sahihi

  1. Muda sahihi wa kumuaga mtu aliyekufa ni wakati yuko hai, sio kwenye jeneza. Msimamo wangu mpya

    Mwanzoni mwa mwaka huu niliboresha mifumo yangu ya kijamii kwa kukitoa kipengere cha kumuaga marehemu mara ya mwisho kama ni kitu cha lazima kwangu. Sifanyi hicho kitu tena. Naamini muda sahihi wa kumuaga mtu mara ya mwisho ni wakati akiwa hai, kama hutapata nafasi basi jitahidi kukumbuka...
  2. Ushindi wa Yanga wa Jana umekuja na kelele nyingi sana kweli Rage alikua Sahihi.

    Habari! Kichwa cha thread kinatosha kabisa sitaki kueleza zaidi ila Makolo mna shida sana. Nyie wakat mnashinda kuna siku mliona mtu anaandika humu nyuzi kusema mnabebwa? Ila shida hua ni pale Yanga akiaanza kushinda tu goli nyingi. Kama nasema uongo Jamii forum nipigen Ban... kuanzia jana...
  3. Pendekezo la kumwondoa Gachagua litawasilishwa wiki ijayo na sahihi 300 zilizokusanywa

    Gachagua impeachment motion to be tabled next week with 300 signatures collected National Assembly members are expected to table the impeachment motion against Deputy President Rigathi Gachagua on Tuesday next week, with reports indicating that the collection of signatures was close to reaching...
  4. Je, ni sahihi kumwambia mkeo kiasi cha mshahara wako?

    Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako? Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
  5. Hivi ukipatwa na msiba wa kifamilia, ni baada ya kipindi gani ndio wakati sahihi wa kufanya mapenzi?

    au haina uhusiano na wala hakuna muda muafaka? au mazingira yakiruhusu tu kazi iendelee? maana naona mambo haya yanaendelea tu hadi msibani, na tena wengine ndio fursa kabisaa ya kuchepukia, si wafiwa wala waombolezaji. au ni roho ngumu, watu hawana uchungu na wapendwa wao, ujasiri wa kipekee...
  6. Kwa asilimia kubwa sana baba yako aliyokuwa anayalaumu kuhusu mama yako alikuwa sahihi.

    Humu wote JF tulijua mama ndio alikuwa anaonewa lakini atukujua jinsi gani mama alimfanya baba kuwa paranoid kupelekea kugeuka kuwa simba nyumbani.
  7. Ni wakati sahihi, kwa Rais Samia kuongea na mabalozi wote na jumuiya za kimataifa!

    Kwa vyovyote hawa ndugu zetu wasiotakia mema taifa letu, watakuwa wamesambaza vipeperushi vya hovyo katika jumuiya mbali mbali za kimataifa, ili mradi tu, malengo yao ovu, yatimie ikiwepo extensions za ukaazi wao wa kikimbizi huko ughaibuni, pia ikiwepo kutafuta huruma ili wamiminiwe fedha kwa...
  8. Trh 23 ni kipimo sahihi cha uenyekiti wa Mbowe.

    Akifanikisha haya maandamano itabidi tumpatie mitano 5. Ajitokeze na awe mstari wa mbele katika maandamano, yeye na wapendwa wake. Kama hatoweza basi atukabidhi chama chetu, usukani afanye kumkabidhi Tundu Lissu mwenye hasira za kutosha, ana faili lake sehemu na huwa hana uoga wowote...
  9. M

    Umri sahihi wa Saido Ntibazonkiza ni upi?

    Ukiingia Wikipedia ya English version unaambiwa born January 1984.. Ukiingia Wikipedia Swahili version unaambiwa may 1987.. Sasa sijui tufuate lipi.... anyway hivi huyu jamaa Kwa sasa anakipiga wapi
  10. G

    Madini na rasilimali nyingi ni mapambo kama huna watu sahihi. Tunatakiwa tufumue upya mfumo wetu wa elimu

    Ndio maana nchi yetu wanaotajirika zaidi ni wahindi, waarabu, wakenya, chinese, n.k. sisi tumebaki kujisifu nchi yetu tajiri lakini hatunufaiki na huo utajiri, imahine majirani Kenya ndio wanajulikana zaidi kuuza maparachichi nje kumbe wanayatoa huku kwetu, madini ya Tanzanite dili ndefu...
  11. Makambako na Dodoma wapi chimbo sahihi la kubeba mzigo wa nguo za mitumba?

    Tafadhalini wakuu nisaidieni hapa kwa sasa nipo iringa lengo nikajumue kwa bei nafuu hapa iringa gharama kubwa. Asanteni.
  12. Ndugu Covax ninawajua wanaume wengi waliopewa mitaji na wake zao lakini wakashindwa Kufanya biashara. Hiyo dhana yako sio sahihi

    Kwema Wakuu! Nimesoma Uzi WA ndugu Covax unaowakataza kama siô kuwatahadharisha Wanaume kutokuwaanzishia Wake au Wenza waô biashara kwani lazima itafilisika. Ushauri wa Covax siô Sahihi Kwa asilimia 99%. Soma pia: Hamna kitu kinachoua mitaji ya watumishi kama kufungulia mke biashara...
  13. Wangapi hapa tulikuwa tunajua kuwa neno sahihi la Uume ni Firaka?

    Ahsanteni sana Kamusi ya TUKI ya Kiswahili kwa Kiswahili kwa kuja na hizi Istilahi mpya na sahihi za Lugha ya Kiswahili.
  14. JE RC TABORA YUPO SAHIHI? BAADA YA ACT-WAZALENDO KURIPOTI AMBAYO YAMETOKEA (W) YA KALIUA

    Baada ya Mharagande wa ACT-WAZALENDO kuripoti mauaji ambayo yametokea (W) ya Kaliua Rc Tabora ataka ajieleze au kueleza alichokisema ni sahihi . Je serikali bado inaendelea kutisha watu? Na je Maharagande akithibitisha kweli watu wameuwawa, wamebakwa, na akaleta ushahidi serikali ipo teyari...
  15. Kizimkazi Imelipa: Hii pesa aliyoitaja Dotto Magari kuandaa harusi yake ni sahihi?

    Habari zenu wakuu. Mko vizuri? Nimekutana na video Instagram ya Dotto Magari akiwa na bosi wake Issa Tambuu ambapo Dotto ametangaza kuwa harusi yake itagharimu Milioni 60 kama bajeti. Dotto alifunga ndoa juzi juzi hapa na mkewe Bi Aisha, harusi ikija siku chache tangu amalize dili la ubalozi...
  16. Sehemu 10 Unazoweza Kupata Maarifa Sahihi Kuhusu Kutengeneza Fedha Kwenye Ardhi Na Majengo

    Kabla ya kuwekeza fedha zako kwenye ardhi na majengo, ni muhimu kupata maarifa sahihi kwa sababu kadhaa. Kwanza, maarifa haya yatakusaidia kuelewa hali halisi ya soko la ardhi na majengo, ikiwa ni pamoja na bei, mahitaji, na mitindo ya uwekezaji inayofaa. Bila uelewa huu, unaweza kupoteza...
  17. Je, unadhani ni sahihi viongozi kutenguliwa baada ya kusema 'siri' za serikali? Au wangepewa fursa ya kutengua kauli?

    Mjadala uendelee. Mada hiyo hapo mezani. Nitakuwa wa mwisho kutoa maoni yangu. Karibuni wana jukwaa. Rejea utenguzi wa mhe. Nape, Ndugai, Dc wa longido nk. Pia soma:Kuelekea 2025 - DC wa Longido aliyesema alihusika kutengeneza mazingira ya Madiwani kushinda 2020 atenguliwa
  18. Nahitaji kujifunza lugha ya kifaransa online na kupata cheti, sehemu gani sahihi ya kujifunzia?

    Sehemu gani sahihi ya kujifunza Kifaransa na kupata CHETI?
  19. Je, ni sahihi kwa mwanamke kunyonyesha hadharani?

    Katika mwili wa mwananke kifua ni sehemu nyeti na haipaswi kuonwa na watu wengine zaidi ya mwenye mamlaka tu, yaani Mume. Lakini tunaona baadhi ya wanawake wakinyonyesha watoto wao hadharani bila kuficha au kusitiri vifua vyao, mfano katika vyombo vya usafiri au sehemu zenye mikusanyiko ya...
  20. Dotto yupo sahihi wasomi hatuutumii mtaji wetu wa elimu tulio utafuta kwa miaka mingi kutafuta pesa kama wengine

    Dotto anaongea ukweli wasomi lazima wabadilike tena sana. Zaidi ya vyeti na ajira ni kitu gani kikubwa msomi ana miliki wakuu? VYETI: Msomi akifa watoto hawawezi kurithi vyeti. Akifa tu vyeti vinatupwa jalalani havina kazi tena. AJIRA: Msomi akifa watoto hawawezi kuirithi. Akifa tu ajira...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…