kwanza Namshukuru Mungu kwa sikuu hii tukufu ya leo kwa kutujalia kupata baby boy, hakika yeye ni Muweza 🙏
Pili nipende kutoa pongezi zangu za dhati kwa members wote wa JF mlionipatia ushauri kuhusu mpenzi wangu aliegoma kuacha bangi wakati wa ujauzito, nilifanikiwa kudeal nae baada ya kuamua...