samaki

  1. JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kila ziwa (lake) duniani lina species za samaki wake ambao huwezi kupata popote duniani ?

    Naomba kujuzwa wanasayansi na watafiti waboɓezi. Mfano: Sato, sangara na yule mwingine mrefu kama nyoka (mumy) wanapatikana ziwa Victoria tuu, Hivi kweli lake nyasa na lake Tanganyika wanapatikana migebuka tu na species nyingine. Mfano Kenya kuna lake turkana inamaana huwezi kupata sampuli...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini

    Serikali Imeendelea Kuhamasisha ufugaji wa samaki kwa vizimba nchini. Kwa kipindi cha mwaka 2000 hadi 2024 Jumla ya vizimba 222 vilitolewa kwa wananchi 1,213 ambao wanatokana na vyama vya ushirika 17, vikundi 31 na watu binafsi wawili (2). Maeneo 39 yanayofaa kwa ufugaji samaki kwa vizimba...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Biashara ya samaki wabichi kusafirisha mikoani kwa mwenyeji wa Kigoma ikoje ? Msaada wa mawazo

    Naomba kujuan changamoto za biashara ya samaki wabichi kuwatoa Kigoma kwenda mikoani ushauri zaidi jinsi ya kufanya hii biashara.
  4. JamiiForums Tanzania Mvua ya samaki hunyesha nchini Honduras.

    Wakuu katika kupita pita mitandaoni na leo ndio najua kuwa kuna eneo hapa duniani huwa inanyesha mvua ya samaki. Eneo hili linaitwa Yoro, nchini Honduras, Central America, na tukio hili la ajabu hufahamika kwa jina la Lluvia de Peces. Kila mwaka, kati ya miezi ya Mei na Julai, mvua kubwa na...
  5. JamiiForums Tanzania Samaki wa urembo wanaondoa stress ona hapa

    Bei ni nafuu sana wawil elf 7 tu piga simu kawaida au whats app 0712505049 had mkoani wanafika kwa bus .
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kufahamishwa kwa wanaojua ni changamoto gani imeikumba biashara ya samaki kutoka ziwa Victoria?

    Salaam nyote, poleni na mihangaiko ya utafutaji. Wakuu mm ni mfanyabiashara wa kuuza samaki kutoka ziwa Victoria hawa sato na sangara, nikiri tu kwenye biashara hii ni mgeni yapata miezi 8 sasa. Bei zimekuwa zikipaa kila leo bila kushuka imepelekea walaji kupunguza manunuzi na hivyo biashara...
  7. JamiiForums Tanzania Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehemu ya chips, kuku, mishkaki, Je mtaji unatosha?

    Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi. Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
  8. JamiiForums Tanzania DOKEZO Mazingira ya Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili - Mwanza siyo rafiki

    Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki. Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo shughuli zote zinafanywa pembezoni mwa ziwa hilo kama kuosha samaki, hali hiyo inaweza kuwa mbaya...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Samaki bei ya jumla

    Je una butcher la samaki wa maji chumvi(samaki kutoka baharini),tunauza samaki kwa bei ya jumla bei zetu ni nafuu na unalipia pale unapopokea mzigo,mzigo wetu unaipokelea mbagara zakhem, tafadhari fungua hiyo picha uone bei zetu za samaki na pia unaruhusiwa kuuliza chochote
  10. JamiiForums Tanzania Mwambie mwenzio: Nina toa uduma za Kitaalamu kwa Mafanikio ya Miradi ya Ufugaji Samaki

    Habari Wakuu! Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara Mimi ni mtaalamu wa ufugaji wa samaki ninatoa huduma zifuatazo ambazo ili kusaidia jamii kukuza uelewa na mwisho kufikia...
  11. JamiiForums Tanzania Tunatoa huduma ya ufugaji samaki na kuuza vifaranga vya samaki

    Karibuni kwa huduma ya ufugaji wa samaki na mbegu bora ya samaki sato na kambale. Tunapatikana Bunju B Darajani (mingoi), njia ya kwenda bagamoyo karibuni sana.
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika pilau la samaki

    I hope mko poa Wale wasiotumia nyama nyekundu na wapenz wa samaki pitien hapa Sikunyingine tujifunze kupika pilau la samaki 😀😀 Mahitaji Samaki Mchele Unga wa pilau/pilau masala Binzari nyembamba Giligilani ya majani Mafuta ya kupikia Vitunguu swaumu na vitunguu maji Chumvi na viazi...
  13. JamiiForums Tanzania Tafakuri Jadidi -Jamhuri ya Samaki

    Nimeisikiliza hotuba ya Rais wa Jamhuri jana. Nikiri sijawahi kumwona na kumsikia Rais Samia akiongea kwa namna ile. Hotuba yake ilibeba ujumbe mzito ulioelekezwa kwenye anuani tatu, hivyo, hadhira tatu; wananchi wa kawaida, wanasiasa na Jumuiya ya Kimataifa. Kwa andiko hili ningependa...
  14. JamiiForums Tanzania Je, samaki anatapika watoto, anazaa au anataga mayai?

    Leo mchana katika pita pita nilikuta watu katika mtaa mmoja wanabishana kuhusiana namna ambavyo samaki hupata watoto au vifaranga kama watu wengine wanavyodai. Katika mjadala huo kulikuwa na baadhi ya watu waliodai kuwa samaki anazaa watoto na kulikuwa na wengine waliodai kuwa samaki ana taga...
  15. JamiiForums Tanzania Tandika, Dar: Amuua mpenzi wake na kumtenganisha viungo

    Binadamu tuna roho ngumu sana imagine mke kisu kama huyu mwamba kaamua kumuuwa na kumkata vipande vipande kama samaki kisha kuvizika Sehemu totauti tofauti ili kukosekana ushahidi. Jeshi la polisi linamshikilia mwanaume mmoja kwa kosa la kumuuwa mkewe kisha kumkatakata vipande vipande na...
  16. K

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ifunge Uvuvi wa Samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita

    Samaki katika Ziwa Victoria kama vile wamekwisha kabisa. Wavuvi wanatumia gharama kubwa sana na mwisho wa siku hakuna faida wanayopata kutokana na ukosefu wa samaki. Pili Ziwa Victoria imechafuliwa na kila aina ya uchafu na hivyo kupelekea kutozaliana kwa samaki. Kutokana na sababu hizo...
  17. JamiiForums Tanzania Nikifugia samaki kwenye kisima watakubali? Kambale

    Wakuu kisima changu kimejaa vyura kibao. Sasa nimewaza badala ya kujaza vyura si bora nifugie samaki. Maana kama vyura anaweza ishi samaki pia anaishi. Nataka nitafute niweke Kambale maana ndo naambiwa wana roho ngumu wanaishi hadi kwenye majaruba ya mpunga. Ushauri
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania japo kuwa na mito, maziwa na sehemu kubwa ya bahari lakini samaki wajawai kuwa kitoweo kikubwa

    Kuna mda inabidi ujiulize sana ili swali sababu ni nchi yangu imepewa kila kitu lakini na hakuna kitu kama tunavoona geita na dhahabu. Kuna nchi wale wasanii waliokwenda kule kutuletea ajenda yao wakitaka bima ya afya zao na mwenyekiti wao utazani samaki mkavu chuchungi. wajajifunza korea...
  19. JamiiForums Tanzania Jipatie Mbegu Bora ya Samaki Kambale kwa bei nafuu

    Karibu nikuuzie mbegu bora ya Kambale kwa bei nafuu ya Tsh 300 kwa kifaranga kimoja. Kambale ni aina ya samaki mstahimilivu na anayefugika kwa urahisi kuliko aina nyingine ya samaki. Mbali na kuwa mstahimilivu, pia wana sifa ya kukuwa haraka mara mbili zaidi ya sato. Unaweza kuboreshe...
  20. JamiiForums Tanzania Mvuvi wa Samaki na Mfalme

    Alichoniadithia Babu Yangu mwaka 1996 Mwezi wa 6. Siku ya Juma Pili. " Kulikua na Mvuvi ametoka baharini kuvua, amebeba Samaki watatu wazuri sana. Akiwa anatembea alikutana na mfalme. Mfalme kawapenda wale Samaki akataka auziwe hao samaki. Lakini Mvuvi alikataa kumuuzia. Ndipo mfalme...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…