samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

    Kwamba kufa ni sawa hata kama ni premature death! Kwamba wale wanaokufa mahospitalini kwa sababu ya uzembe wa serikali kupeleka vifaa na wataalamu waliobobea navyo ni vifo tu! Kwamba vifo vitokanavyo na ajali za barabarani ambavyo vingi ni kutokana na uzembe wa polisi wa usalama barabarani...
  2. JamiiForums Tanzania Salma Kikwete mwaka jana alimwaga sifa kibao kwa Samia kutoa mabilion ya kujenga barabara, lakini jana kafungua mdomo wake jimbo lake halina lami

    Mwaka jana 2025 alisimama bungeni kuitangazia Dunia kuwa Samia amemmwagia mabilioni kedekede kwaajili ya ujenzi wa barabara nk, kwahio (hamdai Samia) mbunge huyo huyo jana 21 Mei, 2026 kasimama kwenye bunge hilo hilo kusema kuwa jimbo lake halina lami hata kidogo Wanavyozungumza wawe...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Makonda alipopigwa Ban Magufuli alimtumbua, Samia akamrudisha, Je atamtumbua Mafwele au atamteua awe IGP.

    Magufuli alimtumbua Makonda ili kujitenge mbali na uchafu wake sidhani kama Samia atakubali kuwa mnyonge kwa Marekani kama mtangulizi wake. Nategemea Samia badala ya kumtumbua Mafwele atamteua awe IGP kamili, kuonyesha jeuri kuwa hatuingiliwi na mtu, ili kuendeleza slogan yake ya 'Who are you'.
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia kama ana uchungu na Watanganyika kwanini hamchukulii hatua Afande Mafwele pamoja na tuhuma zote hizi?

    Watanganyika tunaonewa sana. Kwanza kabisa taifa letu lilimezwa na sasa halijulikani lilipo. Tanganyika imemezwa. Tunadanganywa eti kuna Tanzania bara na Zanzibar. Alafu tunaumizwa sana. Maana utekaji umekuwa ukiumiza amani ya mioyo ya watu. Angalia tukio la Sativa. Kwenda kutupwa porini na...
  5. JamiiForums Tanzania Samia Kubadili Dar & Dodoma: Miundombinu Mipya

    Dkt. Samia Suluhu Hassan kubadili majiji, Dar es Salaam na Dodoma. 📌Atatandaza Flyover Tabata, Morocco, Mwenge hadi Kongowe 📌Zitafuata pia za makutano ya Fire, Magomeni na eneo Kamata 📌Dar, Mkoa Pwani kushuhudia barabara njia 8, Dodoma njia 6
  6. JamiiForums Tanzania Kahama: CCM, yaanza kuvunja Vizimba vya CHADEMA

    Hapa ni Mhongolo iliyopo Manispaa ya Kahama. Wananchi walijenga kizimba cha CHADEMA kikavunjwa, wakajenga tena Katibu Mkuu akakizindua nacho kimevunjwa tena. Ni Aibu kwa CCM ya huyo wennu Samia. Kizimba kinaandamana? Kinapiga kura? Kuua wanachama wa Chadema mumeona haitoshi?
  7. JamiiForums Tanzania Rio Ferdinand akabidhiwa jezi iliyoandikwa Samia Jembe Ulaya

    Ila uchawa kazi jamaniii! sasa ilo jembe la ulaya limelima mashamba mangapi huko ulaya? Bado tutaona mengi ========== Wachezaji wa zamani wa soka wa Tanzania na wa kimataifa wamekabidhi jezi ya timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) kwa mchezaji wa zamani na nahodha wa klabu ya Manchester...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania tumekosa mabilioni kwasababu ya tamaa na ubinafsi wa Mama Samia

    Wizi wa kijinga wa kura umeharibu mahusiano ya watanzania wenyewe kwa wenyewe , majirani zetu kama Kenya, nchi za south Africa. Lakini imeharibu mahusiano na wadau wanao tusaidia kwenye afya, barabara, na uwekezaji. Kwasasa mfano hakuna visa tena zinatoka kwa wafanyabiashara wetu kwenda Marekani...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia piga marufuku watoto chini ya miaka 5 kuwa nje kuanzia saa 11 asubuhi kwa ajili ya masomo

    Wakuu nipo barabarani muda huu, Ama kwa hakika maisha yamebadilika. School buses zipo busy kuchukua wanafunzi. Wazazi wanakwena makazini na watoto wao. This is pure madness, there is no control. Rais wangu, weka miongozo kupitia wizara ya elimu, No child at this hour , wanahitaji kupata...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Samia ni Mama, hakuwaua watoto wenu. Mungu huwachukua watu sugu wa aina flani kwa njia flani

    Tundu Lissu alikuwa active toka kipindi cha Hayati Magufuli, na Magufuli hakuwahi kuactivate Jinai kwa sababu alijua hawezi kufanikiwa na ni kitu ambacho kingempa adhabu kali sana. Karudishwa nchini hapa akaona busara ni kitu cha kukichezea na uchizi ambao unathibitishwa hadi sasa kutokana na...
  11. K

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mama Samia: kuteua tume kutokana na tume🤦🏾‍♂️🏃‍♂️

    Mama Samia anaunda tume kila siku za kitapeli ambazo wanataka kutumika kusingizia matatizo ya vurugu wapinzani. Wameishiwa mbinu sasa tume zenyewe za mchongo kazi yake ni kuja na mapendekezo ya tume nyingine ni woga wanatoa mapendekezo ya kuundwa tume nyingine. Hii ni mbinu ya woga wa kusema...
  12. JamiiForums Tanzania Watangazaji wa EFM Radio Wahamasishana Kununua Malaya Kahumba Morogoro

    TCRA ndio inatulea hivi, wanao present mambo ya maana media zao zinapewa onyo na kufungiwa, haya sasa leo EFM wanahamasishana kuwa wakifika kwenye Marathon ya tarehe 20 June wakishamaliza kukimbia wataenda kununua malaya Kahumba Morogoro. Maudhui hayo yaliruka leo majira ya saa tano na dakika...
  13. JamiiForums Tanzania Mzee Mwanakijiji: Tume ya Samia inatia mashaka, haitaweza kumuhoji

    Tume iliyoundwa leo nina mashaka kama itakidhi haja. Haitaweza kumuhoji Samia Suluhu wa Makunduchi. Mzee Mwanakijiji kasema; 1. Haiwezi kumhoji Rais kutokana na kuhusika kwake 2. Haina mwakilishi wowote (kwa sasa) toka Ofisi ya AG au DPP ili watengeneze kesi unless hawa nao wakitoa ripoti yao...
  14. JamiiForums Tanzania Rais Samia azungumza na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na aliyekuwa Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia anayesimamia nchi za Malawi, Tanzania, Zambia na Zimbabwe, Bw. Nathan Belete, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 18 Mei, 2026. Bw. Belete ambaye kwa sasa...
  15. JamiiForums Tanzania Kwanini tume za Samia kuhusu 'Ghasia za Uchaguzi' mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu?

    Kwanini tume za Samia za uchunguzi wa ghasia za uchaguzi mwaka 2025 zinaongozwa na Waislamu? Je, Waislamu wana agenda ya kuangamiza Wakristo? Kila aliyetekwa ni Mkiristo, then tume zinaundwa za Kiislam? Au hii inaweza waokoa waislam dhidi ya tuhuma nzito na mipango mibaya dhidi ya Tanganyika?
  16. JamiiForums Tanzania Hivi kweli Samia Bado unamtuma Wasira asimame majukwaani kuiongelea CCM?!

    Real Stephen Wasira, bado anatumwa kuiubili injili ya ccm na mauaji yaliyojitokeza 29.10? Dr. Samia soma alama za nyakati huyo atumwe kigoma, sumbawanga, mbagara ILA akija Kilimanjaro tafadhali muwe macho
  17. K

    JamiiForums Tanzania Warioba yuko sawa kusema Mama Samia kachaguliwa na Tume sio Watanzania

    Mama Samia kachaguliwa na tume fake kuwa raisi fake wa Tanzania bila kupata kibali cha Watanzania. Hivyo msishangae Watanzania kumkataa . Watetezi wake ambao hawewezi kubisha hoja hii watabakia kuwa machawa lakini kizuri Watanzania wamegoma
  18. K

    JamiiForums Tanzania Ni vizuri Mama Samia anapoteza nguvu ndani ya CCM

    Pamoja na wote wanasiasa wanajaribu kufuata trend ya wananchi. Kwasasa tred ipo kwenye kudai haki, kupinga sheria mbovu, kupinga utekaji, undugu, u bara na u zanzibari, kupinga rushwa na kutaka haki kwa kila mtu bila kujali chama. Sasa kwa misingi hiyo hata ndani ya CCM kuna wengi hawapendi...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Dangote aipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji

    #HABARI Mwenyekiti na Mtendaji Mkuu wa Dangote Group, Alhaji Aliko Dangote, ameipongeza Serikali kwa kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji, pamoja na kutatua changamoto za wawekezaji nchini. Katika taarifa iliyotolewa na Ikulu ya Tanzania baada ya Mfanyabiashara huyo kufanya mazungumzo...
  20. JamiiForums Tanzania Heche: Nimeambiwa tangu majuzi kwamba na wewe wanataka wakukamate wakubambikie kesi ya uhaini. Nataka nimwambie Samia, nipo tayari sitakimbia

    Ukisikiliza hii hotuba ya mh. Heche utagundua taifa hili tuna rasilimali ya watu wema sana na tunatakiwa kuwatumia kama taifa kwa manufaa yetu sote na Heche kwangu amethibitisha hilo baada ya Tundu Lisdu Msikilize https://youtu.be/0vuyOE2_9GA
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…