safari

Safari is a graphical web browser developed by Apple, based on the WebKit engine. First released on desktop in 2003 with Mac OS X Panther, a mobile version has been bundled with iOS devices since the iPhone's introduction in 2007. Safari is the default browser on Apple devices. A Windows version was available from 2007 to 2012.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Ni dhahiri kuwa Rostam Azizi na Kundi lake ndio waliodhamini safari ya Rais na kundi lote lile. Watanzania tukae mkao wa kutafunwa

    Ni wazi kabisa na kuna ushahidi wa kimazingira kuwa hayo mabilioni ya shilingi anayodai mkuu wa nchi kuwa yaligaharamiwa na watanzania kuwezesha ziara yake huko Usa yatakuwa yalitolewa na Rostam Azizi na kundi lake. Nani mtanzania wa kawaida anayeweza kuchangisha na kupata Zaidi ya bil 11...
  2. JamiiForums Tanzania Inakuwaje safari ya Rais inagharamiwa na Wananchi wachache ambao hawataji majina yao? Je, haya sio mazingira ya kulipana fadhila kwa ufisadi?

    Rais anaenda kukaa USA zaidi ya wiki mbili. Huko anaenda kufanya shughuli za kiserekali na kubwa zaidi ni Uzinduzi wa filamu ya royal tour. Kila siku tunaambiwa hii filamu ilitengenezwa kwa pesa kiasi cha bil 7 na sio pesa za Serikali. Sisi akina Kabwela tukajua ni pesa za akina Greenberg na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania AJIRA ZA WALIMU: Safari hii hatutavumilia figisu figisu kwenye ajira ya walimu kama nyakati nyingine

    Imekuwa ni kawaida kuona figisu figisu ikitawala katika ajira za walimu. Baadhi ya figisu figisu hizo ni kama ifuatavyo. 1. Kutangazwa kwa nafasi za walimu wa Physics na Hesabu lakini wakachaguliwa baadhi ya walimu wa biology na chemistr. Walimu wa chemistry na biology ambao hawakuomba wakaona...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia atua Tanzania, aongelea mafanikio ya safari yake Marekani

    Akizungumza baada ya kurejea Nchini Tanzania kutoka Marekani, amesema Watanzania wategemee matunda kutoka Filamu ya TheRoyalTour na Nchi ijitayarishe kupokea wageni wengi Amesema Fedha za kutengeneza Filamu hiyo zimetokana na michango ya Wafanyabiashara mbalimbali Ndani na Nje ya sekta ya...
  5. JamiiForums Tanzania Si kweli kuwa ATCL imefuta safari za Ndege kuelekea Chato Geita

    Yasemekana hauna abiria wa kutosha kupeleka ndege. ===== UPDATES ====== Fact Check: Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) halijafuta safari zake kuelekea Geita ambapo ndege hutua katika Uwanja wa Ndege wa Chato. Hivi karibuni kumekuwa na uvumi unaonezwa katika mitandao ya kijamii ambayo haina...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani: Kuchunguza ulimwengu ni ndoto ya wanadamu wote

    Leo Aprili 12 ni Siku ya Safari za Anga za Juu Duniani au kwa jina lingine ni Siku ya Kimataifa ya Binadamu Kwenda Angani. Kutoka "mazungumzo kati ya mbingu na dunia" na wanaanga wanaotekeleza majukumu kwenye anga za juu, kujibu barua za wanasayansi wazee walioshiriki katika operesheni ya...
  7. JamiiForums Tanzania Tujikumbushe safari ya yanga 8 bora CAF confederation cup 2016

    Kwa kuwa Simba wameingia nane bora ya Caf confederation cup si vibaya tukawaambia kuwa wao siyo wa kwanza kuingia na Mwaka 2016 Dar es salaam Young Africans waliingia nane bora kisha yakapangwa makundi mawili katika hatua hii Yanga walibahatika kumchapa MWARABU Mo Bejaia ya Algeria bao moja...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Je, CHADEMA safari hii kwenda na nani kwenye uchaguzi wa Kenya?

    Nakumbuka kipindi kile walimtosa mpinzani mwenzao Raila na kumuunga mkono Uhuru Kenyatta tena nakumbuka mzee Lowassa alifunga safari mpaka Kenya kwenda kuwashawishi wamasai wamuunge mkono Uhuru Kenyatta. Sasa mwaka huu Raila anaungwa mkono na Uhuru Kenyatta. Je,CHADEMA watalazimika kumuunga...
  9. JamiiForums Tanzania Tuzo za Muziki Tanzania 2021, Bado tuna safari ndefu sana

    Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha 1. Utoaji wa Tuzo Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado...
  10. JamiiForums Tanzania Changamoto zilizokutana nazo katika kuanza safari yangu ya kuwa mfanyabiashara

    Poleni kwa majukumu ya kila siku, ni matumaini kila mmoja wenu ni Mzima wa afya tele na Mungu aendelee kubariki uzima huo ili kufikia malengo na majukumu ya kila siku. Leo nataka ni share nanyi safari ya nilioanzisha na bado inaendelea ya kuwa mfanyabiashara mkubwa. Kuwa mjasiriamali ni moja...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US hotel chain Marriott to open luxury safari lodge in Maasai Mara

    An artistic impression of JW Marriott Masai Mara Lodge’s junior suite tent bedroom. PHOTO | COURTESY | MARIOTT INTERNATIONAL Global hotel chain Marriott International has signed an agreement with Baraka Lodges Limited to open its first luxury safari lodge in Masai Mara, Narok County. The JW...
  12. JamiiForums Tanzania Kuna Msemo wa Maisha Ni safari, yako imefikia wapi

    Safar ya Mwanadamu ya mapambano inaanza punde tu anapozaliwa. Hiyo safari iliyosemwa na wahenga yako iko wapi?
  13. D

    JamiiForums Tanzania Tanzania safari Chaneli boresheni habari zenu; Mnaonesha utumbo mwingi sana kuliko ubunifu

    Ukizungumzia umhimu wa Documentary chaneli katika utalii Tanzania! Huwezi Kuacha kuizungumzia TANZANIA SAFARI CHANELI Chaneli hii imekuja kuonesha mageuzi makubwa sana katika sekta ya utalii Tanzania! Lakini pamoja na mazuri ya chaneli hii IPO shida kubwa sana katika namna wanavyowasilisha...
  14. JamiiForums Tanzania Safari ya wanawake sio fupi kwa kiasi hicho

    Hakuna siku wanaume wamekaa na kuamua kuwakataza wanawake wasiwe viongozi, kwenda shule, wasifyatue matofali, wasiangue madafu kwenye minazi, kuendesha bodaboda, kufanya biashara Wala kuwinda. Tangu enzi hizo za kale kulikuweko na wanawake wanaopambana na biashara huko tabora, queen of Sheba...
  15. JamiiForums Tanzania Hii tabia ya kila mara Rais akitoka Safari anapokelewa na Umati wa Watu na Viongozi ni takwa la Kikatiba?

    Kwa mnaoijua vyema Katiba ya nchi naombeni mnionyeshe Kipengele kisemacho Rais akitoka Safari tu basi akitua Dar es Salaam ni lazima apokelewe na Umati mkubwa wa Watu wakiongozwa na Viongozi Waandamizi. Na wale mnaoijua vyema Katiba ya Tanzania niwekeeni Kipengele kuwa Rais akiwa anarejea...
  16. JamiiForums Tanzania Msigwa: Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji

    “Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji. Mhe. Rais alisafiri kwa kutumia ndege hizo kama abiria. Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi. Pia...
  17. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika Clubhouse session ya Jamiiforums 15/02/2022: Safari ya matibabu kwa Mtoto mwenye Saratani

    Jamii Forums kwa kushirikiana na MUHAS, MNH, TLM wameandaa Mjadala utakaofanyika kupitia Clubhouse ya JamiiForums ili kuongeza uelewa juu ya Saratani kwa Watoto Nchini Tanzania. Kujua zaidi soma: Una swali lolote kuhusu ugonjwa wa saratani kwa watoto? Mjadala huu unatarajiwa kufanyika leo...
  18. JamiiForums Tanzania Nunua daftari na peni leo uanze safari yako ya mafanikio

    Ukitaka kufanikiwa kimaisha anza kwa kununua daftari na peni. Hakikisha kila siku kabla haujalala umeshapanga kesho yako ufanye nini na nini na matumizi gani muhimu uyafanye. Nini ufanye ili uboreshe utendaji kazi wako, maslahi yako, elimu yako, biashara yako nk. Kesho yake kabla muda wa...
  19. JamiiForums Tanzania Mo Dewji na safari ya kuwa Mwanahisa halisi wa simba sports club

    Simba sports club ni moja kati ya timu za ligi kuu Tanzania bara ambayo imekuwa ikiendelea na mchakato wa kufanya mabadiliko ya uendeshaji wa timu. Mwekezaji Mo Dewji ambaye ni shabiki na mwanachama wa timu hiyo aliyeamua kununua 49% ya hisa za klabu ili mchakato wa mabadiliko ya uendeshaji...
  20. JamiiForums Tanzania Muda wa kuanza safari za mabasi uangaliwe upya

    Nafikiri sheria tunayotumia kwa sasa ya kuanza safari saa kumi na mbili (06h00) asubuhi ni sheria ya miaka ya nyuma na hivyo inaweza kuboreshwa kwani mambo yamebadilika sana Fikiria safari za Morogoro to Dar unalazimisha basi liondoke saa 12 asubuhi hivi kweli hicho kipande kina hatari gani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…