samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya Mabadiliko ya Makatibu Tawala na Wakurugenzi Watendaji Serikali za Mitaa

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, amefanya mabadiliko ya Makatibu Tawala wa Wilaya na Wakurugenzi Watendaji wa Halmashauri za Serikali za Mitaa. Katika mabadiliko hayo, Mheshimiwa Rais amefanya uteuzi mpya pamoja na kuwahamisha vituo vya kazi baadhi ya Makatibu...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aajiri vijana 18,449 serikalini kukuza ufanisi wa kazi

    Rais Samia Suluhu Hassan ameendeleza juhudi zake za kuwawezesha vijana na kuboresha ufanisi wa kazi katika taasisi za serikali. Ndani ya miezi sita ya kwanza ya mwaka 2023,serikali imeajili vijana 18,449. Idadi hiyo inajumuisha walimu wapatao 13,130 ambao wamepata nafasi za ajira katika sekta...
  3. JamiiForums Tanzania Yanga ilivyozoa jumla ya milioni 175 kwa Rais Samia

    UONGOZI wa Young Africans Sports Club umetoa taarifa ya kumshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa hafla ya kuipongeza klabu hiyo kwa kucheza mchezo wa Fainali ya Kombe la Shikirisho la CAF, Msimu huu. Katika taarifa hiyo mbali na mambo mengine...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rais wa Yanga SC Said, Msemaji Kamwe na wana Yanga SC msiojitambua hii Kauli ya Rais Samia jana Ikulu mliielewa?

    "Nichukue nafasi hii Kuipongeza Klabu ya Yanga kwa kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho ambayo hata Klabu ya Simba pia ilifika mwaka 1993" alisema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan jana Ikulu alipowaalika wapenda Kula Kula hovyo ( Walafi FC ) Klabu ya Yanga. Rais wa...
  5. JamiiForums Tanzania Yale makelele yote ya mjini ameyazima Rais Samia

    Baada ya ndugu zetu uto kufanikiwa kushinda ubingwa wa medali na kisha kualikwa chakula cha jioni na Rais Samia. Makelele yalikuwa mengi ohhhhh tumealikwa na mama sisi ndio timu ya taifa mablabla mengi. Baada ya kula ubwabwa na kupongezana kwa sana, sherehe ikaharibika mwishoni kabisa...
  6. D

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wallace Karia ni Simba

    Jana katika hafla ya kuipongeza timu ya Yanga ikulu Dar es Salaam, Rais Samia Suluhu ametegua siri ya mapenzi na ushabiki wa timu anayoishabikia Rais wa TFF Walace Karia. Kwa muda mrefu Karia amekuwa akihusishwa na mapenzi ya lia lia na timu ya Simba lakini mwenyewe amekuwa akidai yeye ni...
  7. JamiiForums Tanzania Unahisi ni nani alifikisha suala la Feisal kwa Rais Samia na kwa lengo gani?

    Kauli ya Rais Samia leo ni kama ameinyooshea kidole Dar Young African (Yanga), Yanga mnaugomvi na Feisal! Unaweza kumsikiliza tena Mh Rais alafu ukapata jibu kuwa ni nani alienda kumuelezea Mh Rais issue ya Feisal? Na je! Aliefikisha ujumbe kwa Mh Rais alikuwa wa mlengo gani? Hakuwa na upande...
  8. JamiiForums Tanzania Rais Samia nakupandisha Cheo

    Wasoma uzi huu najua wengine watadhani nimepata uchizi kwa sababu wazo la mtu asiye kitu halithaminiwi. Mwanzo wa kupatikana kwake (Samia) na kufika nafasi alilipo mimi naiita ni miujia mitupu nathubutu kusema Mungu alimuandaa na akaitengeneza njia, amejitanabahisha katikanamna mbalimbali huku...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sifurahii Mgogoro wa Yanga na Feitoto. Nataka umalizike

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Chakula cha Usiku na Timu ya Yanga kwa ajili ya kuwapongeza kwa hatua waliyofikia ya kucheza Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika (CAF). Hafla hiyo imefanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu Magogoni jijini Dar...
  10. JamiiForums Tanzania Mara 1000 Rais Samia angekutana hata na Wahadhiri kuliko Yanga

    Nchi hii imejaa maigizo mengi sana, nikitafakari mantiki ya Rais Samia kukutana na yanga nashindwa kuelewa. Ingekuwa timu ya Taifa hilo nisingeshangaa lakini pia hizi timu zinaonekana zimeanza kutumika vibaya sana Kwa dalili hii. Huko ulaya kuna mitimu kibao inafanya vizuri ila sijasikia hata...
  11. JamiiForums Tanzania Kumsifia Rais Samia kila usimamapo Mbele yake sio kosa; haikuanza Leo.

    KUMSIFIA RAIS SAMIA KILA USIMAMAPO MBELE YAKE SIO KOSA; HAIKUANZA LEO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kumtukuza Rais, kumsifu na kumlambalamba miguu, kumpangusa pangusa na kitambaa, kumfagilia, kumpepea, na kumpamba ni mambo ambayo yalikuwepo tangu zamani. Wala hatajaanza Kwa hawa Ndugu...
  12. JamiiForums Tanzania Balozi Dkt Lumbanga asifu ujasiri wa Rais Samia

    Picha: Balozi Dkt Marten Lumbanga Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu, Balozi Dkt Marten Lumbanga amesifu ujasiri na uwazi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwenye uongozi kiasi cha kukaribisha mawazo huru kutoka vyama vya siasa kwa manufaa ya nchi pamoja na kuruhusu vyama vya siasa vifanye mikutano ya...
  13. JamiiForums Tanzania Suala la Rais Samia kutoa pesa na ndege kwa timu kusafiria ni kwa gharama ya nani?

    Habari ndugu zangu, Hivi karibuni nimeshuhudia mara kadhaa Rais Samia akitoa hamasa kwa timu za Simba na Yanga kwa kutoa zawadi ya pesa kwa kila goli linalofungwa na timu hizo. Mara ya mwisho nimeona Rais Samia akitoa ndege ya Timu ya Yanga kusafiri mpaka Algeria na kuwarudisha Tanzania...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

    Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano. Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
  15. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Awaandalia Yanga Hafla ya Kuwapongeza

    RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Ameandaa hafla ya kuwapongeza Wananchi, Young Africans SC kwa hatua waliyofikia kwenye michuano ya kombe la shirikisho Afrika ambapo klabu hiyo ilifika fainali na kufanikiwa kutunukiwa medali kama mshindi wa pili. Hafla hiyo ya...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Chalamila: Wiki ijayo nitakuwa na kikao na Viongozi wa Dini ajenda kubwa ni Tokomeza adui ili Rais Samia apenye bila kupingwa

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila ameyasema hayo akizingumza katika mapokezi ya ndege mpya ya mizigo aina ya BOEING B767-300F, mapokezi yanayoongozwa na Rais Samia katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) Dar es Salaam.
  17. J

    JamiiForums Tanzania Kenya wamkejeli Samia kuhusu uhaba wa dola Tanzania

    Miezi kadhaa iliyopita Rais Samia alisikika akisema Tanzania ipo vizuri kwenye hifadhi ya fedha za kigeni, huku akisema kuna nchi jirani ina hali mbaya ambayo inahitaji msaada Kenya walielewa kuwa anailenga nchi yao yenye tatizo la fedha za kigeni pia) Sasa baada ya Tz kutangaza kuwa na uhaba...
  18. R

    JamiiForums Tanzania January Makamba anamfanyia hujuma Rais Samia

    Waziri wa Nishati, January Makamba, anamfanyia hujuma za wazi Rais Samia Suluhu Hassan ili kutimiza ndoto yake ya muda mrefu ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hujuma yake ilithibitika wakati wa bajeti ya Wizara ya Nishati ya 2023/2024 jijini Dodoma wiki hii ambapo Makamba aligawa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Nilimtumainia sana Rais Samia, sasa naanza kukata tamaa

    Haya yananifaya imani yangu kwake iwe haba; 1. Kauli ya kila mtu ale kwa kamba yake, najua mnapatapata kwenye maeneo yenu, msivimbiwe! 2. Ripoti ya CAG amemeza pini as if hakuna kilichotokea na hakuna hatua aliyochukua. 3. Danadana za Katiba mpya. 4. Naibu Waziri na ajali yenye utata. 5...
  20. JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya Feitoto? Kuihujumu Yanga wakati huu ni kumhujumu Rais Samia

    Hii ni kwa wajuvi wa mambo na trend readers and observers. Jana tunaona trend ya shutuma na majibu ya shutuma dhidi ya Rais Mwinyi wa Zanzibar, tunatulia. Leo asubuhi tunaona trend ya shutuma dhidi ya Rais wa Yanga kutoka kwa mzanzibari feitoto ikiwa ni tuhuma nyingine masaa machache dhidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…