samia

Samia Suluhu Hassan[a] (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and the first female president of Tanzania since 2021. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party and the third female head of government of an East African Community (EAC) country.

A native of Zanzibar,[2] Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the vice-chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.

Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. Mzee Mwanakijiji

    JamiiForums Tanzania Kakuku Ka' Mama Rhoda ni kama Ka' Mama Samia?

    Na. M. M. Mwanakijiji Tulipokuwa watoto wadogo tulijifunza kawimbo ambako sikuwahi kukutafakari maana yake. Ni kawimbo ambako labda watoto wengi wa Kitanzania katika sehemu mbalimbali wamekaimba na labda bado wanakaimba miongo mingi baadaye. Ni kawimbo ambako unaweza kukapotezea lakini...
  2. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameiagiza Wizara ya Nishati kuongeza nguvu katika kusimamia miradi yote ya nishati ili ikamilike kwa wakati na hivyo kuwawezesha wananchi kupata nishati ya uhakika. Rais Samia ametoa agizo hilo Agosti 06, 2024 wakati akihitimisha...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Wanasiasa mnaowapeleka Watu kwenye Hifadhi ili uchaguzi ukikaribia muwatetee, acheni hizo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka viongozi na Serikali kutunza na kuyalinda maeneo ya hifadhi kwa faida ya kizazi cha sasa na baadaye huku akiwaonya Madiwani na Wabunge wenye tabia ya kuanzisha Vijiji ndani ya maeneo ya hifadhi hasa kipindi cha kuelekea...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kilombero amuomba Rais Samia kutazama upya bei ya ushuru wa mazao

    Mbunge wa Kilombero, Abubakar Assenga amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kutazama upya bei ya ushuru wa mazao jimboni humo na kutozuia uvuvi wa samaki aina ya mlamukaliandili, ili kuondoa kero kwa wananchi. Assenga amesema hayo leo Jumatatu Agosti 5, 2024 katika mkutano wa hadhara ambao Rais...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua hii 'Samia Legal Aid Campaign' ni kiashirio kwa ameshaanza Kampeni? na je, itakuwepo na baada ya Uchaguzi Mkuu ujao?

    Haya wale Machawa wake Gegedo mlioko hapa JamiiForums njooni mnijibu ili nami nikaombe msaada kwani Nimeibiwa Mbuzi wangu kutokea Zizini Kwangu hapa Tanzania Bara na Mwizi kasepa / kaenda nao kwenda Paje Kizimkazi Zanzibar ili akawauze kwa Waarabu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amefanya zaidi ya tulivyofikiri.!

    Leo nina machache ya kusema kuhusu Rais Samia na wale wachache waliodhani mwanamke kutoka Zanzibar hataweza. 🔴Walisema demokrasia itazidi kudidimia na kufa kabisa. ✅Leo uhuru wa vyombo vya habari umeimarika. Uhuru wa maoni umeongezeka. Na uhuru wa kufanya siasa hata kwa wapinzani umeongezeka...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Kapinga: Rais Samia ameridhia ujenzi wa Vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme

    Naibu Waziri Nishati, Judith Kapinga amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan ameridhia Wiizara ya Nishati kupitia TANESCO kujenga vituo 75 vya kupokea, kupoza na kusambaza umeme ikiwa ni jitihada zake za kuhakikisha wananchi katika maeneo yote wanapata umeme...
  8. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.

    Wanabodi, Wakati tukisubiri salaam za pongezi za mihimili kwa rais mpya wa TLS, sio vibaya tujikumbushe kauli hii ya Rais Samia atafanya kazi na TLS ya aina agani! https://youtu.be/fZ7MWhPeyko?si=LtHTK8wfeAXMAtun Hizi ni kama salaam kwa rais mpya wa TLS, Wakili Boniphase Mwabukusi . Swali nI is...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi waendelea kupatiwa msaada wa Kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Kampeni

    Wananchi waendelea kupatiwa msaada mbalimbali wa kisheria kupitia Kampeni ya Mama Samia Legal Aid Kampen iliyopo chini ya Wizara ya Sheria, katika kampeni hiyo watalamu wamepiga kambi kakitika Maonesho ya Nanenene, Jijini Dodoma. Uwezo Maulid, Mkazi wa Shinyanga Mjini amesema “Mume wangu...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira mazuri ya biashara na uwekezaji aliyoyaweka Rais Samia kuna haja kweli ya kuajiriwa?

    Nashangaa vijana wengi bado wanatembeza bahasha mtaani kitafuta ajira ambazo ki ukweli ni utumwa. Kwa nini msifikirie kutumia hii golden chance ya uwepo wa mama madarakani kujitafutia vya kwenu. Mama ameweka mazingira mazuri kiasi ambacho biashara zimeshamili kila kona. Hata muuza karanga tu...
  12. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aielekeza TANROADS Kutoa Kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa

    RAIS SAMIA AIELEKEZA TANROADS KUTOA KIPAUMBELE KWA WAKANDARASI WAZAWA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya...
  13. amshapopo

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia, usigombee uchaguzi wa 2025. Achia wengine wapambanie karata zao

    Habari, Huu ni ushauri kwa Dr. Samia kuelekea uchaguzi wa 2025. Huenda watu wake wanamdanganya "Mama umeupiga mwingi utapita tu" ila kiukweli hupendwi huku mitaani watu wamekata tamaa kuhusu wewe. Ikikupendeza achia wengine waendeleze gurudumu ili maisha yaendelee. Pia wakikudanganya kuhusu BAO...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: TANROADS wapeni Wazawa kipaumbele wajenge Barabara na Madaraja

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara na madaraja ili kuwajengea uwezo na kufanya uchumi kuwa na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia anasepa na kijiji kwa Kijiji Morogoro

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan ameendelea na ziara yake ya kikazi mkoani Morogoro. Ziara hii ni muendelezo wa ziara zake za kutembelea mikoa mbalimbali ya Tanzania kwa ajili ya kuzindua miradi ya kimkakati, kuhamasisha maendeleo na kitatua kero za wananchi. Wakati Rais akifanya ziara...
  16. saemonity

    JamiiForums Tanzania Samia scholarship extended program(MSc Nuclear Science): 2024/2025

    Wakuu habari, poleni na majukumu. Kuna hizi scholarship zinazotolewa na Tume ya nguvu ya Atom Tanzania (TAEC) kupitia Raisi Dkt Samia Suluhu Hassan (Maelezo zaidi yapo katika tovuti ya taec.go.tz). Sababu ya kupost ni kwamba tangu siku ya Jumatatu website husika haipatikani hewani na link ya...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu asitolewe relini, yupo sawa

    Wanajamvi, kama sote tujuavyo, nchini kwetu Jana palifanyika uzinduzi rasmi wa reli ya viwango vya kimataifa (SGR) sambamba na mabehewa na train za umeme za kisasa. Mgeni rasmi katika shughuli hiyo adhimu alikuwa Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Tukio lile lilirushwa live na baadhi ya...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Ziara ya Rais Samia Agosti 1, 2024 yasimamisha shuguli za kiuchumi jijini Dar es Salaam

    Tarehe 01 Agosti, 2024 rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hasani amesafiri kwa Treni ya kisasa ya SGR kutoka Darisama kuelekea Dodoma kwenye uzinduzi wa safari kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma Dhiara hiyo ya rais samia ilianza asubuhi ya tarehe 1 Agosti akitokea Ikulu ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Watanzania Tuwe na Mioyo Ya Shukurani kwa utumishi Uliotukuka wa Rais Samia

    Ndugu zangu Watanzania, Nimekaa nikawaza ,kufikiria na kurudisha kumbukumbu nyuma mahali tulikotoka ,tulipo na tunakokwenda na kufikia hatua kusema kuwa kwa hakika Watanzania bila kujali itikadi za vyama vyetu, makabila yetu,Dini zetu,jinsia zetu,ukanda na rika. Tuna kila sababu ya kusema...
  20. Black Butterfly

    JamiiForums Tanzania Rais Samia amjibu Mtanzania aliyefanya Makala ya kuonesha ubora wa SGR na Vituo vyake

    Rais Samia ameandika kupitia X Asante Badru & Mika. Furahia safari yako na mashambani. Nina habari njema kwako. Ujenzi wa sehemu za Isaka-Mwanza & Tabora-Isaka unaendelea, na Mungu akipenda zote zitakamilika. Badru ameonesha kiwango cha ujenzi wa Kituo ch Reli ya SGR cha Morogoro. Ikumbukwe...
Back
Top Bottom