sahihi

  1. JamiiForums Tanzania SI sahihi mwanamke aliye kwenye mahusiano au ndoa kuweka picha ya mtu yeyote maarufu wa kiume kwenye simu yake(wallpaper)

    Ukiona mwanamke ameweka picha ya mwanaume mashuhuri Kama mbappe, Fei toto nawengine wengi basi hao ndo anamapenzi nao na anawapenda.. Kwanini Yuko na wewe? Kwasababu Hana uwezo wa kukutana nao. Saikolojia ya mwanamke inaongea zaidi kwa vitendo sio maneno
  2. JamiiForums Tanzania Njia inayotumika kutatua mgogoro wa Iran ( Hormz) sio sahihi,mimi naweza kuutatua kwa masaa 2 tu.

    Kuna haja ya hawa viongozi wa dunia kujitafakari na kufanya maamuzi yenye faida kwa dunia . Mgogoro mkubwa umejikita hasa kwenye kumiliki silaha sasa kama ni hivyo lazima watumie balance kumaliza vita . Mfano unapoamua kuamua ugomvi wa watu wawili walioshika mapanga ,,hatua ya kwanza ni kuchukua...
  3. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanaume kuomba posa kwa mkopo?

    Wapo wanaume wanaokopa fedha ili kufanikisha harusi. Je, hiyo ni busara au ni presha?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mdau je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya kujifunzia?

    Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto. Wazazi na walezi wanakabiliwa na uamuzi muhimu: je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya...
  5. JamiiForums Tanzania Mtu ameamka tu akaandika "hezbollah anamchakaza israel vibaya mno". Mimi nafikiri ni wakati sahihi JF kuanzisha community notes ili kuuchamba uongo

    mtu ameamka na stress za chuki dhidi ya israel, so ili kuituliza nafsi yake ngoja atunge stori ambayo haina accuracy yoyote na picha za AI kuonesha operation kabambe za uongo😁 Point yangu kubwa kuna matango pori mengi sana humu JF na watu wanaishia kuwa mis-informed. Itengenezwe community...
  6. JamiiForums Tanzania Abortion / kutoa mimba: Je, ni sahihi au si sahihi?

    LllHii ni moja ya mijadala mikubwa duniani. Wapo wanaosema ni haki ya mwanamke kuchagua, na wapo wanaosema ni kuondoa uhai wa asiye na uwezo wa kujitetea. Kabla ya kutoa hukumu, ni vizuri kusikiliza hoja zote. WANAOSEMA NI SAHIHI, HUSEMA: 1. Mwili ni wake, maamuzi ni yake Wanadai hakuna mtu...
  7. JamiiForums Tanzania Mh rais wao take care, trump ni mara ya pili anakoswa koswa.km aliyoyasema chande ni sahihi vijana walikuwa na silaha basi tambua hazijaisha.

    Trump kakoswa koswa hii ni awamu ya pili, Je Rais WENU you salama kiasi Gani? Kama chande anasema vijana walikuwa na silaha je Rais WENU you salama kiasi Gani? Utawala ulio mwaga damu kuwa madarakani uo sio utawala kamwe ujitafakari
  8. A

    JamiiForums Tanzania KERO Michango Ofisi za Mtaa Taliani: Ni Sahihi?

    Mimi ni mdau kutoka chanika Buyuni-Dar es salaam. Sasa kuna utaratibu wa viongozi wanaohudumu ktk ofisi za serikali ya mtaa wa Taliani kata ya Buyuni kuwaomba michango(fedha) wananchi wanapoenda kutafuta huduma kwenye ofisi hizo kwamba wachangie ofisi. Je ni utaratibu ambao ni sahihi..?
  9. JamiiForums Tanzania Current regime, Sio sahihi wala haipo katika hali, mahali, na nyakati, sahihi

    SERIKALI HAINA UHALALI WA KUSEMA CHOCHOTE. Inachokifanya ni sawa na (Sio vibanzi bali mnatoe kope za mnaowaongoza huku ninyi mkiwa na boliti machoni). Ni sawasawa na kulazimisha safari wakati chombo ni kibovu, chombo kiliitaji service kabla hatujaanza safari.
  10. O

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama si jambo sahihi na halina maana labda kama nakufuru Mungu anisamehee sana maana naaminini mungu yupo

    Mafanikio YOYOTE AMBAYO yanakukuta KATIKA muda AMBAO HUWEZI kuyafurahia hayafai kabisa Bora ubaki HIVYo. Mfano MTU anajifungua mtoto akiwa na umri WA MIAKA 60 na hakuwahi Kupata mtoto KATIKA maisha yake yote. Ukiwa broke huyo mtoto WA kazi gani labda ukiwa tajiri au umefanikiwa afadhali hapo...
  11. JamiiForums Tanzania Je Wajua, Rais kama Taasisi, Hakosei?, Ila Rais Kama Binadamu, Anaweza Kukosea na Ana Haki ya Kukosea. Kufanya Kosa Si Kosa, Kosa Kurudia Kosa-Mw. JKN

    Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la Jumatano ya leo ni kuwaelimisha Watanzania kuwa kwa mujibu wa Katiba ya JMT ya mwaka 1977. Rais wa JMT kama Taasisi ya urais, hakosei, na hata akikosea na kufanya kosa lolote, linakuwa sio kosa!, ila Rais kama binadamu, anaweza kukosea...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna mambo ukiwa unafikiria akili ya kibinadamu inafikia mwisho kabisa. Je, huwa unatumia njia gani kupata majibu sahihi kwa jambo linalokutatiza?

    .
  13. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi Watoto wadogo (under 18) kusoma Biblia bila uangalizi wa Mwalimu wa dini?

    Salaam Wakuu, Watu wazima miaka 60 biblia bado hawaielewi, vipi watoto wadogo? Je, Biblia inaweza kuwwjenga watoto au kuwabomoa? Watoto wadogo wasome mambo Ufunuo, Walawi, Waamuzi, Ruth Samweli, Wimbo ulio bora nk. Kwa upande wangu naona si sahihi watoto kuachiwa Biblia wajisomee bila...
  14. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi mimi kumrudia Mwanamke huyu (EX) Kwa sasa?

    Habari wana jamvi ! poleni na hongereni kwa kila jambo mwaka fulani nilifanikiwa kupata kibarua kampuni (X), hapo baada ya miezi nilikutana na mwanamke mmoja mrembo kwa taarifa nilizopewa yeye alikuwa na watoto wawili kwa wakati huo. Yaani Single mother of two kids mimi wakati huo bado yanki so...
  15. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kushare CV kwa Whatsapp number?

    Habari, Kuna baadhi ya matangazo ya KAZI huwa yanahitaji CV hasa kwa njia ya WhatsApp. Je njia hii ni salama kwa ajili ya privacy nk? Je ni hatari kiasi Gani? Ahsante.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi mtoto wa kike kumfumania Mzee wake tena kwa yowee kuita watu washuhudie?

    Kuna tukio nimekutana nalo maeneo fulani eti binti kamfumania Baba yake tena anapiga mayowee watu wajae washuhudie akijua anamkomesha baba yake kumtia aibu kingine eti anapambania ndoa ya Mama yake. Nikajiuliza vipi kimaadili hili jambo limekaa sawa kweli? au tuishi kiutandawazi kuitikia mapokeo?
  17. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi walimu wa diploma kuendelea jufundisha sekondari?

    Ilihali walimu wa degree wapo wengine shule ya msingi???
  18. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa Mwanaume kwenda kulala ukweni?

    Wakuu Katika jamii nyingi za Kiafrika, hasa katika mila na desturi za Kiswahili, kuna maadili yanayoongoza mahusiano kati ya mwanaume, mke na familia ya mke. Wapo baadhi ya watu wanaona kuwa si sahihi kwa mwanaume kulala ukweni na wengine wanaona hakuna shida yoyote. Tuzungumze kidogo kama...
  19. JamiiForums Tanzania Sehemu ambayo haikupi uhuru sio sehemu sahihi

    SEHEMU AMBAYO HAIKUPI UHURU SIO SEHEMU SAHIHI. Maisha mazuri ni yale yanayokupa uhuru wa kuishi vile unavyotaka bila shinikizo kutoka upande wowote wa dunia. Ikiwa katika mahusiano, kazi/ajira au katika maisha ya kila siku kama vile urafiki na familia unapoona hakuna uhuru using'ang'anie...
  20. JamiiForums Tanzania BODIgad wa Magufuli uliyetamka no comment USIDHANIe hakuna lijalo jipange wakati WA bwana ni sahihi

    Tumekuona baada ya miaka 5, tumekusikia nadhani UNADHANIA aliyekuhoji no dampa, Tafakari chukua hatua NAKUHAKIKISHIA Iko siku utajibu ilo kwa kiufasaha
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…