sahihi

  1. G

    JamiiForums Tanzania Madini na rasilimali nyingi ni mapambo kama huna watu sahihi. Tunatakiwa tufumue upya mfumo wetu wa elimu

    Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
  2. JamiiForums Tanzania Makambako na Dodoma wapi chimbo sahihi la kubeba mzigo wa nguo za mitumba?

    Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
  3. JamiiForums Tanzania Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

    Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika. Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa asilimia 99%. Soma pia: Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara...
  4. JamiiForums Tanzania Wangapi hapa tulikuwa tunajua kuwa neno sahihi la Uume ni Firaka?

    Ahsanteni sana Kamusi ya TUKI ya Kiswahili kwa Kiswahili kwa kuja na hizi Istilahi mpya na sahihi za Lugha ya Kiswahili.
  5. JamiiForums Tanzania JE RC TABORA YUPO SAHIHI? BAADA YA ACT-WAZALENDO KURIPOTI AMBAYO YAMETOKEA (W) YA KALIUA

    Baada ya Mharagande wa ACT-WAZALENDO kuripoti mauaji ambayo yametokea (W) ya Kaliua Rc Tabora ataka ajieleze au kueleza alichokisema ni sahihi . Je serikali bado inaendelea kutisha watu? Na je Maharagande akithibitisha kweli watu wameuwawa, wamebakwa, na akaleta ushahidi serikali ipo teyari...
  6. JamiiForums Tanzania Kizimkazi Imelipa: Hii pesa aliyoitaja Dotto Magari kuandaa harusi yake ni sahihi?

    Habari zenu wakuu. Mko vizuri? Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti. Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi...
  7. JamiiForums Tanzania Sehemu 10 Unazoweza Kupata Maarifa Sahihi Kuhusu Kutengeneza Fedha Kwenye Ardhi Na Majengo

    Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa. Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
  8. JamiiForums Tanzania Je, unadhani ni sahihi viongozi kutenguliwa baada ya kusema 'siri' za serikali? Au wangepewa fursa ya kutengua kauli?

    Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  10. JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

    Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume. Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya...
  11. JamiiForums Tanzania Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

    Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana. Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu? VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti. Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena. AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira...
  12. JamiiForums Tanzania Rais, hata kama unampenda lakini Masauni si Mtu sahihi Kwa nafasi ya Waziri wa Mambo ya ndani.

    Naandika kifupi Sana kushauri juu ya utendaji wa Waziri huyu ambaye tangu akiwa naibu Waziri alionyesha kiwango cha chini Sana cha uwajibikaji. Ukipita Kila mtandao utakutana na Malalamiko ya utendaji wa vyombo vilivyo chini ya wizara ya Masauni. Umebadilisha watendaji Wakuu wa idara zilizo...
  13. JamiiForums Tanzania Nawezaje kuchagua Mwenzi sahihi?

    Wakuu Kama Uzi unavyojieleza Nawezaje Kuchagua Mwenzi sahihi? Au nsubiri Mke mwema kutoka kwa Bwana Naomben ushauri Ilinifikie Malengo yakuowa
  14. JamiiForums Tanzania Umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi?

    Mamboo Naomba mnijuze umri sahihi wa kuolewa au kuoa ni upi tusije pishana na umri. Mwanaume kwa kawaida anaoa akiwa na umri gani?
  15. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mume kumfumua mkewe nywele?

    Nyinyi wajomba na mashangazi mliopo humu ndani naombeni mitizamo yenu kwenye hii ishu, mke akiwa anataka kufumua rasta zake zinazomuwasha utamfumua kama akikuomba?
  16. JamiiForums Tanzania Ni yapi matumizi sahihi ya akili zetu hapa duniani?

    Twende kazi. Mustakabali mzima wa maisha ya mwanadamu ni kupambana na mazingira yanayomzunguka na mwisho kufa. Ukiacha vitabu vya dini na ustahilishwaji kwa kutumia mema na mabaya ya nadharia ya dini za mapokeo na za kiasili, bado tunatafuta kujua ni nani amefanya matumizi sahihi ya akili zake...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kufanya mapenzi kwenye gari?

    Wanajamvi Siku hizi limekuwa kama jambo la kawaida kukuta watu wamepaki gari wanafanya mapenzi humo ndani. Hii imekaaje?Ni sahihi kweli? Pia soma: Sio ustaarabu, heshima wala uungwana kufanya mapenzi ofisini au ndani ya gari
  18. JamiiForums Tanzania Ni sahihi kijana wa karne hii kufuata ushauri wa "wazee" katika ndoa au mahusiano?

    Nyakati zimebadilika sana, wanawake single mothers , talaka kwa Wakristo na ndoa kwa watu wa makabila tofauti sio mwiko(taboo) tena, katika mazingira haya je kuna haja ya kuwasikiliza na kuwatilia maanani wazee walioishi karne hiyo kuhusiana na masuala ya ndoa au mahusiano?
  19. JamiiForums Tanzania Nadhani kabla ya kuwalaumu NHIF ni bora kuyajua na kujiuliza haya

    Habari JF , binafsi ni mnufaika wa mfuko wa Taifa wa bima NHIF niseme sijawahi jilaumu kwa kujiunga humu kulingana na michango na huduma nazo zipata . Tumesikia mengi sana kuhusu NHIF na inawezekana kabisa kukawa na ubadhilifu kutoka kwa watumishi wa NHIF . Tumesikia bila ushahidi kuwa Serikali...
  20. JamiiForums Tanzania Je ni sahihi kiongozi wa eneo kuomba vitu vilivyojadiliwa na kupitishiwa bajeti(bungeni) katika mihadhara?Anaehadaiwa ni nani?

    Kama kawa wanajamvi!( Na mimi nimeona nianze na kasalamu kama ndg Pasikali!) Imezoeleka huku majimboni pindi cha ziara za viongozi kuona wawakilishi wa wananchi wakisimama na kuomba miradi ya maendeleo kwa viongozi walioko ziara! Na wananchi pasi kujua kama hayo mambo yalikaliwa vikao na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…