safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    JamiiForums Tanzania Safari – Tourism Sales Manager

    Summary: First Class Africa (FCA) is The Premier Provider of African Experience. We are a vibrant resilient fast growing team who imagine and do things differently. We have re-imagined the African tourism and hospitality delivery model and are now looking for an energetic, creative...
  2. JamiiForums Tanzania AFCON: Kilichoitoa timu ya Ghana, Afrika tuna safari ndefu

    Hii timu inaonekana ushirikina ndo chanzo zaidi.... Ajabu wachezaji karibu wote wanacheza Ulaya... Nimeshangaa sana
  3. JamiiForums Tanzania Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa

    Wanafunzi wanaosoma katika shule ya msingi Kododo Tarafa ya Mgeta wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro, wapo katika hatari ya kuangukiwa na madarasa wanayoyatumia kufuatia madarasa hayo ambayo yamejengwa kwa mawe tangu mwaka 1970 kuanza kupasuka kisha kudondosha mawe. Chanzo: EastAfricaTv...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Maombi yenu jamani, safari ya Popeye Malta inakaribia

    Wanajf naomba mniombee safari yangu kwenda kisiwa cha Malta imekaribia baada ya kuhangaika hapa na pale kusaka visa nimefanikiwa ingawa ilikuwa na vikwazo vingi kutokana na Janga la corona. Siku zinakaribia kuondoka kwenda kukutana na mrembo J lakini nikiwaza itakuwaje huko nchi za wengine...
  5. JamiiForums Tanzania Huduma ya 5G yadaiwa kuathiri Mawasiliano ya Ndege. Mashirika makubwa yasitisha safari zake Nchini Marekani

    Mashirika makubwa ya ndege Emirates, Air India, Air Nippon na Japan Airlines yamesitisha safari zake za kwenda Marekani kutokana na huduma ya mtandao wa 5G. Jana asubuhi huduma ya mtandao wa 5G ilianza kutumika nchini Marekani kwa kuwashwa minara 4500 ya 5G. Mashirika hayo ya ndege yamesitisha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Pablo hii ndo ligi kuu soka Tanzania bara, kuwa mvumilivu vinginevyo safari itakukuta mapema

    Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu kuna pesa ndefu asitegemee ushindi wa bwelele. Lakini pia ajue gape la point 5 na anayeongoza ligi...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania University of Nairobi students join historic mission flying world leaders to space

    Entrance to the University of Nairobi (left) and a spacecraft taking off. University of Nairobi (UoN) students are now part of a historic space mission targeting world leaders including wealthy billionaires. Namira Salim, a Dubai-based diplomat is working towards sending a peace mission to...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nimeshtusha kusikia Mawaziri na Manaibu Waziri wanalogana na kuchukiana kisa safari za Mikoani kuja kutafuta namna yakuwatumbua wasio na hatia

    Kama nchi Hadi kufikia mwaka huu 2022 Waziri anaweza kumzui Naibu Waziri kufanya kazi au Katibu Mkuu kuficha Fedha Waziri asilipwe na ikawa agenda basi tuna safari ndefu. Waziri unapitisha Fedha Bungeni bila kuwa na mamlaka na Fedha? Naibu Waziri unapijibu majibu Bungeni kumbe hata haki na...
  9. JamiiForums Tanzania Chuma cha Kizambia 'Baba wa Pasi za Upendo na Mpenyezo' keshatua nchini Kesho Kutambulishwa na kuwemo Safari ya Mbeya

    Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini. Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya Ubingwa inaenda Kutoweka na tayari Coastal Union FC ya Tanga wameshaapa, kulishana Yamini na kusoma...
  10. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mawaziri na Manaibu wenu, msigombane kisa safari

    Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Mawaziri wasiwe na ugomvi na Manaibu Waziri kwa kuwa kila mmoja ameteuliwa kwa vigezo tofauti. Ametaka kila mtu ajue nafasi yake. Amesema mara nyingi watu hugombana kwa sababu ya safari na maslahi ambayo mara nyingine huwa ni maslahi ya wananchi. Rais amesema...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ndege ya Rais haifai hata kwa safari za humu ndani ya nchi?

    Nimeshangaa sana kuona Mama katua Dodoma leo na mojawapo ya zile ndege kubwa (Airbus) za ATCL badala ya kutumia ndege maalalumu ya Raisi(5H-ONE) ambayo ilikuwa ni lazima inunuliwe hata kama watanzania tungekula majani. Swali ni je, ndege ile haifai tena kwa safari za Raisi hata za humu nchini...
  12. JamiiForums Tanzania Haitoshi, Job Ndugai ajiuzulu na ubunge pia!

    Pamoja na kuwa muungwana na kuamua kujiuzulu nafasi yake ya uspika wa bunge la JMT, kuna uwezekano mkubwa Job Ndugai akajiuzulu nafasi yake ya ubunge wa jimbo la Kongwa kwa tiketi ya CCM kwani ubunge wake ndio ulipelekea kuchaguliwa na wabunge wenzake kuwa spika wa bunge. Hivyo basi, itakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Afghanistan: Wanawake wapigwa marufuku kusafiri mbali bila ndugu wa kiume

    Taliban imesema Wanawake wanaotaka kusafiri umbali mrefu (zaidi ya Kilomita 72) wasipewe usafiri barabarani isipokuwa wakiwa wamesindikizwa na ndugu wa kiume wa karibu Mwongozo huo wa Serikali ambao umekosolewa na Wanaharakati pia umetoa wito kwa wamiliki wa magari kukataa kuwapandisha Wanawake...
  14. JamiiForums Tanzania Safari za Maulid Kitenge Marekani

    Hivi huyu mwamba huwa ana makazi huko? Au anafanya biashara gani huko kwa Joe Biden? Maana kwa mwaka mmoja anaweza kwenda Marekani hata mara nne au tano! Juzi tu hapa kabeba familia nzima kwenda nayo huko akiwemo mama yake mzazi. Jamaa yuko vizuri! NB: Mapovu pelekeni mkafulie
  15. JamiiForums Tanzania Binti aliyebebeshwa dawa za kulevya na mchumba wake wakati wa safari ya kwenda kutambulishwa ukweni

    Jumapili nilikuwa nasikiliza kipindi cha njia panda cha Clouds nikasikia story yam dada flani anayeitwa Mansura. Mansura ni mwenyeji wa Moshi, alikuja kuishi Dar mwaka 2013 wakati alipojiunga na chuo cha Bandari. Kama mnavyojua mabinti wa chuo, Manstura alikuwa ni sista du wa ukweli. Siku moja...
  16. JamiiForums Tanzania Safari yangu ya Dar-Njombe-Iringa-Dodoma-Tabora-Kigoma-Kasulu-Kibondo-Nyakanazi-Kahama-Singida-Dom-Dar

    Habari za wakati huu, nimeona niwashirikishe kidogo Wazee wenzangu wa Road trip haka kamsafara kangu kadogo. Nilipanga kuwa mwaka huu nizunguke kwa gari baadhi ya mikoa, LENGO ikiwa ni kupunzisha ubongo tu na kujionea huko kwingine...LENGO ilikua nianzie Dar-Lindi-Songea-Njombe-...
  17. JamiiForums Tanzania TCRA Yamfungia Polepole, Mwenyewe Asema "Kusema Ukweli ni Sehemu ni Safari Ndefu."

    Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa muda usiojulikana kipindi cha Shule ya Uongozi kinachomilikiwa na Mbunge, Humphrey Polepole kwa makosa matatu likiwemo la kutoa taarifa ya upotoshaji kuhusu chanjo ya Uviko 19.
  18. JamiiForums Tanzania Japo tumechelewa serikali ipige marufuku safari za mwisho wa mwaka kwa hali ilivyo sasa

    Mwisho wa mwaka kuna makabila yanapenda sana kumalizia kwao. Yani wanatoka mjini wanarudi walikozaliwa. Kwa hali jinsi ilivyo vikohozi,kifua pamoja na mlipuko wa nne wa UVIKO-19 yan kirusi cha Omicron. Kitendo cha watu kuingiliana kwa wingi huenda ikasababisha madhara hususa ni kwa wakaazi...
  19. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya named top safari destination in Africa

    Kenya remains a world-leading safari destination in 2021, according to the World Travel Awards. This marks the seventh time in a row that the country has been recognised as the premier wildlife tourism stop at the prestigious annual global awards. Kenya beat Botswana, South Africa, Tanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Everton waanza safari

    Timu ya Everton imeanzaa Safari yake ya kuweza kufika hata hatua ya top 7 ya Ligi KUU uingereza English Premier League baada ya kuichapa Arsenal bao 2 Kwa moja jana usiku
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…