Safari yangu ya kuacha punyeto.

mimiamadiwenani

JF-Expert Member
Mar 9, 2022
5,607
7,447
Jamani hamjambo?

Mimi Mimiamadiwenani, nilianza maisha yangu yangu ya punyeto rasmi nikiwa kidato cha sita. Hii ilikuwa ni kwa ushawishi wa rafiki zangu wa karibu, ukizingatia shule niliyosoma ni ya wavulana tupu. Unaweza uka imagine hapo.

Nilianza mdogo mdogo kwa ila nilianza kuwa addicted as days went!

To make story short, niliteseka sana. Nilijaribu karibu kila njia ila nika fail.

Niliwahi kwenda hospitalini kuomba ushauri wa namna ya kuacha, nikapewa ila wa haukunisaidia.

Nikapoteza matumaini kabisa.
Nilishawahi kujichua upto 3 times a day.

Hali hii haikuathiri maisha uwezo wangu kitandani, ila kujichua ni kama mke wa pili.

Baadaye sana nikagundua jambo lililonisaidia sana. Mimi nilipenda kutazama porn mno, hivyo nikaja kugundua wanawake wengi wa kwenye porn ndiyo hawa hawa akina Ashura na Hadija wa huku mtaani.

Nikaja kugundua wanawake wa porn wengi wanajiongeza urembo ili scenes zivutie, hawapo kwenye uhalisia.

Nikatenga mwezi mmoja wa kukaa mahali na kuangalia kila mwanamke anayepita na kumlinganisha na wale wa kwenye porn.

Wanawake wa porn walikuwa na makalio 'ndembe ndembe', ila wale wa mtaani niliowaona hawakuwa na makalio hayo. Nikagundua niliowaona walikuwa real, wa porn walikuwa fake.

Hivyo nikahitimisha kuwa, wanawake ninaopigia punyeto kwenye porn ndiyo hawa hawa wa mitaani, tena bora hawa kwa sababu wapo kwenye uhalisia wao.
Nikajiuliza: natafuta nini? Porn ina kitu gani cha ziada?

Nikaamua kufanya maamuzi. Nikaacha kabisa na kuichukia from then!
Wanawake ni hawa hawa! Hii ndiyo kaulimbiu niliyotumia kuacha punyeto.

Ni mara mia kununua penzi kuliko punyeto.
Sijajua wengine wapoje mifukoni mwao. Ila kama sikosei kuna akina dada mpaka 5000 unapata huduma, ni vema kujikita hapo kama una hela ndogo, kuliko kupiga punyeto. Huu ni ushauri tu!

Ni miaka 10 sasa imepita! Nimeshasahau!
 
Nimesoma uzi wako nimegundua we ni Junior sana, na umelikuza tu tatizo lako, ngoja nikupe fact comparisons.

Wakati we umeanza kidato cha sita mi mwenzio nilianzia Pre form one until my 30s.

Wakati we unapiga 3x a day hiyo mimi ilikuwa ndio my lowest, kuna mda unaenda hata 5+ a day.

Well hakuna ushauri utakaoambiwa kuhusu kuacha nyeto au addiction yoyote ikakutibu, tiba bora Ni wewe mwenyewe, kuna ile point unasema enough is enough, hapo utakuwa umewin.

Hongera kwa kuacha uraibu huo Ila sio mbaya hata siku moja moja ukakumbushia enzi.
 
Nyeto ni kama freemason. mzee afu mtaani hakuna kama Victoria cake, ule ukalio ni 🔥pamoja na wakina diamond Jackson, bella Belliz, alua Jason,canela skin, ryna corner bila kumsahau zimeena ora. Hafu nyeto Haina madhara yoyote Kuna siku nilipiga mara 5 afu jioni nilikutana na demu nilipiga yule demu mbaka akawa anataka akimbie akasema wewe ni jini mahaba kwanza nyeto ni mazoezi kabla ya mechi unajipima nyeto for life. labda ianze kuniomba Hela au wanikate mkono. Nina masabuni ya mo mengi geto. Mademu wakitaka waje geto wananipigia simu wanasema umepiga majukumu ya chama chaputa nikisema ndio hawaji wanajua shoo itakuwa hatari kwa mkapa hatoki mtu salama pumzi ya moto nawapelekea kwanza geto langu nimeandika Benjamin estadio de mkapa
 
Mkuu umejiepusha na jambo ambalo sio tatizo ili umejiingiza kwenye jambo ambalo linaweza kuwa tatizo kubwa ,la kununua hao warembo wanaojiuza ,.
Hujanielewa, sinunui ila nimetoa ushauri kwa ambaye hana mfuko mpana kumudu gharama za mahusiano.
 
Jamani hamjambo?

Mimi Mimiamadiwenani, nilianza maisha yangu yangu ya punyeto rasmi nikiwa kidato cha sita. Hii ilikuwa ni kwa ushawishi wa rafiki zangu wa karibu, ukizingatia shule niliyosoma ni ya wavulana tupu. Unaweza uka imagine hapo.

Nilianza mdogo mdogo kwa ila nilianza kuwa addicted as days went!

To make story short, niliteseka sana. Nilijaribu karibu kila njia ila nika fail.

Niliwahi kwenda hospitalini kuomba ushauri wa namna ya kuacha, nikapewa ila wa haukunisaidia.

Nikapoteza matumaini kabisa.
Nilishawahi kujichua upto 3 times a day.

Hali hii haikuathiri maisha uwezo wangu kitandani, ila kujichua ni kama mke wa pili.

Baadaye sana nikagundua jambo lililonisaidia sana. Mimi nilipenda kutazama porn mno, hivyo nikaja kugundua wanawake wengi wa kwenye porn ndiyo hawa hawa akina Ashura na Hadija wa huku mtaani.

Nikaja kugundua wanawake wa porn wengi wanajiongeza urembo ili scenes zivutie, hawapo kwenye uhalisia.

Nikatenga mwezi mmoja wa kukaa mahali na kuangalia kila mwanamke anayepita na kumlinganisha na wale wa kwenye porn.

Wanawake wa porn walikuwa na makalio 'ndembe ndembe', ila wale wa mtaani niliowaona hawakuwa na makalio hayo. Nikagundua niliowaona walikuwa real, wa porn walikuwa fake.

Hivyo nikahitimisha kuwa, wanawake ninaopigia punyeto kwenye porn ndiyo hawa hawa wa mitaani, tena bora hawa kwa sababu wapo kwenye uhalisia wao.
Nikajiuliza: natafuta nini? Porn ina kitu gani cha ziada?

Nikaamua kufanya maamuzi. Nikaacha kabisa na kuichukia from then!
Wanawake ni hawa hawa! Hii ndiyo kaulimbiu niliyotumia kuacha punyeto.

Ni mara mia kununua penzi kuliko punyeto.
Sijajua wengine wapoje mifukoni mwao. Ila kama sikosei kuna akina dada mpaka 5000 unapata huduma, ni vema kujikita hapo kama una hela ndogo, kuliko kupiga punyeto. Huu ni ushauri tu!

Ni miaka 10 sasa imepita! Nimeshasahau!
Weka akiba ya maneno...bora ununue STDs kuliko kujichua eti
 
Back
Top Bottom