sana hotuba ya Rais Samia Suluhu Hassan, aliyoitoa Leo, huko Ikulu, wakati anaongea na viongozi wa vyama vya siasa nchini. Kwa kweli Sina budi kumpongeza Rais wetu Samia Suluhu Hassan, Kwa msimamo wake Kwa kueleza kuwa kama Taifa, inabidi tujenge mshikamano, umoja na...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Anayekuja pasi na hodi, huondoka pasi kuaga. Kuzuiwa bila kifungu, kuruhusu bila Kifungu. Ni hisani ya Rais Samia. Haki kuhisaniwa hadi lini?

    Wanabodi, Baada ya Rais Samia kuruhusu mikutano ya siasa, sasa ni nderemo na vifijo nchi mzima!. Na mimi kama Mtanzania mzalendo wa taifa letu, pale linapofanywa jambo jema lolote la kheri kwa mustakabali mwema kwa taifa letu, sina budi kujiunga na wengine wote wanaolitakia mema taifa hili kwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aitwe na kutambuliwa kama Mama wa Taifa

    Ndugu zangu watanzania, Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na Imara, mwenye msimamo na asiye yumba, mwenye Dira na muelekeo sahihi, mwenye Sera na ajenda za...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Samia tuzo ya Mo Ibrahim inakuhusu kama ukiendelea hivi

    Lugha yako, lafudhi yako, sura yako na unyenyekevu wako vinakupa kila aina ya sifa za kuwa kiongozi bora. Mambo matatu mazito umeyaruhusu leo ambayo ni nadra sana kuyasikia kwa viongozi wa kiafrika dhidi ya wapinzani wao. *Rukhsa vyama vya siasa kufanya mikutano. *Sheria kandamizi kuondolewa...
  9. mr mkiki

    JamiiForums Tanzania Jumanne nyeusi kwa Rais Samia inakuja

    ANGUKO LA UCHUMI KWA TAIFA LA MAREKANI (1929~1933) Aliyeitwa Herbert hoover aliyekuwa na miezi nane tu kwenye uongozi wake kutokana na kutokujuwa vema nini maana ya urais wa marekani uchumi ukaanguka, siku ambayo wao waliyoitaja kama jumanne nyeusi hali ilikuwa mbaya zaidi 0.75 walipoteza...
  10. technically

    JamiiForums Tanzania Hongera TRA, hongera Rais Samia

    Kuna mambo tunatakiwa kupongeza kama tunavyokosoa. Kiukweli kwenye swala la ukusanyaji kodi toka Rais Samia aingingie Madarakani yuko vizuri! Kuna watu wanaleta propaganda kwamba bandarini tunaibiwa Sana lakini mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Mwezi huu wa 12 kavunja record yake ya mwaka...
  11. Execute

    JamiiForums Tanzania Rais Samia analipa kodi kiasi gani kwa mwezi kutoka kwenye kipato chake?

    Mimi kama miongoni mwa waajiri wa watumishi na viongozi wa serikali ningependa kufahamu Rais analipa kodi kiasi gani kutokana na kipato chake kwa mwezi. Tuungane pamoja na TRA Tanzania katika kujenga nchi kwa kulipa kodi.
  12. Bridger

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Picha ya Freeman Mbowe akiwa na Rais Samia waliyopiga Ikulu inaonesha asali nyuma

    MADAI Kumekuwepo na picha inayozunguka mtandaoni ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia huku mandhari ya nyuma ya picha hiyo kukiwa na chombo chenye asali ndani yake. Ukweli wa picha hii upoje? Picha inayodaiwa kuwa na chombo chenye asali Picha...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nampa 100% Rais Samia

    Kongole Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan. Umeifungua Tanzania, Watalii wanamiminika wa kutosha, umemwaga ajira, umepandisha madaraja kwa watumishi sasa ni neema tupu. Umeboresha huduma za Jamii, sasa elimu bure Darasa la (I) kwanza hadi kidato cha Sita (VI) Mikopo ya kutosha kwa wanafunzi wa...
  14. Mama Edina

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mwaka 2025 Rais Samia atapata wapinzani ndani ya chama?

    Ni swali tu na mara nyingi ikifikia Muda huo wanasiasa hucharuka. Hapo awali ilikuwa hivi Ili mgombea ndani ya chama auzike kwa wananchi anakuwa yule mwanasiasa aliyendani ya serikali na akafanyakazi na wananchi wakamkibali. Kwa mfano. Wkt flan kikwete alipendwa sana japo serikali alipewa...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Rais Samia kukutana na Vyama vya Siasa Januari 3, 2022

    Kauli ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu juu ya vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara aliyoitoa Desemba 2021. Januari 3, 2023 atazungumza na viongozi vya vyama vya siasa juu ya hali na mwelekeo wa hali ya kisiasa nchini.
  16. B

    JamiiForums Tanzania Huu ndiyo uzuri wa Rais Samia, ukweli ndiyo hulka yake

    Kama Kuna Jambo kubwa nimejifunza kutoka kwa Rais wangu kipenzi, mama SAMIA, ni kuwa huru kusema ukweli, hata Kama unauma. Mama Samia hafichi, Kama amekopa anasema amekopa, Kama analipa anasema analipa. Jambo hili limekuwa likiwauma watu, mlitaka mheshimiwa Rais aongope, wakati mnajua Kuna...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja wa Samia, Tanzania yapaa Kimataifa vita dhidi ya Rushwa

    Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), Salum Hamdun amesema Tanzania imetambulika kuwa ni miongoni mwa nchi chache Afrika zilizopiga hatua katika mapambano dhidi ya Rushwa. Kwa mujibu wa shirika la International inaonyesha Tanzania imeshika nafasi ya 2 katika...
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Uwepo wa asali katika picha ya Ikulu Mbowe alipokutana na Dkt. Samia ina maana gani?

    Heri ya Mwaka Mpya wana JF nyote. Nimekutana na picha ikimuonesha mwenyekiti wa CHADEMA bw. Freeman Mbowe akizungumza na Rais Samia lakini baada ya kuiangalia sana nimeona kwenye mandhari ya nyuma ya picha kumewekwa chombo chenye asali ndani yake. Nimejiuliza maswali mengi bila majibu. Kwa...
  19. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tuondole DC Mtanda Arusha

    Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar. Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda. Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub ....... DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea...
  20. tawakkul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia vunja mifumo hii utusaidie wananchi wa maisha ya chini Morogoro hasa wilayani Kilosa, tunaonewa

    Habari wakuu JF! Iko hivi; Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayepinga kuwa katika awamu ya sita kumefanyika ujenzi wa shule, hospitali, zahanati, vituo vya afya miundombinu ya hali ya juu kuliko awamu zote. Hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu atakayekataa kuwa awamu ya sita imeleta...
Back
Top Bottom