samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Rais Samia , huu ni mtihani wako wa mwisho. Mtihani huu ndio utaamua wapinzani wakuheshimu au wakudharau.

    Tangu kuundwa vyama vingi 1992 hakuna kipindi wapinzani walikuwa na nidhamu kwa serikali na Rais kama kipindi cha Magufuli. Magufuli hakuwapa muda wa kupumua kabisa. Rais Samia ulipoingia ulitaka uonekane mwema kwa watu wote, ndio maana ukaanzisha 4R, ukawarudisha akina LISSU na wenzake waje...
  2. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Siziamini takwimu za idadi ya waliouliwa kwenye maandamano

    Iko hivi…. Kwa kawaida serikali nyingi duniani, hususan hizi za kwetu huku kwenye hizi jamhuri za ndizi, huwa hazitoi takwimu sahihi za wahanga wa majanga asili au majanga yasababishwayo na watu. Sasa jana huyo Chande kasema tume yake imehesabu watu 518 ndo waliouliwa. Naamini huo ni uongo...
  3. JF Member

    JamiiForums Tanzania Kwa Maprofesa wanaomzunguka Samia

    Hawa MaProfesa ninao waona kwenye uwaziri na Wengine mulioko hapo Ikulu. Hamuna uwezo wa kuanzisha darasa kwa Samia Ili mumusaidie walau ajue uongozi? Mbona mmemuacha tu kila siku yeye ni kuchamba tu anao eaongoza, anataka aonekane yeye hakosei? Yeye ndio anaamua watanzania waishi vipi...
  4. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Samia wewe ni mama yangu mkubwa ila leo umezidisha hasira kwa Watanganyika. Subiri moto uwake upya

    Kauli yako ya kusema hii ripoti ni ya kwako wakati kodi za Watanganyika zimetumika kuwalipa hawa vibonge kwenye tume ucharwa, kweli kabisa? Kwanini huishiwi na vituko katika hotuba zako? Ni kwambie tu mama mkubwa kilichotokea leo kimekoleza moto kwa Watanganyika, wataendelea kukubagaza sana...
  5. instinct desire

    JamiiForums Tanzania Naiona hekima, busara, unyenyekevu na uzalendo mkubwa wa Rais Samia. Awe darasa kwetu sote

    Ukisikiliza hotuba za Mh. Rais Dr Samia Suluhu Hassan, unaona ni hotuba zilizobeba uzalendo, hekima, unyenyekevu na busara ya Hali ya juu sana. Nimekuwa nikifatilia hotuba za Marais wa bara la Africa unaona kabisa wanakosa hekima, unaona kabisa hotuba zao zimejaa kubomoa hata jumuia zetu...
  6. O

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Kwa Ripoti hii ya Chande, Je, Samia ataweza kuukwepa mkono wa Sheria wa ICC?

    Wachache wenye uelewa hatukutegemea jambo jipya kutoka kwa Tume ya Jaji Chande. Hata hivyo, ukifuatilia kwa makini uwasilishaji wa ripoti hii, unaonekana kama utetezi kwa Samia na serikali yake mbele ya jumuiya ya kimataifa. Kwa wataalamu wa sheria, je, ripoti hii inamaanisha kwamba Samia...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ripoti hii ni ya Rais wasije wakatokea watu wengine wakadai ownesrhsip ya ripoti hii

    "Tumesikia masuala yaliyobainishwa na tume pamoja na mapendekezo kwa muhtasari. Lakini mmeshuhudia ripoti niliyokabidhiwa na mavitabu yale yaliyoko pale. Hii ni ripoti ya Rais. Aliyeunda tume ni Rais, na ripoti yote hii ni ya Rais. Kwa hiyo, wasitokee watu wengine wakadai ownership (umiliki) wa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Sikutarajia Kadhia hii ingetokea nikiwa Rais, Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu

    Rais Samia amesema; "Waheshimiwa viongozi na Watanzania wenzangu, wakati nikielekea kuhitimisha nataka nikiri kwamba mimi binafsi sikutaraajia kadhia hii ingetokea kwenye nchi yetu kipindi hiki nikiwa kiongozi mkuu wa nchi. Jambo hili limenitwisha mzigo mzito mabegani kwangu. Lakini nataka...
  9. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Samia aambiwe bunduki haikuzuia machafuko bali ulangai wa jeshi la wananchi

    Hicho ndicho kilichozuia machafuko zaidi! Bunduki haijawahi, haitawahi na haiwezi kumzuia mwanadamu anayetaka kujinasua kwenye uovu wa mtesi. Jeshi la wananchi lilitumia mbinu ya ulaghai kuwashawishi wananchi warudi majumbani kisha wakawafanyia ambushi kitu ambacho hata wao wanalijua.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: tumepanga kukamilisha mchakato huu (wa katiba mpya) katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita

    "Pamoja na hayo, bado kuna mambo kadhaa ya kufanyiwa kazi katika mawanda ya siasa, ikiwemo suala la mabadiliko ya Katiba. Kama mnavyofahamu, na kama nilivyoahidi, tumepanga kukamilisha mchakato huu katika kipindi hiki cha pili cha awamu ya sita. Na ni suala la kipaumbele kwenye ilani ya...
  11. M

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vurugu hazikuondoa changamoto, bali zimeongeza

    Rais Samia amesema kuwa yaliyotokea Oktoba 25 (29) hayakuondosha wala kupunguza changamoto tulizokuwa nazo, bali zimeongeza changamoto. kama ghasia zile zisingedhibitiwa nchi ingepata athari kubwa sana na ingetuchukua miaka mingi kuinuka tena. Amewasii watanzania kulinda amani ya nchi.
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Tusimame dakika moja tuwaombee waliopoteza Maisha Oktoba 29

    Rais Samia amesema "Katika kuwakumbuka na kutoa heshima kwa waliotangulia mbele ya haki, ninaomba tusimame kwa dakika moja. Tumwombe Mwenyezi Mungu azipumzishe roho zao mahali pema peponi. Kila mtu kwa imani yake."
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Bila shaka, jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndiyo imefanya Tanzania iwe leo ilivyo

  14. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia ndiyo imefanya Tanzania iwe ilivyo vinginevyo tungekuwa tunazungumza hadithi nyingine

    "Jitihada za vyombo kudhibiti ghasia na vurugu zile ndio zimefanya Tanzania iwe leo ilivyo. Vyenginevyo tungelikuwa tunazungumza hadithi nyingine. Lakini hapa mwenyekiti haimaanishi kuwa kwa wale ambao tutabaini wamekiuka sheria na taratibu za kazi zao kwamba hatutawajibisha, tutawajibishana." -...
  15. McLaren

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Kulikuwa na upotoshaji mkubwa habari za Oktoba 29 hususani vyombo vya habari vya nje na vya kimataifa

    Wakuu, Anazungumza Rais samia wakati akipokea ripoti ya tume ya kuchunguza matukio ya uvunjifu wa amani uchaguzi mkuu 2025
  16. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uchunguzi wa Amani wakati na baada ya uchaguzi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye hafla ya kupokea Ripoti ya Tume ya Rais ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba, 2025, Ikulu Jijini Dar es Salaam, tarehe 23 Aprili, 2026. #UmojaWetuNdiyoNguvuYetu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Nani kamdanganya Samia kinga ya Rais inamuhusu?

    Samia amekua delussional hadi hajui anazidi kujikaanga hata CCM watamkataa
  18. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Je, unaouna na kuutathmini vipi utawala wa Samia?

    Kichwa cha habari kiko wazi. Nakaribisha wote. Waje na sababu za maoni na misimamo yao tuelimishane, kujuzana, na tunufaishane kiakili ili tuelewekeke na kujikomboa. Hii, itakuwa ni onyo na somo kwa mlengwa na watu wake. Pia, ni fursa ya kujitathmini, kujirekebisha mbali na kujua ukweli hata uwe...
  19. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afuta vibali vya wawekezaji wageni uchwara wa Madini na kuwapa Vijana wazawa wa BBT Madini

    My Take Pamoja na uamzi huu mzuri wa kuwapatia fursa Vijana wa zawa Vitalu vya Madini lakini Machadema yataanza kutukana hovyo badala ya kupongeza kama Afrika nzima inavyompongeza Rais Samia Kwa uamzi wa kishujaa na kizalendo. https://www.instagram.com/p/DXMc7YtDEjQ/?igsh=YTFkODFzZnhsbGF4
  20. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI ya SAMIA kama hamtashughulika na Majizi yaliyopo Halimashauri ya BUTIAMA , Hospitali Mpya ya Wilaya ya BUTIAMA Haitokaa Kumalizika Ujenzi

    Mimi ni Chadema Damudamu, na kama ambavyo Chama Changu hakiitambui Serikali hii ilotokana Uchaguzi Haramu !! Kuna Wakati kama Mtanzania Unaumia na kutoa Machozi !!. Ukamilashaji wa Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya BUTIAMA , Sulihisho sio Kubadilisha Ma DMO , Ma DMO mtabadili sana na Kila...
Back
Top Bottom