samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awaapisha viongozi aliowateua, leo Mei 6, 2026

    https://www.youtube.com/watch?v=J6rFxg187NY
  2. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wakenya: Samia, sisi si kama watanzania, hatuogopi Ruto, si boss wetu. Kenya inahitaji mazuri zaidi ya Ruto

    Mama Samia kasema na kumwomba Ruto awashughulikie wapinzani huko Kenya kama yeye anvyowashughulikia huku Tanzania. Hii kauli si tu kuwa ni undiplomatic lakini ni kuingilia mambo ya ndani ya nchi jirani. Kwa viwango vyovyote si kauli ya kistaarabu kisiasa. Hapo ndio najiuliza kama speech writers...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Ukweli: Rais Ruto aliogopa kumualika Rais Samia

    William Ruto aligopa kumualika Rais Samia nchini Kenya kuongelea refinery ya Tanga kwasababu aliogopa atazomewa na vijana Kenya na maandamano yangekuwepo. Lakini kwa akili yake ndogo haelewi kwasababu anaishi kwa kujidanganya danganya. Mama Samia kwasasa amekuwa na umashahuri wa utekaji, wizi wa...
  4. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Kama ipo ipo tu; CCM na Rais Samia wanazidi kudharauliwa na Watanzania, CHADEMA inazidi kukubalika

    Ziara ya Drogba na Rais Ruto ina umuhimu gani kwa maisha ya mtanzania amabae anaishi kijihini ambapo maji na umeme ni tatizo kubwa. Mpaka sasa Watanzania wengi wanaoishi vijijini na hata miji mikubbwa kama Mwanza na Dar majji tatizo.. Ziara ya Ruto ina umuhomu gani kwa Tanzania. Ujenzi wa oil...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria mkuu wa Chadema atoa maamuzi ya kikao cha kamati kuu, yaitwanga vikali ripoti ya Jaji Chande, wamvaa Rais Samia

    05 May 2026 Maazimio ya Kamati kuu ya CHADEMA MWANASHERIA MKUU WA CHADEMA, ASOMA MAAMUZI YA KAMATI KUU YA CHADEMA WAIRARUA VIKALI RIPOTI YA JAJI CHANDE, WAMVAA RAIS SAMIA https://m.youtube.com/watch?v=WgE5hkLdB_s Kamati Kuu ya CHADEMA inasema imejiridhisha pasi kuwa na shaka kuwa...
  6. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Jaji David Maraga asikitishwa na kauli ya Rais Samia

    Jaji mkuu mstaafu wa Kenya, David Maraga ameandika katika ukurasa wake wa X akieleza masikitiko yake kwa kauli ya Rais Samia Suluhu Hassan aliyoitoa Mei 4 wakati akimpokea Rais wa Kenya, William Ruto jijini Dar es Salaam. Endelea.... "Kama Jaji Mkuu, nilithamini udugu uliopo ndani ya Jumuiya...
  7. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Ruto kamjibu Samia kwa akili kubwa sana kuhusu maadui wa Afrika Mashariki

    Guys guys Wakati samia aliongea kwa jaziba, Muhemko na chuki huku akihamasisha uonevu juu ya raia. Ruto kajibu kwa akili kubwa kwamba hao GenZ wala siyo tatizo. The big challenge ni "umaskini na ajira". Ni dhahiri kabisa kizimkazi hamna kitu kwa kweli
  8. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Walimu 150 wa Amali Waliohudhuria Mafunzo India Warejea, Prof. Shemdoe awapongeza kwa kuonesha nidhamu

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OWM-TAMISEMI), Prof. Riziki Shemdoe na Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof. Adolf Mkenda wamewapokea walimu wapatao 150 wa amali waliokwenda kwenye ziara ya mafunzo ya mwezi mmoja nchini India, ambayo...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Wanaharakati Kenya: Hatutishwi na matamshi ya Rais Samia

    Mwanaharakati wa Kenya, Hussein Khalidi amesema kuwa wanaharakati wa Afrika Mashariki hawatishwi na kauli ya Rais wa Tanzania, Saia Suluhu Hassan ya kuwaonya Gen-Z wa Afrika Mashariki kuwa watachapwa viboko kila watakapokwenda. Soma Pia: Rais Samia: Tusikubali kuchochewa na wanasiasa...
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Hivi Samia anawajua Wakenya kweli?

    Kenya sio Tanzania demokrasia yao ni kubwa kuliko yetu na freedom of expression iko juu sana, nafikiri Ruto alikuwa anamkubalia tu kwa vile ni mgeni wake. Wakenya hasa Gen Z wa Kenya ni next level hata Ruto mwenyewe anawaogopa juzi karushiwa chupa ya maji. Last time GenZ wa kenya...
  11. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Biblia inasema "Wapendeni adui zenu na kuwaombea" Mungu nipe uwezo wa kumpenda Samia na kumuombea.

    Nina hasira sana baada ya watoto wangu wawili kuuawa na miili yao kupotezwa, licha ya kwamba tuliiona Mwananyamala, ila tukanyimwa kupatiwa. Nahangaika na kujitibu hisia. Nimeamua nitue mizigo yangu kwa Yesu na kumtwika fadhaa zangu kama asemavyo tumtwike yeye fadhaa zetu katika 1Petro 5:6-7...
  12. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Samia: Tuhakikishe East Africa inasimama tunavyotaka sisi na sio wanaotaka wale

    Rais Samia amesema Tuhakikishe East Africa inasimama tunavyotaka sisi na sio wanaotaka wale tunamengi yakufanya East Africa Community ni Community kubwa ya kiuchumi inajilewa, inayoweza kusimama yenyewe Tuna mengi ya kufanya. Soma Pia: Samia: Neno “Demokrasi” lisituchafulie nchi zetu, mila na...
  13. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Samia: Neno “Demokrasi” lisituchafulie nchi zetu, mila na desturi zetu

    Rais Samia Suluhu Hassan wakati akizungumza katika Kongamano la biashara baina ya Tanzania na Kenya, JNICC, Dar es salaam amesema Neno Demokrasi lisichafue nchi zetu, wala mila na desturi zetu Soma Pia: Samia: Nimeongea na Rais Ruto, wale watoto wetu watovu wa adabu, wakija kwako chapa mikwaju...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia anavyojenga Diplomasia ya uchumi kwa weledi mkubwa

    Na África J&L, Dar es Salaam Wakati Rais William Ruto atakapohutubia Bunge la Tanzania Mei 5, 2026, akiwa kiongozi wa kwanza wa Kenya kufanya hivyo, wengi wataona tukio la kihistoria. Lakini kimsingi, hili ni zaidi ya historia. Ni ushahidi wa jitihada za utekelezaji wa diplomasia ya uchumi...
  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania FALSE Samia suluhu hassan has allegedly given South African citizens 48 hours to leave the country

  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ampa tuzo Profesa Ndunguru kwa kuboresha TPHPA

    Mkurugenzi wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu Tanzania (TPHPA), Profesa Joseph Ndunguru ni miongoni mwa wafanyakazi waliopewa tuzo ya ufanyakazi bora na Rais Samia Suluhu Hassan katika maadhimisho ya Mei Mosi yaliyofanyika mkoani Njombe. Profesa Ndunguru anayetoka Chama cha wafanyakazi...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Kuna makubaliano TANESCO na Shirika la umeme la Rwanda (REG) kuanza kuuziana umeme

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026. Rais Samia amezungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Tanzania na Rwanda, ikiwemo Mradi wa Umeme wa Rusumo unaohusisha Tanzania, Rwanda, na Burundi...
  18. R

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Biashara yetu kati ya Tanzania na Rwanda imekuwa hadi kufikia Bilioni 644 mwaka jana 2025

    Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya mazungumzo na Rais wa Rwanda, Paul Kagame leo Mei 3, 2026 ambapo amebainisha kuwa mazungumzo yalifanyika yaliyohusisha pia mawaziri na viongozi wengine wa serikali. Pia alieleza Biashara kati ya nchi hizi mbili imekua kwa...
  19. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amkaribisha Rais Kagame Ikulu

  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Samia na Kagame Wakutana Dar

Back
Top Bottom