samahani

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Samahani wakuu, hii pisi ya Zanzibar imeolewa?

    Nasikia anaitwa mamaruu Mariam KWA kweli huyu Binti anaukonga MOYO WANGU, nimechunguza nimeambiwa YUPO ch,,,,,,,,,,,, ana duka la ,,,,,,,,,,,. Nataka NIJUE KAMA ASHA olewa au BADO nimpose WAKUU, SAMAHAN KWA usumbufu WOWOTE, KUHUSU kimuweka hapa sioni SHIDA kwani HIZI picha SIO za Siri ZIPO...
  2. Kauli Hii ni Apologetic, Japo Mwanzo Alikomaa, Sasa Ameguswa, Ameumia, Amejutia!, Ameomba Msamaha!, Watanzania Tumsamehe, Yaishe Tusonge Mbele!.

    Wanabodi Kama kawaida yangu, mimi Mzee wa Masauti, The Voices From Within, nimeisikia sauti, imenieleza, japo hapo mwanzo, alitetea nguvu iliyotumika ni nguvu stahiki, kwa waandamaji wahuni na wahalifu waliokuwa wanataka kumpidua, lakini baada ya kubaini ukweli kuwa sio wote waliouliwa ni...
  3. Vipi kama mabaya ya sasa yanafanyika na kundi lililokubalika na Magufuli?

    Mambo ya uongozi nayo ni magumu sana...yaan kumwongoza mtu mzima mwenye akili nyingi kama wewe au kakuzidi ni mtihani na yahitaji ujasiri wa juu sana. Swali ni kwamba,vipi kama mabaya yote yanayofanyika sasa Tanzania hayafanywi na Rais Samia bali yanafanywa na kundi lililokubalika kipindi Cha...
  4. nimepata swali inbox Engineer samahani ningependa kufahamu utofauti wa gharama uliopo kati ya hidden roffing na roffing za kuonekana

    Hakuna haja ya kuomba radhi—swali lako ni la msingi kabisa! Tofauti ya gharama kati ya “hidden roofing” (paa lililofichwa) na paa la kawaida (linaloonekana) inategemea mambo kadhaa, lakini hapa kuna muhtasari wa tofauti kuu: * Hidden Roofing (Paa lililofichwa)* Faida za gharama: Hupunguza...
  5. Samahani: Njooni mnishauri kwa makini...

    Wakuu by age nina 25 Mwaka huu ndio nahitimu shahada yangu ya kwanza kwenye masuala ya maendeleo ya jamii. Nina Biashara ambayo inauhakika wa kunipa 500k kila mwezi ambayo naweza kuifanya mara baada ya KUMALIZA CHUO. Hii ni mpango wa kwanza. Mpango wa pili, nimepata connection ya KAZI ya...
  6. Hizi fulana zinapatika wapi Kwa hapa Dar?

    Naombeni msaada wenu hizi t shirt hapa dar nazipata wapi na zinauzwa Bei Gani
  7. A

    DOKEZO KERO Halmashauri ya Buchosa toeni mikopo kwa Vikundi vilivyojisajili, mbona mmeishia kutoa kwa Viongozi wenu tu?

    Kuna tatizo kwa Vikundi katika Halmashauri ya Buchosa vina malalamiko kuhusu ile mikopo ya Asilimia 10 kwa vijana, kuna vikundi vimeomba mkopo tangu Julai 2024, hela zilitoka na zikaenda kwa Viongozi wa juu wa Halmashauri lakini upande wa pili wameshindwa kutoa mikopo hiyo kwa vikundi husika...
  8. Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

    Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
  9. B

    Haya ni madini gani?

  10. R

    E-mail kutoka TaESA

    Habari wapendwa. Mimi nimejiunga na TaESA lakini sijafiki asilimia za kuomba reg no. Lakini nimekua ninapokea e-mail zao mfano zinakua zinasema “MAOMBI YA USAJILI WA MWAJILI KWENDA WIZARA YA KAZI YAMETUMWA KUTOKA TAA SONGEA” nashindwa kuelewa naomba mwenye kujua anielekeze nisije kua napishana...
  11. B

    Kozi ya Nursing and Midwife

    Habari waungwana. Samahani wapendwa naomba mnisaidie binti yangu amepata Division IV ya point 27. Kwa ufaulu huu Civics D, His F, Eng D, Chem D Biol C Kisw C Marh F Mtoto anapenda kusomea Mambo ya Nursing and Midwife. Kwa ufaulu huo anaweza akapata chuo km sivyo ni kozi gani nyingine ya...
  12. Nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu

    Habari kaka Magical power Samahani sana nimekuja kwako nahitaji Msaada. Mimi mpaka hapa nilipo nina umri wa miaka 35 mama wa watoto 3, niko kwenye ndoa kwa miaka miwili, mume wangu bado hajawahi kuninunulia zawadi hata siku ya birthday yangu.ila Nina mpenzi wangu wa muda mrefu tunapendana Kwa...
  13. H

    Msaada, Nahitaji ardhi Songea ambayo haijawahi limwa

    Samahani wadau ninasikia songea Kuna ardhi haijawahi limwa na inauzwa kama Kuna mtu ana uwezo wa kunikonect naomba anisaidie nipo iringa.
  14. E

    Nahitaji wataalamu wa coding watakaonisaidia kutengeneza application yangu na website

    Naweza kupata team ya developers?
  15. Wadau samahani naomba kujua Njia ya kusafirisha Honda kutoka Dar es Salaam kuja Dodoma

  16. C

    Naomba kueleweshwa kuhusu Foundation Course

    Samahani ndugu zangu, mwenye uelewa kuhusiana na foundation course naomba ufafanuzi, na pia ni vyuo vipi vinavyo toa hiyo course kwa Masomo ya Mathematics na chemistry (Education)
  17. Samahani sana Guedejr kwa kukuita 'Bondia" na kukudhiahaki kuwa hujui ball, nisamehe mimi nimekosa

    Wale wote tuliokuwa tukimdhihaki Gudejr na kumuita BONDIA, mkiongozwa na mimi mwenyewe hapahapa jukwaani na kumuona Clement mzinze ni bora kuliko Guede Nalia Ngwena, sasa ni muda wetu wa kuja kumuomba msamaha hapa na kufuta kauli yetu ya kusema kuwa ni bondia . mwamba hivi sasa ana magoli jumla...
  18. Samahani nauliza tu je, na Helikopta za Wengine nazo ziko salama kwani Israeli sasa kabadili Formula ananyakua Juu kwa Juu tu

    Kuna moja sijui kama bado ipo pale EAC Block kila ikiruka ni lazima ikate Kwanza Kiuno kidogo na Kupinda ili ipate Mwelekeo. Na hata ikiwa inatua ni lazima Boza la Maji liwe Jirani ili Kuipoza. Na nasikia kuna wakati huwa inatumiwa sana na Baba, Mama, Mpaka Supa Blaki na Sura Ngumu Funga Buti...
  19. Asilimia kubwa ya maeneo mengi Dar es Salaam yananuka

    Bonjour Aisee ndugu zangu siwafichi, asilimia 90 ya maeneo mengi ya Dar es salaam yananuka sana , na hii imesabishwa Kwa poor management ya mitaro inayo pitisha maji machafu, haswa kipindi hiki cha mvua watu wanafungulia chemba alooo ni hatari sana , alafu kila kona ya mtaa unao pita, kuzagaa...
  20. A

    Mimi ni fundi simu nipo kanda ya ziwa

    SAMAHANI MIMI NI FUNDI SIMU NAHITAJI CONNECTION YA KAZI KANDA YA ZIWA MWENYE CONNECTION
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…