salama

Salamá is a city in Guatemala. It is the capital of the department of Baja Verapaz and it is situated at 940 m above sea level. The municipality of Salamá, for which the city of Salamá serves as the administrative centre, covers a total surface area of 764 km² and contains 65,275 people.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Nicodemas Maganga: Mbogwe Tumejipanga, Mtumishi Mwizi Hatatoka Salama, Tumejipanga Kuzuia Uhalifu

    Mbunge Nicodemas Maganga: Mbogwe Tumejipanga, Mtumishi Mwizi Hatatoka Salama, Tumejipanga Kuzuia Uhalifu Mbunge wa Jimbo la Mbogwe, Mhe. Nicodemas Henry Maganga wakati akichangia Mpango wa Bajeti 2024-2025 ya Shilingi Trilioni 47.4 amesema kuwa Mbogwe wamejipanga kuzuia uhalifu fedha za...
  2. JamiiForums Tanzania Media personnel anawezaje kuandika maneno kama haya mtandaoni na akabaki salama?

    Unawezaje tweza,dhalili,kashifu,tukana na kuuchafua UTU wa binadamu mwenzako kiasi hiki? Kwani huko kwenye media hakuna 'norms', 'rules of conduct'. Au shule ndogo , au mtu hajielewi tu. Au labda mtu anakuwa amevimba kichwa na kusahau kabisa kwamba yeye pia si kitu si chochote. Huwezi andika...
  3. JamiiForums Tanzania Profesa Kitila Mkumbo: Asilimia 78 vijijini wanapata maji Safi na Salama

    Prof. Kitila Alexander Mkumbo (Mb), Waziri Wa Nchi, Ofisi Ya Rais, Mipango Na Uwekezaji, akiwasilisha Bungeni Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2024/2025 amesema Kiwango cha wananchi wanaopata maji safi na salama kimeongezeka hadi kufikia asilimia 88.6 mijini na asilimia 78...
  4. JamiiForums Tanzania Dick Cheney: Sitaomba msamaha kwa kuweka familia yako salama

    Wengi mtamkumbuka Cheney kama makamu wa Raisi wa George Bush. Cheney alipitia criticism sana kwa kuwa ali engineer kufanya vita dhidi ya Iraq na mataifa yoyote yaliyo husishwa na janga la gaidi 2001 pale World Trade Centre. Katika moja ya interview yake ya mwishoni mwa career yake ya uongozi...
  5. JamiiForums Tanzania Huyu ndie wa kutuvusha salama mwaka 2025

    Mzalendo msikivu, Mwenye huruma, anaye jali utu wa watu wa hali zote, muungwana kwa maneno na vitendo, mchapakazi makini, mahiri na hodari wa kuhubiri Amani, Umoja, mshikamano na utangamano wa waTanzania. Ni alama ya demokrasia, uhuru, haki, uwazi, uwajibikaji na usawa nchini. Mwenye maono ya...
  6. JamiiForums Tanzania VPN ndio njia salama zaidi ya kujilinda na Mashambulizi ya Kimtandao

    Kumekuwa na upotoshaji kuwa Matumizi ya Virtual Private Network (VPN) husaidia upatikanaji wa maudhui yasiyofaa pekee Mitandaoni, jambo ambalo halina ukweli kwasababu VPN ni nyenzo muhimu katika kuzuia mashambulio ya Mtandaoni pamoja na Kulinda Taarifa Binafsi za Watumiaji. Kwa mujibu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Faida 6 za Kiafya za Kufanya Mapenzi Salama

    Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. 1. Hulinda mwili dhidi ya magonjwa ya moyo. 2. Huongeza ukakamavu wa mifupa. 3. Hupunguza msongo wa mawazo. 4. Hupunguza maumivu. 5. Hupunguza uwezekano wa kupata saratani ya tezi dume kwa wanaume. 6...
  8. JamiiForums Tanzania Story ya Maisha ya MwanaFA akihojiwa na Salama Jabir Isomwe na Single Mother wote na waoaji wa ma single mothers.

    MwanaFA akisimulia njia na hadithi ngumu ya maisha yake hakika Mungu wetu ni mkubwa sana. Natumia nafasi kumuombea heri na tuzo ya milele Babu yake MwanaFA ambae ni mzaa baba yake. Tafadhari mwenye video full ya mahojiano aiweke hapa watu waone na wapate hisia za maisha yake. Kisa Kiko hivi...
  9. JamiiForums Tanzania Majamaa walioingilia Mitikasi ya watu na hawakuachwa Salama

    Basi tu, tuseme hii dunia kuna watu wanapanga mipango yao lakini kuna watu pia wanapangua mipango hiyo yote na kufanya mambo yao. Kuna mambo huwa hutakiwi kuyaingilia hata kidogo. Hata kama utakuwa rais, kuna system huwa unaikuta, unatakiwa kuiacha kama ilivyo kwa kuwa ni maslahi ya watu...
  10. JamiiForums Tanzania Maharage: Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta

    Aliyekuwa MD Tanesco ndugu Maharage nimesikiliza redioni mida hii akimshukuru rais kumteua kuwa boss mpya Posta. Amedai kuwa anaenda kufanya maajabu Posta Kama alivyobadilisha Tanesco katika kipindi kifupi alichokuwepo. "Tanesco nimeiacha salama zaidi kuliko nilivyoikuta, ufanisi...
  11. JamiiForums Tanzania Meli ya pili ya Ukraine iliyosheheni ngano yafika Uturuki salama, Urusi haina kete tena

    Urusi ilikua imebakiwa na kizuizi cha usafirishaji wa ngano ya Ukraine, baada ya kushindwa mbinu zingine zote, sasa haina kingine kilichosalia......labda wabonyeze manyuklia sasa na wao wafutike kwenye uso wa dunia... Second Ukrainian wheat cargo arrives in Istanbul A second cargo ship...
  12. JamiiForums Tanzania Hakuna gold-digger aliwahi maliza salama hata mmoja

    Wanawake mnaovamia vibabu au matajiri ili mrithi mali wakifa au ili mfaidi, au ili muzalishwe mpate matumizi ya watoto, jueni moja kwamba hakuna gold digger hata mmoja aliyemaliza bila kujuta. jifunzeni kwa wenzenu.
  13. O

    JamiiForums Tanzania EDO KUMWEMBE:: Air Manula wala asiwe na wasiwasi nafasi yake ipo salama

    UNAPOKUWA Aishi Manula nyakati hizi unakuwa na wasiwasi mwingi. Wakati upo kwako Kitunda unaambiwa kwamba Simba imepeleka golikipa kutoka Brazil katika kambi yao ya Uturuki. Moyo wako unapatwa na wasiwasi. Hakuna mwanadamu ambaye hana hofu na kazi yake. kazi ni maisha. Kazi ni kila kitu. Lazima...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa njia sahihi na salama ya kutoa Ujauzito (abortion)

    Wasalam wadau , Dada angu ana mtoto wa mwaka 1 alimzaa kwa opresheni, lkn pia mtoto wke wa kwanza ana miaka 5 pia alimzaa kwa opresheni. Sasa ameshika tena ujauzito una miezi miwili, unampelekesha na afya yke imedhoofika mno, tumeshauriana anataka kuitoa kwa sbb ana mtoto mchanga wa mwaka 1 na...
  15. JamiiForums Tanzania SoC03 Kutenganisha taka kutarahisisha urejelezaji na ushughulikiaji salama wa taka ili kuokoa mazingira

    Kutenganisha taka kutarahisisha urejelezaji na ushughulikiaji salama wa taka ili kuokoa mazingira Taka ni tatizo kubwa. kila mwaka kuna kiwango kikubwa cha taka kinaingia katika mazingira. Hali hii inaleta athari kubwa kwa viumbe pamoja na mimea duniani. Kwa mfano karatasi za nailoni...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA hamtabaki salama na dhambi hii mnayoitenda-itawarudia kwa kasi ya 5g

    Hakuna ubishi kuwa CHADEMA iliishi maisha ya mateso sana mara baada ya uchaguzi wa Rais 2015. Hakuna rangi ambayo hawakuiona, kuanzia chama chenyewe hadi wanachama na viongozi wake. Tunaopenda na kujali utu, tulisikitishwa sana na mateso waliokuwa wakiyapata CHADEMA. Waswahili wanasema Mungu si...
  17. 5

    JamiiForums Tanzania Russia si salama tena Drones ndani ya Moscow

    Mtakumbuka Urusi alisema Ukraine asijaribu kushambulia Urusi itazalisha vita ya 3 ya dunia.,
  18. JamiiForums Tanzania Anga ya Urusi sio salama, wasitisha maonyesho ya ubabe wa ndege zao

    Kila mwaka Urusi hufanya maonyesho ya ubabe wa ndege zao, ila mwaka huu imebidi waghairi maana anga yao sio salama, drones za Ukraine zimekua zinatamba hadi ikulu, hivyo hamna namna... Yet another blow has been dealt against Vladimir Putin's authority as the risk of drone strikes pummelling...
  19. JamiiForums Tanzania SoC03 Hospitali Hazipaswi kuwa na Upungufu wa Damu Salama

    Utangulizi Kwa muda mrefu nimekuwa nasikia kampeni ya kuchangia damu kwa hiari kwa ajili ya kuwekeza katika Benki ya Damu Salama, kwa ajili ya kuwaongezea wagonjwa (wenye uhitaji huo) mahospitalini. Katika pita pita yangu, nimebahatika kuchangia damu kwa hiari mara mbili. Hivi karibuni...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Samia yuko tested kila rais alipitia majaribu na tukavuka salama

    1. JULIUS KAMBARAGE NYERERE. Majaribu ya vita ya Kagera kukoswakoswa mapinduzi na hatimae uchumi kudorora miaka ya 80s. 2. ALI HASSAN MWINYI. Mabucha ya nguruwe wabunge wa G55 na vuguvugu la mabadiliko ya vyama vingi. 3. BENJAMIN WILLIUM MKAPA. Mauwaji ya mwembe chai almanusura vita ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…