samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Amewasha Moto Wa Maendeleo Usiozimika.

    Ndugu zangu watanzania,
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia, punguza uoga kwa walipa kodi wako, hakuna mwenye mpango wa kukudhuru

    Leo kulikua ma msafara wa mheshimiwa Rais Dr Samia ulikua unapita barabara ya Morogoro Road kuelekea maeneo ya Kibaha huko, cha ajabu sisi raia tunaotumia huduma za usafiri za mwendokasi tukazuiwa kupanda lile daraja la mwendokasi pale Kimara kwa kile tulichoambiwa na wana usalama pale waliokua...
  3. JamiiForums Tanzania Zuhura Yunus: Rais Samia alizungumza na Idris Elba kuhusu ujenzi wa studio ya kisasa ya Filamu Nchini Tanzania

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhuru Yunus amesema moja ya mambo ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye ni Balozi wa hisani wa Umoja wa Mataifa wa IFAD alipokuwa Davos nchini Uswizi ni kuhusu ujenzi wa...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia anaijua siasa kuliko Magufuli

    Najua mpo chawa wa rais Samia na chawa wa rais Magufuli lakini, Rais Samia anaijua siasa kuliko rais Magufuli kwa kiwango kikubwa. Moja ya uthibitisho huo ni:- 1.Kuamua kufanya maridhiano na chama kikubwa cha upinzani chenye wafuasi wengi ambacho ni CHADEMA jambo ambalo rais Magufuli aliamini...
  5. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa ziara ya Rais Samia aliyoifanya Davos na Dakar, Bashe amtaja Mr Kuku kuwa anafuatiliwa

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhuru Yunus pamoja na Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe; Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Kilimo, Gerald Geofrey Mweli pamoja na Mkurugenzi wa Maendeleo ya Mazao, Wizara ya Kilimo, Nyasebwa Chimagu wakizungumza na vyombo vya habari kuhusu ziara ya Rais wa...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi rais Samia amerejea nchini au bado anakongamana ughaibuni

    Nauliza tu wandugu. Tangu enzi ya awamu ya jk nilianzisha utaratibu binafsi kuandika tarehe rais wa jamhuri akiondoka nchini kwenda nje na tarehe akirudi. Hii iliniwezesha kuona rais kama anasafiri wapi na kama anasafiri sana na kwa faida kama ipo. Kwa wale wanajua rais Samia kama karudi please.🙏
  7. JamiiForums Tanzania Miaka 46 ya tukitawaliwa na CCM huku watanzania wakiwa na umasikini wa hali ya juu. Rais Samia akikata keki ikulu na kuchekelea.

    Kila kona kuna shida ya maji. Wanafunzi bado wanatembae umbali mrefu kuta kutafuta elimu Kodi kandamizi na tozo za kibabe Leo hii mkuu wa nchi anakula keki bila huruma kwa wananchi.
  8. J

    JamiiForums Tanzania Tazama jinsi Samia alivyomzidi akili Magufuli kwenye uchumi

    Hii ni chart ya Shilingi ya Kenya vs Shillingi ya Tz, kama mnavyoona shilingi yetu iliporomoka dhidi ya Shilingi ya Kenya hadi kufikia 1Ksh=Tshs 23 kipindi cha Magufuli, Samia amefufua uchumi wa nchi na sasa shilingi yetu imepanda dhidi ya Kenya hadi kufikia 1Ksh=18Tshs. Na ndio kwanza hata...
  9. JamiiForums Tanzania Lissu na Chadema yenu hamna uhalali wa kulalamikia mfumuko wa bei na ufisadi wa CCM. Mlikuwa mnataka serikali kama hii ya kipagaji.

    Sikiliza
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Nawashukuru wote mlionitakia heri ya kuzaliwa na siha njema

    "Namshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijalia neema ya kutimiza miaka 63. Nawashukuru nyote kwa salamu zenu nyingi za upendo katika siku hii. Ahsanteni sana kwa dua za siha njema, umri mrefu na utendaji bora, ninapoendelea na jukumu hili la kulitumikia Taifa letu kusonga mbele zaidi," Rais Samia.
  11. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea kupandikiza tabasamu katika mioyo ya Watanzania

    Ndungu zangu watanzania, Rais Samia Amewateka watanzania,Amegusa mioyo ya watanzania, Amepanda mbegu ya Uzalendo katika mioyo ya watanzania,Amewasha furaha katika mioyo ya wote, Watanzania Wana Tabasamu muda wote,wanacheka na kufurahi bila kujari itikadi za kisiasa. Nchi Ina Tabasamu na...
  12. JamiiForums Tanzania Joto la kisiasa lililopo litawahamasisha vijana wengi kutaka mabadiliko. Pongezi kwa Rais Samia

    Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha kurudi madarakani huku akiwa kamwaga damu za watu wengi wasio na hatia wakiwemo wazazi wa hao vijana...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Profesa wa Chuo Kikuu Oxford amshauri Rais Samia kuhusu miradi aliyoianzisha Hayati Magufuli kwa pupa

    Profesa wa Uchumi kutoka Chuo Kikuu cha Oxford amemshauri serikali ya Samia kuwa na uangalifu kuhusiana na kutekeleza miradi mikubwa aliyoianzisha Magufuli kwa pupa kwa kuwa inaweza kuliingiza taifa kwenye madeni makubwa yatakayoathiri uchumi wake Magufuli alipoingia madarakani alianzisha...
  14. P

    JamiiForums Tanzania Sekta ya afya yazidi kuimarika chini ya Serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara...
  15. JamiiForums Tanzania Mbunge Singida Mashariki, Miraji Mtaturu aishukuru Serikali kwa mradi wa SWASH

    MBUNGE SINGIDA MASHARIKI MHE. MIRAJI MTATURU AISHUKURU SERIKALI YA RAIS SAMIA KWA MRADI WA SWASH MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu ameishukuru serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kupeleka kiasi cha Shilingi Milioni 245,535,791.86 kwa ajili ya ujenzi wa vyoo...
  16. JamiiForums Tanzania Lissu amtetea Rais Samia kupanda kwa gharama za maisha

    Tundu Lissu amekunukuliwa na gazeti la Majira la leo akiweka bayana kuwa suala la ugumu wa maisha tulionao sasa wa kupanda kwa bidhaa kama mchele, maharage, unga, mafuta na bidhaa mbalimbali haukusababishwa na Rais Samia hivyo asilaumiwe Samia bali wa kulaumiwa ni Katiba mbovu ya tuliyonayo sasa.
  17. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kilimo ndiyo fursa kubwa ya ajira

    Huu ndio uongozi ======== "Sensa ya hivi karibuni inaonesha vijana ni takribani asilimia 34 ya watu wote milioni 61 na hali hii inaleta changamoto nyingi, kama ukosefu wa ajira na nyinginezo. Kwahiyo tumefikiri wanaweza kuingizwa kwenye uzalishaji kwenye sekta ya kilimo na tumeanza kutengeneza...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ungemteua Jerry Muro kuwa Mwenezi wa CCM Taifa ungekuwa Umeupiga Mwingi zaidi

    Ana kila Kitu tena huyu ni zaidi hata ya alivyokuwa Nape Nnauye na alivyo huyu Uliyemteua sasa Dada Sofia Mjema ambaye kwa Uzito wa hiyo nafasi sioni kama ana amsha amsha na Ubavu wa Kutema Cheche. Mtu mwingine ambaye nafasi hii ingemfaa sema tu kwa sasa ni Mbunge ni Livingston Lusinde Mtoto wa...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Amani imetawala Tanzania ya Rais Samia

    Tukizungumzia amani moja kwa moja tunazungumzia uhuru wa wananchi na nchi kwa ujumla tunaona Rais Samia Suluhu amerejesha amani Tundu Lissu leo amewasili nchini baada ya kuhakikishiwa ulinzi na usalama. Baada ya kutua nchini, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu amempongeza Rais Samia...
  20. P

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anaendelea kuupiga mwingi, wapinzani watakuja kukosa cha kusema kabisa 2025

    Ukiachilia mbali suala la katiba mpya ambalo pia Rais Samia ameahidi kuanzisha mchakato upya, Dkt. Samia Suluhu Hassani baada ya kukamilisha ujenzi wa majengo 80 ya huduma za dharura (EMD), na majengo 28 ya huduma za wagonjwa mahututi, sasa vifaa vimeanza kufungwa ili kuboresha huduma za afya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…