samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ili kuepusha foleni za ajabu ajabu, kwanini Rais Samia na wenzake wasiwe wanatumia Helikopta?

    Hizo foleni za kijinga kwa nini Rais Samia na wenzake wasitumie ndege kata upepo kutoka uwanja wa ndege hadi huko Ikulu ya Dar es Salaam? Viongozi wengi (waliochaguliwa kwa haki) hata huko Duniani wanatumia ndege upepo kuepusha misongamano isiyo na maana. Tumechoka aisee!
  2. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tanzania tuna udhaifu katika uendeshaji wa mashtaka

    Rais Samia Suluhu Hassan ameitaka Tume ya Haki Jinai kushughulikia udhaifu uliopo katika ukamataji wa watuhumiwa, upelelezi, uendeshaji wa mashtaka pamoja na mambo mengine yanayofanyika magerezani ili kutoa haki kwa wananchi. Ameyasema hayo leo wakati akipokea taarifa ya Tume ya Kuangalia Jinsi...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wananchi Arumeru wakosoa maji kwa miaka 48 na kupelekea kupata magonjwa ya milipuko

    ADHA ya kukosa maji ya bomba kwa miaka 48 katika Kijiji cha Karangai, Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, imesababisha baadhi ya wakazi wake kuugua na kulazwa hospitalini kutokana na tishio la magonjwa kama vile amoeba, kichocho, typhoid na kuhara.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia awatembelea Mzee Makamba, Mama Maria Nyerere pamoja na Familia ya Marehemu Membe leo 14 Julai 2023

    Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu...
  5. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hii ya Rais Samia, mjadala wa Bandari umefungwa RASMI

    Wajumbe, Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji. Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sisi tunalumbana kuhusu Bandari, wenzetu wanatumia fursa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule Ikulu jijini Dar es Es Salaam leo tarehe 14 Julai, 2023 RAIS SAMIA: SISI TUNALUMBANA KUHUSU BANDARI, WENZETU WANATUMIA FURSA Rais wa Samia Suluhu Hassan ameyasema hayo wakati wa kuwaapisha viongozi...
  7. JamiiForums Tanzania Rais Samia Kuongoza Marais wa Afrika katika Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF)

    Tanzania inatarajiwa kuwa mwenyeji wa Kongamano la Jukwaa la Mifúmo ya Chakula Afrika (AGRF) unaotarajiwa kufanyika Septemba mwaka huu ambapo marais zaidi ya 15 wamealikwa kushiriki. Katika kongamano hilo linalofanyika kwa mara ya nchini, mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Rais Dk. Samia Suluhu...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia aipa Mitaji ya Bilioni 208 Benki ya Maendeleo ya Kilimo

    Rais Dk. Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa wa kiongozi wa mfano katika kuipaisha na kuiletea mageuzi makubwa Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) ikiwemo kuipa mtaji wa bilioni 208 kuwezesha kujiendesha kiufanisi. Imesema mtaji huo umeiwezesha benki hiyo kutengeneza faida na kukuza mtaji wake...
  9. JamiiForums Tanzania Nani anakumbuka ajali ya msafara wa Rais Hayati Mkapa dhidi ya lori kwenye kona ya Bwiru mkoani Mwanza

    Nakumbuka harakati za ubifsishaji enzi za Mkapa na mwamko uliokuwepo enzi zile dhidi ya mzee Mkapa hasa wakosoaji wakubwa wakiwa wastaafu hasa kundi la Nyerere, wananchi wa kawaida nao wakikomaa na kusema kuwa nchi yao inauzwa Mkapa akawa adui wa watu wengi hadi watu kuita umaskini eti "ukapa" ...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia ni dereva mzuri, hebu muangalie hapa

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Hebu angalia jinsi anavyo control gia, jinsi anavyocheza na sterling ya gari, jinsi anavyoongeza speed bila kuyumbisha gari. Miluzi inapigwa na wapuuzi fulani kutoka siti ya nyuma, siti za pembeni kulia na kushoto, raisi anawasikia, lakini anatambua madhara makubwa...
  11. JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Rais Samia nakusihi, Futa huu Mkataba wa Bandari

    Akizungumza na Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, Wakili Peter Madeleka amesema watu wengi wanaomchukia hawamwambii ukweli Rais Samia zaidi wanaishia kumsifia hata anapokosea. Amesema Rais Samia anatakiwa kukaa na kutafakari kusudi la Mungu wake kumfanya awe Rais kwasababu hakupigiwa kura...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Wakili Madeleka: Rais Samia alitoa mamlaka mkataba wa bandari kusainiwa kwa niaba ya Dubai wakati yeye ni Rais wa Tanzania pekee

    Madeleka akisoma sehemu ya kipande cha mkataba uliosaniwa Rais Samia, ambapo kipande hicho kinasema Rais Samia ametoa mamlaka yake kwa Mbarawa kusaini mkataba kwa niaba ya Tanzania na Dudai wakati Samia sio Rais wa Dubai, na kwamba Rais Samia kasahau kwamba mamlaka yake ni kwenye mipaka ya...
  13. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, sasa wasafirishaji wa Kenya wanakuja Tanzania kununua mafuta

    Bei ya mafuta ya petrol nchini Kenya ni ksh 195.5 huku Tanzania ikiwa ksh 165 kwa pesa ya Kesha ikiwa ni pungufu kwa 30.5 ksh kwa Lita moja hii ni baada ya serikali ya Kenya kuongeza ushuru wa 8% kutoka ule wa 8% wa awali na kuwa 16% kwa Lita . Maeneo yote yanayopakana na Kenya kwa siku za hivi...
  14. JamiiForums Tanzania Maaskofu wazidi kutoa Maoni, sasa ni zamu ya Askofu Mstaafu Stephen Munga

    Friends and Enemies, Katika kile kinachoonekana kuwa ni vita dhidi ya rasimali za nchi kama wenyewe wanavyosema, ameibuka Askofu Mstaafu Stephen Munga ambaye ni Askofu Mkuu Mstaafu dayosisi ya kaskazini mashariki. ''Yupo Mfalme wa Wafalme, tuwe makini na kauli zetu, kama umesahau Jana ukumbuke...
  15. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia kwa kuweka msawazo wa Madaraja kwa wafanyakazi nchini

    Pamoja na changamoto za uchumi lakini mama ameingiwa na huruma kwa kuona Wafanyakazi waliodhulumiwa Haki Yao wanarudishiwa.... Kwasababu Ile Miaka 7 iliyopita ilikua ni maumivu kwa wafanyakazi.. Kwamfano mtu aliyeajiriwa mwaka 2014 alipandishwa mwaka 2021! Kwahiyo Ile Miaka 2015, 2016, 2017...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, tuelewe wananchi wako na rekebisha mkataba, ili tukutetee humu mitandaoni!

    Contradictions zilizomo katika mkstaba/maelewano/MOU ya Tanzania na DP World ni za kimsingi kabisa. Kama mababu na baba zetu walipigania uhuru, misingi hiyo isikiukwe kwa namna yoyote ile. Hilo ndilo suala katika malumbano yote haya ya Bandari kubinafsishwa. Naamini Mama Samia utarejesha...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Waziri Mhagama awataka wananchi jimbo la Peramiho kumshukuru Rais Samia

    WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WANANCHI JIMBO LA PERAMIHO KUMSHUKURU RAIS DKT SAMIA. NA STEPHANO MANGO, SONGEA WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Joakim Mhagama ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Peramiho ya kukagua miradi...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akishiriki Maadhimisho ya Siku ya kupambana na Rushwa Afrika, leo Julai 11, 2023 jijini Arusha. === Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema moja ya vikwazo vikubwa vya maendeleo barani Afrika ni...
  19. JamiiForums Tanzania Madudu yaliyoibuliwa bandarini na Rais Samia mbona hayasemwi?

    Miezi michache baada ya kuapishwa Urais. Rais Samia Suluhu Hassan alivunja bodi ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) na Shirika la Meli kwa kuwaondoa wenyeviti wake baada ya kutoridhishwa na utendaji wao. Rais Samia alitangaza uamuzi huo Jumamosi Desemba 4, 2021 wakati wa uzinduzi wa gati namba...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia, Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Mzee Karume Watunukiwa Tuzo za Heshima Katika Maadhimisho Miaka 60 ya JKT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalum ya heshima katika katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Tuzo Maalum pia zimetolewa kwa waasisi wa Taifa letu ambao pia ni waasisi wa Jeshi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…