samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Haki lazima itendeke bila uchoyo na upendeleo

    Rais Samia Suluhu amesema hayo wakati anafungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Chama cha Mahakimu na Majaji Tanzania (TMJA) katika viwanja vya Makao Makuu ya Mahakama (Judiciary Square), mkoani Dodoma, leo Januari 13, 2026.
  2. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Ijue Taasisi ya Madrid Bar Association waliomshitaki Samia ICC

    Hili jambo la Samia kushitakiwa ICC watu ( haters wa Samia na Machawa wa Samia) wote hawajui chochote kuhusu legal procedures za ICC. Machawa wanabwatuka kuwa kamwe Samia hawezi kufunguliwa kesi na kutolewa arrest warrant. Sasa ni hivi hii issues ya ICC ilikuwa ni very calculated mission, na...
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Majaliwa na Mpango kuteuliwa kama washauri wa Rais ni mkakati wa kupambaza

    Majaliwa na mipango kuwekwa washauri wa rais ni kuwapumbaza walidaiwa kumpinga nyuma ya pazia hizo nafasi ni hewa tu huwezi kumshauri samia chochote. Samia hashauriki chochote amewaweka hapo kwasababu ya ushawishi wao kwenye nchi na yeye amepoteza ushawishi na anakesi kubwa za mauaji ya...
  4. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Tanzania tunavyombo vya kuzuia WIZI, havifanyi KAZI analaumiwa Dr Samia ambaye hata course ya Umumugambo Hana so stupid.

    Rais Samia sidhani kama hata course ya Umumugambo anayo lakini analaumiwa. Nchi kila sehemu Ina vijitu vinatwa usalama wa taifa Nyerere aliviwekega mpaka barabarani na vilifanya KAZI nzuri sana , Tuna polisi ofkozi Hawa wapo vituoni kwao hawaingiii hata OFISI yoyote ningumu kujua kama IKULU...
  5. mirindimo

    JamiiForums Tanzania Mnaongea na Samia mwambieni Watanzania wanajua yote

    Wanajua yote yanayoendelea mradi wa Mwendokasi kua; Emirate wamewekwa kama bortion lakini nyuma ya pazia yupo Mwanae Wanajua kua anae endesha mradi wa mwendokasi wasasa hivi anakula na baadhi ya viongozi ndio maana kufanya maboresho imekua shida sana na hakuna kitu wanaweza mfanya Wanajua kua...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Samia kila anachokifanya kinayeyuka kama barafu, jamii imemkataa

    Huyu Mama ambiwe ukweli na watu wake wa karibu, jamii imemtenga haimtaki kabisa,kila anachokifanya yeye au washirika wake kinabuma. Na kila anayemtete mbele ya jamii anaonekana ni adui na msariti. Sijawahi kuona kiongozi aliyekataliwa na jamii kama huyu Angalia ishu ya Waziri wa mambo ya...
  7. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Tusilaumu tu bali tujiulize kwanini Samia anachukia hivi

    Hakuna ubishi. Samia Suluhu Hassan ni mmojawapo wa watawala wanaochukiwa ndani ya nje. Japo anao machawa wake wanaomtetea na kuwaona wanaomchukia kama wasaliti na wenye makosa kwa sababu wazijuazo ambazo nyingi ni za kibinafsi, ukweli usemwe tu. Samia anachukiwa. Naye analijua hilo. Ukisikia...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Watanganyika Samia anatumia nguvu nyingi kutuharibia nchi yetu, Kwanini sio Dkt. Shein?

    Kwa nini asiwachague Wazanzibar wastaafu wamshauri? Watanganyika tukatae hili, kama anaweza kutawala akawatawale Wazanzibar wenzake
  9. blogger

    JamiiForums Tanzania Kitendo Cha Rais Samia kutotaka watu/viongozi wawe na maoni kinzani kinaenda athiri taasisi na idara zote za kiserikali

    Ndugu zangu Watanzania kwanza nianze Kwa masikitiko makubwa Kwa Taifa kufika hapa lilipo fika. Hivi kama ni kweli Yale maoni ya G. Simbachawene ndio yamesababishwa atolewa nyadhifa yake , je! Ni nani Sasa ataweza kuja tena mbele ya vyombo vya habari na kuwa na mtazamo hasi. Yani ni kwamba...
  10. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Magufuli alipomtumbua Simbachawene alitwambia alikuwa analeta Uendisome IKULU, je Samia ATASEMAJE?

    Nilmjua katambi akiwa chadema Hana sifa na hadhi ya kuwa WAZIRI WA mambo ya ndani kama ambavyohafai chawene. Magufuli alimchunguza na kubaini jamaa anatembeza sura na kitombo IKULU akamtumbua je mama atatwambia Nini sababu ya kumtumbua?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Ushindi wa Tyrant of the Year kwa mtukufu, nao wizi kama alivyopola uchaguzi wa 2025!

    Embu tuacheni ushabiki tuuseme ukweli Mtukufu anashindaje tuzo hii kwa kuwashinda Netanyahu waziri mkuu wa Israel kama sio wizi kama kulivyofanyika kwenye uchaguzi? Trump, Rais wa Marekani anamshindaje kwa mfano kama sio wizi mwingine huu? Zipi sababu za mtukufu huyu kushinda Tyrant of the...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Simbachawene ameonekana kuwa mkubwa kuliko Samia mwenye ushawishi ndio maana wahuni wamemtoa asisikike

    Simbachawene ameonekana kuwa mkubwa kuliko samia mwenye ushawishi ndio maana wahuni wamemtoa asisikike. Nchi upumbavu mwingi sana hii tusitarajia mabadadiliko yoyote tena bali ni upumbavu tu
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Samia ashinda tuzo ya Tyrant of the Year( Mtawala Mbaya wa Mwaka)

    Mama Samia ameshinda tuzo ya Tyrant of the Year. Watanzania wengi walimpigia kura. Walihamasishana mitandaoni na wakafanya kampeni kuhakikisha anashinda. Lakini ukweli ni huu: sidhani kama alipaswa kushinda tuzo hii, hata kama orodha ya madhambi yake haina mwisho. Ni kweli aliwateka nyara na...
  14. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Video: Samia amtambulisha mwanae Wanu Hafidh kwa bwebwe. Geuka wakuone, hawajakuona, anafanana na nani .?

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akimtambulisha Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh, wakati wa uzinduzi wa Hoteli ya Jaz Elite Aurora iliyopo Michamvi, Mkoa wa Kusini Unguja, Zanzibar. Uzinduzi huo umefanyika tarehe 09 Januari, 2026.
  15. technically

    JamiiForums Tanzania Samia jisafishe kwanza bado unanuka damu

    Narudia Tena hutoboi Jisafishe kwa damu ya October 29 Wafungwa wote wa kisiasa watakutesa Sana. Utekaji utakutesa sana Jioshe warudishwe waliopotea hata Kama Ni mafuvu yao. Mrudie Mungu wako tubu Ongea na moyo wako damu ni nzito kuliko maji
  16. K

    JamiiForums Tanzania Samia kapania kugeuza Tanzania kuwa Zimbabwe ya Mugabe! Dollar $ itapanda

    Tumerudi kulekule dollar kwa makampuni Tanzania wanabadilisha sasa kwa 2900 wakati serikali imeshukilia 2450 kuna upungufu wa dollar kwa kiasi kikubwa sana. Tanzania ni kama zimbabwe wakati wa Mugabe ineenda chini polepole kila siku
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Mzigo mpya wa mwendo kasi umeingia bandarini - Kongole Rais Samia

    https://www.tiktok.com/@obbyferooz/video/7592916506229460244?is_from_webapp=1&sender_device=pc
  18. Lancashire

    JamiiForums Tanzania Mh.Rais Samia nakushauri utekeleze yafuatayo kurudisha Imani ya watanzania katika Serikali yako

    1.Tekeleza miradi ya maendeleo kwa zaidi ya asilimia 90 ambayo uliahidi katika ilani ya CCM 2. Fanya restructuring katika vyombo vya ulinzi na usalama hass polisi .nimeona umemuondoa waziri wa mambo ya ndani ila sijajua sababu lakini jeshi la polisi linahitaji kubadilishwa .yaliotokea oktoba 29...
  19. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran Kuzima Internet:

    Huyu aliyezima internet Tanzania ndiyo amemshauri Ayatollah kuzima internet? Mwisho wa utawala wa kidhalimu na kipumbavu umekaribia.
  20. R

    JamiiForums Tanzania Mwigulu: Tuna rais wa mfano kwa kuwahurumia watanzania hataki kuendesha serikali kwa fedha ya dhuluma

    Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika mkutano na madereva pikipiki, bajaji na machinga wote leo Januari 8, 2026 katika ukumbi wa Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam, amesema Tanzania tuna Rais wa mfano anayejali na kuwahurumia watu...
Back
Top Bottom