samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Rais Samia amerejesha uhuru wa kujieleza na kutoa maoni bila woga

    Wiki hii Tanzania imekuwa na aJenda moja kubwa tu kuanzia vijiweni, kwenye vyombo vya habari, kwenye vyombo vya usafiri mpaka kwenye sehemu za kupiga pombe. Kila mmoja amekuwa akijadili mkataba ulioridhiwa na Bunge leo kati ya Serikali ya Tanzania na ile ya UAE kuhusu masuala ya uendeshaji na...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Serikali inatambua umuhimu wa Bandari ya Dar, haiwezi ikaibinafsisha. Puuzeni upotoshaji

    Ndugu zangu watanzania, Napenda kuwataarifu ya kuwa serikali ya Rais Samia Inatambua Umuhimu na upekee wa Bandari yetu ya Dar es salaam,Inatambua kuwa bandari hiyo ndio moyo wa uchumi wetu,ndio mboni ya Taifa letu kiuchumi,ndio Uti wa mgongo wa mapato yetu,ndio usalama wetu wa Taifa...
  3. JamiiForums Tanzania Kwa hili la Bandari nasimama na Rais Samia, tubinafsishe hata Halmashauri zetu

    Wakuu tunaibiwa Sana hiwezekani hata Rwanda na kibandari kikavu Chaowakusanye nusu yetu huu ni wizi wa miaka mingi sana tumeibiwa. Tunaibiwa ruzuku za vyama, kilimo, ukusanyaji wa mapato tena na halmashauri zetu kila kona. Mhe. Rais Samia tubinafsishe hata halmashauri zetu maana huko wizi ni...
  4. JamiiForums Tanzania Kuna genge limejipanga kuharibu kwa makusudi sifa na hadhi ya Rais Samia

    Kwenye Siasa , " Hakuna kinachotokea kwa bahati mbaya " everything is planned . Think about this , Soko la kariakoo wafanya biashara wameandamana, mkataba wa bandari umuvujishwa kwa mbwembwe na tayari kila kona kuna watu wamepangwa kuushambulia , ghafla mkataba hauongelewi maada inageuka kua...
  5. JamiiForums Tanzania Sisi Chawa wa Rais Dkt Samia tunasema aachwe afanye kazi!

    GTs, Kwenye mambo ya mikataba Rais Dkt Samia siyo mwanasheria ana wasaidizi wake na tena kuna Professor wa Sheria Professor Kabudi alimteua ndiyo kigogo wa mikataba yote. Hata huu wa Bandari alaumiwe Professor Kabudi mwenye kazi yake. Maana tumewavumilia tumechoka na ngonjera zenu mara ohh...
  6. JamiiForums Tanzania Bandari: Kwa elimu ile na mapition ya maisha yale, tulitegemea nini Kwa rais wetu?

    Niliposikia kila jambo rais Samia anauliza kwa mstaafu Kikwete nikajua nchi kwa heri! Nikawa na walakini, lakini baadaye nikaona ziara za pamoja; Zambia wako wote! Baadaye Kikwete anasifu Samia kwa kuwarudisha wapigaji waliokuwa serikali yake. Huo ukawa uthibitisho wa mtu anayeongoza kwa...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Washauri wa Rais Samia watenguliwe

    Wasaidizi wa Rais Samia wameshindwa kumshauri katika utekelezaji wa majukumu yake. Katika Masuala nyeti ya Uchumi na Sheria. 1. Dkt. Blandina Kilama, Msaidizi wa Rais Uchumi. 2. Nehemia Ernest Mandia Msaidizi wa Rais Sheria. Hawa wameshindwa kazi.
  8. JamiiForums Tanzania Dkt. Samia: Kinachotokea bandarini nitakisomea Ikulu

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo June 09,2023 amefungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Biashara (TNBC), Ikulu Dar es salaam ambapo moja ya mambo aliyoyasema kwenye hotuba yake ni kwamba kazi kubwa inaendelea kufanyika ya kuboresha mifumo ya TEHAMA kwenye Sekta za Umma ili...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia afanya uteuzi na mabadiliko madogo ya vituo vya kazi

    1. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Me. Samia Suluhu Hassan amewateua wafuatao: Amemteua Bw. Tito Philemon Mganwa kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Mji wa Korogwe; na Amemteua Bw. Mussa R. Kilakala kuwa Katibu Tawala wa Wilaya ya Kaliua Mkoa wa Tabora. Aidha, Mhe. Rais...
  10. JamiiForums Tanzania Feitoto akibusu picha ya Rais Samia

    Mchezaji wa klabu ya Azam Fc, Feisal Salum "FeiToto" ameonekana akiibusu picha rasmi ya Rais Samia Suluhu Hassan tendo ambalo wengi wamelitafsiri kama shukrani kwa Rais Samia. Ipi tafsiri yako kwa tendo hili.
  11. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sekta binafsi ni muhimu katika kukuza uchumi wa nchi yetu

    Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe 09 Juni, 2023. Hotuba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan Kama...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia anamwamini Freeman Mbowe kuliko Zitto Kabwe? Mbowe hajawahi kuwa na msimamo Mmoja!

    Nilishangaa sana na ninashangaa mpaka Leo mamlaka kumfanya Mbowe ni special opposition leader? Mbowe muda mwingi yupo ikulu tofauti na wapinzani wengine ..ninani alimuongopea rais amwamini Mbowe kuliko Zitto na wapinzani wengine? Mbowe hajawahi kueleweka na ndio maana Kuna panda shuka Kila mwaka...
  13. JamiiForums Tanzania Wajua MSIMAMO wa Rais Samia kwenye sakata la bandari? Huu hapa ushahidi

    Habari wanajamvi, Kama kichwa cha somo kinavosema.... Msimamo wa mama samia kwenye maamuzi yake mengi ni kwamba WATANZANIA WENGI NI WAONGEAJI TUU LAKINI MWISHO WA SIKU HUKUBALI NA KUTULIA KIMYA NA KUZOEA. Kauli hii aliitoa alipokua ana shoot film ya Royal tour akiwa maeneo ya Tegeta...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia anatengenezewa Ajali za kisiasa

    Kwanza nianze kwa kuwapa starter moja muhimu sana maana Watanzania tumeumbwa kukumbuka ya leo, ya jana tunayasahau kirahisi sana. Mnakumbuka Rais Samia alitangaza kuifungua nchi na watu wote tukashangilia? Mnakumbuka alisema atakamilisha miradi yote iliyoachwa na Hayati Magufuli na watu wote...
  15. JamiiForums Tanzania Kumbe na hapo Samia alikuwepo?

    Ni JPM alipokuwa akiunguruma kwa hasira mbele ya wote waimba nyimbo na mapambio. Ajabu ni kwamba hata mjomba wa jamaa zetu alikuwa hapo.
  16. JamiiForums Tanzania Rais Samia, mbona umewafuta ma DED wenye Hati Safi baadhi ya Halmashauri huku ukiwarejesha Ma DED uliowatumbua huko nyuma kwa uozo wao?

    Bado naendelea kujiuliza, Kwanini mambo Yako hivi?. Rais Wetu, hao wanaokuletea majina, wamekupa nini?? Mbona wanakugombanisha na watu?. Ni kweli ,huenda umehakikishiwa Urais Kwa namna yoyote, huenda pia umeona ufunike kombe umalize ungwe yako, ila yote Kwa yote ya Mungu Mengi. Nikajua...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini Viongozi kutokea Zanzibar wanapenda kuuza ardhi ya Tanganyika?

    Heshima kwenu wanajamvi, Kumekuwa na sintofahamu kila mara kiongozi mkuu wa nchi (Rais wa JMT) akitokea nchi ya Zanzibar jambo la kwanza ni kuuza ardhi ya Tanganyika. Rais wa awamu ya pili Mzee Ally Hassan Mwinyi aliuza ardhi ya wamaasai huko Loliondo kwa waaarabu wa Dubai UAE. Rais Samia...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Takriban 90% ya threads zote kwenye JF ndani ya siku hizi 2 zinahusu sakata la mkataba wa Tanzania na DP WORLD ya UAE. 99% ya comments hazikubaliani na namna Rais Samia na Bunge walivyo handle mkataba huu. Kuna vitu 3 vikubwa ambavyo hata wale wanaounga mkono ubinafsishaji hawakubaliani:- 1...
  19. JamiiForums Tanzania Kipi kimempata Rais Samia mbona alikuwa anaenda vizuri tu?

    Inasononesha sana hali hii ya SINTOFAHAMU inayoendelea kulikumba taifa kwa kile kinachotajwa ufisadi mkubwa kupitia mkataba uhusuo bandari yetu na Waarabu. Mwanzoni alikuwa anaonekana yupo sawa kiuongozi lakini kwa kinachoendelea ni wazi ni pigo kuu kisiasa na AIBU kwake. Kipi kimemkuta Rais...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia alimtumbua DED Msongela Nitu Palela kwa utendaji na usimamizi mbovu na Ufisadi, leo amemteua Palela Msongela Nitu

    Mimi Huwa nikiwaambia, tuna Rais Kazi yake ni KUSAINI TU muwe mnanielewa, yaan tuna Rais akiletewa makaratasi hajishughulishi kwenda Ndani zaidi, ajiridhishe Kisha atoe ruksa. Ebwana eeh Leo katika Kupitia majina ya UDED japo nione jina langu, kijana Mzalendo kama Mimi, nikakutana na hili jina...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…