samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. The Palm Beach

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa TCD: Zuio la mikutano ya vyama vya siasa ni halali kwa sababu CHADEMA wanamsema vibaya Rais Samia na Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba!

    https://youtu.be/6J2JmIcz8jM?si=yQX0B9XISyGvqc9L Sasa Chawa wamefumka, wanaanza kujiropokea hovyo... Kusema ukweli, hawana hoja. Wako desperate kutetea maovu na uovu wao wakidhani wataokoka. Hawataki kukosolewa. Wanatoka tuwaze na tufikiri kama wanavofikiri wao, ujinga na upumbavu. HAIWEZEKANI...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia angalia sana, hawa CHADEMA watakulipa malipo waliyomlipa Dr. Kikwete, Rais Mstaafu

    Rais Kikwete alikula pamoja na wapinzani Rais Kikwete alicheka pamoja na wapinzani. Rais Kikwete aliifanya CHADEMA ijulikane. Rais Kikwete aliifanya bunge la Tanzania kuwa bunge haswa kwa kulifanya bunge mseto . Rais Kikwete ndiye aliyefanya Kambi ya upinzani bungeni kupata heshima Lakini leo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akutana na Alhaji Aliko Dangote, Ikulu na timu yake Ikulu ya Dar, leo Juni 28, 2026

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha na Mfanyabiashara kutoka nchini Nigeria ambaye pia ni Mwanzilishi na Mmiliki wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 28 Juni, 2026.
  4. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Rais Samia suluhu Hassan Naomba mfukuze waziri wa mambo ya ndani huyu anakuhujumu mchana kweupe

    Kwa kipindi tulichopo nakushauri fukuza huyo waziri wako anaitwa Katambi huyu ni Kama anakuhujumu mchana kweupe. Kwa kipindi kama hiki joto ni kubwa kwenye nchi yetu liko juu sana sio ndani ya nchi tu mpaka nje ya nchi tumeona nchi za magharibi zinataka kutunyima...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Balozi wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), aliyemaliza muda wake nchini Tanzania, Khalifa Abdulrahman Almarzouqi, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 26 Juni, 2026.
  6. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kikwete "2025 hakuna wa kuchukua fomu ya urais kumpinga Samia, labda mambo yaharibike sana"

    Natafakari sana kauli hii ilimaanisha nini? Uzi tayari
  7. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki ufunguzi wa Jengo la Mionzi (Chemotherapy) Hospitali ya KCMC-Moshi Kilimanjaro

    https://www.youtube.com/live/tbA3qAYbzio?si=33KuineyOZDSZmtR Video Courtesy: Directorate of Presidential Communications YouTube Channel
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna maneno mufti zuberi alishawahi sema kuwa samia kaandikwa kwenye quruan.

    Kuna kiwango kikipitiliza cha kujipendekeza mpaka kinakosekana cha kujipendekeza. Kuna siku mufti zuberi akiitisha wanahabari na mnukuu maneno yake kuwa samia kaandikwa kwenye quruan raisi wa tanzania. Cha kujiuliza ni hii Quruan ambayo ijawahi kuchezewa wala kubadilishwa. Ila cha kushangaza...
  9. technically

    JamiiForums Tanzania Baada ya misheni ya bifu Kati ya Samia na NCHIMBI kubuma Sasa TISS wamekuja na misheni ya Muungano

    Je watafanikiwa ? Baada ya kushindwa kupitia Samia na NCHIMBI kuwaadaa watanzania Sasa wametengeneza misheni nyingine eti mgogoro wa Tanganyika na Zanzibar. Hivi Kuna mzanzibar mwenye ubavu wa kuvunja Muungano? Wakati Muungano ukivunjika 40% ya wazanzibar watarudi kwao na Wana baadhi ya...
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Rais Ndaitwah: Uongozi wa Samia ni hamasa kwangu

    Rais wa Namibia, Netumbo Nandi-Ndaitwah, amesema anathamini kwa kiwango kikubwa uongozi wa Rais wa Samia Suluhu Hassan, akisema umekuwa chanzo cha hamasa na msukumo katika safari yake ya uongozi. Ameeleza hayo leo Juni 20,2026 wakati akizungumza na wanahabari Ikulu Dar es Salaam, akiambatana na...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Kwanini Samia amekaa kimya Zanzibar inapotishia kuvunja katiba na kufanya ubaguzi wa wazi?

    Hakuna ubishi. Masuala mawilli, kuhusu wabara kuondolewa au hata kutotibiwa visiwani na kutangaza siku ya mwaka wa kiislam kuwa mapumziko ni chembe chembe, chokochoko, na viashilia vya kuuvunja muungano. Wengi wameandika juu ya upuuzi huu na kulaumu. Ajabu, rais wa muungano yuko kimya! Je...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aendelea Kuwa Almasi Ya Dunia. Rais Wa Namibia Kutua Nchini Hapo Kesho.Wazungu nao waendelea Kupigana Vikumbo Kuomba nafasi ya Kuja

    Ndugu zangu Watanzania, Nashindwa Niandike nini hapa ,Nashindwa nimuelezee Vipi Rais Samia , Nashindwa Nizungumze Nini Nanyi Maana Rais Samia Anaendelea kuonyesha kuwa ni chaguo la Mungu , anaendelea kuonyesha Kainuliwa na kupewa kibali na Mungu Mwenyewe. Rais Samia anaendelea kuonyesha kuwa...
  13. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania RAIS SAMIA AIPA NCHI HESHIMA KIUCHUMI

    ✅️Mbunge aeleza alivyoanza kuwatoa Watanzania kuombaomba misaada. ✅️Aeleza alivyoondoa utegemezi Kidogokidogo hadi kubakia asilimia 0.9 ✅️Alianza kupunguza kutoka Shilingi trilioni 1,Shilingi bilioni 925,Sasa bilioni 563.
  14. Stroke

    JamiiForums Tanzania Baada ya Russia Rais Samia aende Marekani kwa ziara

    Baada ya kutoka Russia samia aende Marekani. Watamwalika kwakuwa Russia na Marekani ni mahasimu. Marekani naye atataka kupata vile ambavyo Tanzania na Russia walikubaliana. Aombe ziara ya hata siku moja itatosha, Lazima Marekani wampokee.
  15. C

    JamiiForums Tanzania Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu

    Najua Mungu ni mmoja na Sisi kama watu tunaishi mfumo wa kimaendeleo ambao unamtukuza Mungu kwa kushirikiana na kusaidiana kiutendaji kutimiza lengo la Mungu kikazi, kimaendeleo, fursa na riziki ndiyo maana tumekua ndugu na marafiki na Leo hii tunawasiliana kwa mipango ya Mungu.
  16. Q

    JamiiForums Tanzania Kishindo cha vikwazo kesho, Nchimbi na Kombo wapo Marekani, Samia yupo Dubai

    Bunge la seneti la Marekani kesho linatarajia kukaa na kuujadili mswada kuhusu mahusiano yetu na Marekani. Makamu wa Rais na Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania wapo huko kujaribu kubadilisha upepo. Kwa mujibu wa chapisho la The Africa Report, chini ya kichwa cha habari, "US-Africa Week Ahead...
  17. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo amkabidhi Guterres ujumbe wa Rais Samia

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  18. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Kombo afikisha salamu za Rais Samia kwa Katibu Mkuu Umoja wa Mataifa

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Mahmoud Thabit Kombo (Mb), amewasilisha ujumbe maalum wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Mhe. António Guterres, na kusisitiza dhamira ya Tanzania ya...
  19. Etwege

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hii miradi imekukosea nini?

    Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia ina aleji kubwa na miradi ya kimkakati iliyoanzishwa kwa lengo la kumaliza matatizo ya watanzania. Rais Samia amegoma kuuzindua mradi wa bwawa la Nyerere uliojengwa kwa lengo la kukomesha tatizo la umeme ndani ya nchi. Rais Samia amegoma...
  20. n00b

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa Mwigulu amshukuru Samia kwa teuzi mbalimbali kwa baba yake ikiwemo kuwa Waziri Mkuu

    Wakuu, Mnazionaje siasa za Mwigulu Nchemba na familia yake? Wanatuonaje watanzania?
Back
Top Bottom