Waziri Mhagama awataka wananchi jimbo la Peramiho kumshukuru Rais Samia

stema maembe

New Member
Feb 24, 2012
1
0
WAZIRI MHAGAMA AWATAKA WANANCHI JIMBO LA PERAMIHO KUMSHUKURU RAIS DKT SAMIA.

NA STEPHANO MANGO, SONGEA

WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na uratibu ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Peramiho Jenista Joakim Mhagama ameanza ziara ya kikazi katika Jimbo la Peramiho ya kukagua miradi inayotekelezwa Jimboni humo,kuzungumza na wananchi, na viongozi mbalimbali wa Chama cha Mapinduzi na Serikali

Akizungumza katika ziara hiyo amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kuleta fedha za miradi ya maendeleo inayotekelezwa katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea.

Waziri Mhagama alisema kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Peramiho wanaendelea kumshukuru Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kukuza uchumi kwa Wananchi hususani wakulima kwa kuwaongezea huduma za ruzuku karibu na maeneo yao na kwa bei nafuu, hivyo amewataka wananchi kutumia fursa ya kilimo vizuri ili kukuza uchumi. .

“Pamoja kuwa mnajishughulisha na shughuli za kilimo pia endeleeni kutuma vyanzo vingine vya kuzingatia rasilimali kwani inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika suala la maendeleo ya wananchi imejipanga vizuri ili kusaidia wananchi wanapata maisha bora na salama”, amesisitiza Waziri Mhagama.

Katika ziara hiyo Waziri Mhagama ameweka Jiwe la msingi katika mradi wa ujenzi wa madarasa mawili katika shule ya msingi Muungano , ambapo madarasa hayo yalianza kujengwa kwa nguvu za wananchi ambapo Halmashauri ilipeleka fedha kiasi cha shilingi milioni 29.6 kutoka mapato ya ndani na mamilioni 2.5 kutoka mfuko wa Jimbo kwa ajili ya kukamilishaji.

Aidha katika ziara hiyo amegawa vifaa tiba mbalimbali katika Zahanati ya Namatuhi vikiwemo viti vya wagonjwa 6 ambapo viti 3 kati ya hivyo wamekabidhiwa wagonjwa, shuka, drip stand, taulo za kike, blanketi na vyandarua vya kujikinga dhidi ya Malaria kwa Wazee.

Aidha, Jenista amewataka Wananchi kuacha tabia za kukata miti ovyo katika maeneo yao na maeneo yaliyo karibu na vyanzo vya maji kwani huo ni wazi wa mazingira unaosababisha kukosekana kwa maji.

Vilevile Waziri Mhagama amewaasa vijana kutojishughulisha na shughuli za kilimo cha bangi na matumizi ya madawa ya kulevya kwani inaleta athari kubwa katika Afya ya akili.

Ziara hiyo imeanza Julai 9, mwaka huu ambapo ameambatana na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea Mwalimu Neema Maghembe, Viongozi wa Chama, Madiwani pamoja na timu ya Wataalamu.

MWISHO
 
Atakua anatumia kijambio badala ya kichwa...pesa yeyote ya serikali ni mali ya wananchi sio raisi
 
Wamshukuru kwa majukumu yake kwenye pesa zao?
 
Back
Top Bottom