samia suluhu hassan

Samia Suluhu Hassan (born 27 January 1960) is a Tanzanian politician who is serving as the sixth and current president of Tanzania. She is a member of the ruling social-democrat Chama Cha Mapinduzi (CCM) party. Suluhu is the third female head of government of an East African Community (EAC) country, after Sylvie Kinigi in Burundi and Agathe Uwilingiyimana in Rwanda, and is also the first female president of Tanzania. She took office on 19 March 2021 after the death of President John Magufuli on 17 March 2021.
A native of Zanzibar, Suluhu served as a minister in the semi-autonomous region during the administration of President Amani Karume. She served as the Member of Parliament for the Makunduchi constituency from 2010 to 2015 and was the Minister of State in the Vice-President's Office for Union Affairs from 2010 to 2015. In 2014, she was elected as the Vice-Chairperson of the Constituent Assembly tasked with the drafting of the country's new constitution.
Suluhu became Tanzania's first female vice-president following the 2015 general election, after being elected on the CCM ticket with President Magufuli. Suluhu and Magufuli were re-elected to a second term in 2020. She briefly served as the second female interim Head of State in the EAC – 27 years after Sylvie Kinigi of Burundi, spanning a period around the end of the year 1993.

View More On Wikipedia.org
  1. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia awajibu wanaodai CCM inatumia nguvu kubwa kwenye kampeni

    Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema maelfu ya wananchi wanaojitokeza katika mikutano yake ya kampeni ni uthibitisho kuwa wameridhishwa na kazi inayofanywa na chama hicho. Sambamba na hilo, amegusia wale wanaohoji kwa nini CCM inatumia nguvu...
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kijo Bisimba: Ahoji Mgombea wa CCM alipewa vipi fomu, kesi ya Lissu niya kisiasa anasema kwa sasa hakuna upinzani

    Mwanaharakati mkongwe wa haki za binadamu nchini Tanzania Bi. Kijo Bisimba amehoji namna mgombea wa CCM alivyopewa fomu ya kugombea urais kupitia chama hicho huku akibainisha kwa sasa nchini hakuna vyama vya upinzani kwani pamoja na ukongwe wake kuna vyama vya siasa anavisikia kwa mara ya kwanza...
  3. N

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt Samia Suluhu Hassan Mkoani Njombe kwenye Kampeni za uchaguzi

    RAIS DKT. SAMIA AWASHA MOTO WA MATUMAINI MAKAMBAKO Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 6 Septemba 2025 ameendelea kuonesha uongozi thabiti na dira ya maendeleo alipohutubia maelfu ya wananchi wa Makambako...
  4. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Miaka minne na nusu ya Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan: Wilaya ya Mbogwe imepiga hatua gani?

    Leseni 41 za utafiti wa madini zimetolewa Leseni 548 za wachimbaji zimetolewa Leseni 147 za maeneo tengefu Vituo vya afya vimeongezeka mara mbili zaidi kutoka 14 wakati anaingia madarakani na kufikia 28 vilivyopo sasa. Ongezeko la wataalamu wa afya kutoka 181 kufikia 283 Ongezeko la Shule za...
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mada Maalum itakayozungumzia ziara nzima kwenye mchakato wa kampeni za mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan na Mgombea Mwenza Dkt. Emmanuel Nchimbi. Agosti 27, 2025 Mwenyekiti wa INEC, Jaji Mstaafu Jacobs Mwambegele kwa mamlaka aliyopewa amemteua Samia Suluhu...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Mada ya mkuu Stuxnet kuhusu nyomi za Samia Suluhu Hassan

    Hiyo mada siioni tena hapa, pengine imeunganishwa na ile kuu ihusuyo Kampeni za CCM. Mimi nawaomba wahusika mada hii wasiiunganishe huko; kwa sababu ile mada ya mkuu Stuxnet ilihitaji mjadala makini sana kujuwa ni sababu zipi hasa zinawavuta waTanzania kwenye mikutano hiyo ya kampeni. Ingawa...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu,

    Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, ametetea ongezeko la deni la kitaifa nchini humo, akisema deni hilo ni endelevu, haya yakijiri baada ya benki ya kitaifa kusema deni la kitaifa limefikia dola bilioni 46.5 kufikia mwishoni mwa mwezi Juni, wakati pia ripoti ya hivi punde ya benki ya Tanzania...
  8. P

    JamiiForums Tanzania MBEYA WAKO NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN

    Kasumulu Mbeya Hiki ni Kituo cha Pamoja cha Forodha katika mpaka wa Tanzania na Malawi. Ujenzi wake ni utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi ambapo kitakuza mwingiliano wa watu na biashara kati ya nchi zetu mbili kudumisha Ushirikiano. #Kurayakwanzakwasamia#haijapatakutokea
  9. S

    JamiiForums Tanzania Picha: Sijawahi Kuona Mgombea Urais Mwenye Upendo Kama Dkt. Samia Suluhu Hassan

    Hii ni gari ya Mgombea Urais wa Upinzania kabla ya Rais Samia Siasa za Tanzania zimepitia vipindi vingi vya ushindani mkali, lakini haijawahi kushuhudiwa hatua ya kipekee kama ile iliyofanywa na Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa mara ya kwanza katika...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Walioahidi kushona sare kwa ajili ya Mgombea Urais CCM Dkt Samia Suluhu Hassan wamewasili uwanjani Songwe

    Walioahidi kushona sare kumpokea Mgombea Urais CCM Dk. Samia wameanza kuwasili uwanja wa Mwaka Tunduma Mkoani Songwe.
  11. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Rais, Samia Suluhu Hassan unastahili kongole kwa barabara za Mitaa na taa za barabarani

    Moja ya jambo zuri linaloipendezesha miji mingi Tanzania ni uwepo wa barabara nzuri za mitaa zenye taa za barabarani. Hakika Utawala huu kwenye suala hili umejitahidi sana kwa sababu mitaa yetu sasa imekuwa na hadhi nzuri pamoja na muonekano maridhawa. Biashara ndogondogo zinazofanyika usiku...
  12. toto2000

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia Suluhu Hassan kututembelea Chamwino leo

    Tunamshukuru sana Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kututembelea Chamwino leo tarehe 31 Agosti 2025, na kutupa matumaini pamoja na dira ya maendeleo. Tunaendelea kukuuombea kwa Mwenyezi Mungu afya njema, hekima na nguvu katika safari yako ya uchaguzi 2025-2030 Tanzania. Umoja na Maendeleo
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia: Nipeni tena urais, migogoro ya ardhi itakoma

    Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, ameahidi kuendeleza programu ya "Tutunzane" ili kukomesha migogoro ya ardhi kati ya wafugaji na wakulima, endapo atachaguliwa kuwa Rais kwa awamu nyingine. Akizungumza na wananchi wa...
  14. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunataka Tanzania ijitegemee Kiuchumi bila kutegemea mikopo mikubwa kutoka nje

    Mgombea Urais wa CCM, Samia Suluhu Hassan, akizungumza katika kampeni za Uchaguzi Mkuu katika eneo la Dakawa, Mvomelo, Mkoa wa Morogoro leo, tarehe 30 Agosti 2025, amesema lengo la Serikali ni kuona Tanzania ikijitegemea kiuchumi kufikia mwaka 2050, bila kutegemea mikopo mikubwa kutoka nje...
  15. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Prof. Kabudi: Dkt. Samia amejaliwa maono makubwa

    Prof. Palamagamba Kabudi, Mgombea Ubunge Jimbo la Kilosa akizungumza kwenye Mkutano wa Kampeni za Kumnadi Mgombea Urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan Mkoani Morogoro leo Agosti 29, 2025
  16. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia awaomba Viongozi wa Kimila kukisaidia Chama kishinde kwa kishindo uchaguzi Oktoba 2025

    Wakuu! Mgombea wa Urais wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan yuko mkoani Morogoro akiendeleza kampeni zake ambapo jana Agosti 28, 2025 zilizinduliwa rasmi Kawe, jiji Dar es Salaam ambapo akiwa huko amesema, "Niwaombe viongozi hatuna sababu ya kuto kutoka kwenda kwa Wananchi...
  17. Getrude Mollel

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hizi ndio sababu kwanini watu wa Morogoro haina sababu za kumnyima kura Samia Suluhu

    Muda mfupi baada ya Rais Samia Suluhu kuingia madarakani 2021, alifanya ziara ndogo mkoani Morogoro, na akaongea na watu pale Msamvu tarehe 7-04-2021. Pale Rais Samia Suluhu aliwatoa watu wa Morogoro hofu na kuwaambia ya kwamba, mambo mengi mazuri yanakuja kwenye mkoa huo, ajira, mikopo...
  18. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Nani ni Meneja wa kampeni ya Samia Suluhu Hassan

    Ni nani,bado sijamfahamu
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Kuna jamaa zetu wametia mpira kwapani

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Kule ninakotoka mimi Zanzibar kuna timu ambayo, wakiona wanaenda kufungwa na ushindi...
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Samia: CCM imetoa usafiri kwa Maafisa Kata kuwasaidia kuhakikisha wote ambao hawajapiga Kura kuwanasogeza kwenye vituo vya Kura

    Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na wananchi waliohudhuria katika Mkutano wa Kampeni, Kata ya Ngerengere, Mkoa wa Morogoro, leo tarehe 29 Agosti 2025 amesema, "Huku ndiko ziliko Kura za Chama cha Mapinduzi, CCM tumetoa vitendea kazi na usafiri...
Back
Top Bottom