saloon

A bar is a long raised narrow table or bench designed for dispensing beer or other alcoholic drinks. They were originally chest high, and a bar, often brass, ran the length of the table, just above floor height, for customers to rest a foot on, which gave the table its name. Over many years, heights of bars were lowered, and high stools added, and the brass bar remains today. The name bar became identified with the business, (also known as a saloon or a tavern or sometimes as a pub or club, referring to the actual establishment, as in pub bar or club bar etc.) is a retail business establishment that serves alcoholic beverages, such as beer, wine, liquor, cocktails, and other beverages such as mineral water and soft drinks. Bars often also sell snack foods such as potato chips (also known as crisps) or peanuts, for consumption on their premises. Some types of bars, such as pubs, may also serve food from a restaurant menu. The term "bar" also refers to the countertop and area where drinks are served. The term "bar" derives from the metal or wooden bar (barrier) that is often located along the length of the "bar".Bars provide stools or chairs that are placed at tables or counters for their patrons. Bars that offer entertainment or live music are often referred to as "music bars", "live venues", or "nightclubs". Types of bars range from inexpensive dive bars
to elegant places of entertainment, often accompanying restaurants for dining.
Many bars operate a discount period, designated a "happy hour" or discount of the day to encourage off-peak-time patronage. Bars that fill to capacity sometimes implement a cover charge or a minimum drink-purchase requirement during their peak hours. Bars may have bouncers to ensure that patrons are of legal age, to eject drunk or belligerent patrons, and to collect cover charges. Such bars often feature entertainment, which may be a live band, vocalist, comedian, or disc jockey playing recorded music.
Patrons may sit or stand at the counter and be served by the bartender. Depending on the size of a bar and its approach, alcohol may be served at the bar by bartenders, at tables by servers, or by a combination of the two. The "back bar" is a set of shelves of glasses and bottles behind the counter. In some establishments, the back bar is elaborately decorated with woodwork, etched glass, mirrors, and lights.

View More On Wikipedia.org
  1. H

    Vifaa vya saloon vinauzwa

    Habarini ndugu zangu. Kuna saloon inauzwa ipo Kimara B Kwa Komba (karibu na Stopover), kama huitaji kununua saloon yote then unaweza kununua kitu utakachohtaji. Kinyozi wangu aliekua hasumbui kweny hesabu amehamia mkoani ili kuwa karbu aweze kumuuguza mama yake, namm pia nahamia mkoani kikazi...
  2. E

    INAUZWA Vifaa vya saloon ya kike vinauzwa

    Saluni ya kike inahuzwa na kila kitu kilichomo ni Vipya kbsa vina miezi mi 3 tu: Drayer ya Juu:230k Steamer:170k Handdrayer:45k Pass 50k Rollas aina 3 tofaut:50k Conditioner: 13k Taulo 5:24k Vioo vi 2:100k Viti 5:60k Sink:40k Pazia:15k Diaba:25k Ndoo 2 kumbwa na ndogo:9k Carpet: 35k Radiant 10k...
  3. EINSTEIN112

    Anayefahamu maudhui ya tamthilia ya saloon ya mama Kimbo kwa kizazi kijacho anijuze

    Leo jioni nikiwa kwenye kijiwe/kidukabia cha Manka hapa mtaani hasa mida kama hii nalazimika kuangalia kile wanachoangalia wateja wengine. Basi bwana kikakuta tamthilia ya saluni ya mama Kimbo Ila kila nikiangalia sioni mafunzo chanya ya kizazi kijacho nikajiuliza hivi haka katoto kanachoigiza...
  4. desabby

    Vifaa vya saloon ya kike vinahitajika

    Nahitaji vifaa vya saloon ya kike kwa bei ya used mwenye navyo plz nichek 0783414538
  5. mama D

    Hili la wanawake kwenda salon za kunyolewa nywele za sehemu za siri (Waxing) limekaaje?

    Sijui ni ushamba wangu au ni nini ila mimi binafsi nawaza mtu mzima mwenye miaka ya kutosha ati kila nywele zikikuota unaenda kuchanua makwapa na kipochimanyoya saloon; ati unyolewe na mtu mzima mwenzio, mwanamke au mwanaume kwa malipo! Tena unayolewa kwa kusuguliwa haswaaaa. Hili jambo...
  6. H

    Nahitaji kufungua saloon Kimara

    Naombeni ushauri wenu ndugu zangu, nina 1.5m nafikiria kufungua Saloon ya kiume maeneo ya Kimara. Je zipi ni changamoto zake na faida za kufanya biashara ya namna hii.
  7. Sky Eclat

    Idadi ya wanaume inazidi kupita ya wanawake katika saloon zetu

    Ukienda saloon foleni ya wanaume wanaosuka corn row, extension, na weaving ni kubwa kuliko wanawake. Wengine hushinda hapo wakifanyiwa manicure na pedicure. Wanaume hawa wamekua washauri wetu wazuri wa nywele za kutumia kwa style mbali mbali. Tunashukuru mchango wa makaka hawa katika mzunguko...
  8. Frumence M Kyauke

    Wanawake wafungua saloon za kunyoa mitindo ya kiume

    Wimbi kubwa la wanawake wanaopenda kunyoa nywele zao kwa mitindo kama ya wanaume limezidi kuongezeka na pia Saluni nyingi za kiume zimedaiwa kushindwa kuwanyoa vizuri wanawake na kuhakikisha wanapendeza. Lakini wanawake wamekuwa wakikosa amani ya moyo (wamekuwa na hofu) pindi wanapolazimika...
  9. J

    Nifanye biashara gani ambayo naweza kuingiza laki moja kila siku

    Hello nifanye biashara gani, lengo langu nipate angalau laki moja kila siku. Binafsi napenda saloon ya kike lakini sina uhakika kama nitaingiza laki moja kwa siku. Naomba Ushauri wenu tafadhali.
  10. Sizinga

    Engine Oil sahihi kwa Toyota Crown Royal Saloon

    Habari. Mwenye ujuzi na masuala ya Engine Oil sahihi kwa gari tajwa hapo juu yenye CC 2990 GRS 182 maana naona kama mafundi wetu ni changamoto hivi. Mwanzo niliweka Castrol iliandikwa 5W~20 na fundi akasema inaenda km 5000 nilivyocheck Google nikaona haipo sawa, ilivyofika km 3000 nikaimwaga...
  11. Moto wa volcano

    Biashara za wanawake kujiuza zimehamia kwenye Saloon za kiume

    Juzi Kati baada ya kumaliza mizunguko yangu ya kazi nikaona nitafute Barbershop ya kisasa inayoeleweka nifanye usafi wa ngozi. Mjini Kati nikaona Barbershop matata Full Brand ikabidi nizame ndani nikakutana na vinyozi tukala story mbili tatu baada ya hapo akatokea Dada akanikaribisha katika...
  12. chapangombe

    Nauza vioo viwili vyenye ukubwa wa futi 6 urefu na mapana 4 vimezungushwa aluminium vyote viwili 160000 pia meza ya saloon ya aluminium ina box

    Meza ya saloon ya aluminiam ina box moja 50000 Vioo viwili ukubwa futi 6kwa futi 4 upana 160000VIMEZUNGUSHWA aluminium mlango mkubwa wa flem wa aluminium futi 7kwa 6 300000 nipo buza temeke 0620742868
  13. J

    Kazi ya saloon ya kike Sinza Africasana

    Habari, Natafuta msichana wa kusuka nywele katika saloon yangu iliyopo sinza Africasanaa... anatakiwa awe na ujuzi wa kusuka mitindo yote vizurii. Mawasiliano 0718443924
Back
Top Bottom