safari ndefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    Gari Brevis tamu sana kwa safari ndefu!

    Nina gari Brevis Cc 3000 hii chuma nikitangulia usinifuate aisee, gari inakimbia sana na imetulia kabisa safari ndefu huwa nakimbiza huku nacheka tu jana nimetoka Dar asubuhi mpaka Mwanza gari imetulia kabisa ukiwa speed 150 unaona kama iko speed 50. Nina prado ila prado huwa naliacha nasafiri...
  2. Best Daddy

    Takwimu: Thamani Ya Taifa Stars Mioyoni mwa Watanzania, Ila Kwa Wa-Africa Bado Ni Safari Ndefu

    Hii sio taarifa kuhusu kiwango au performance ya timu. Hii ni taarifa inayoonesha timu ya taifa inaundwa na wachezaji wenye thamani(value) gani. Kwa mujibu wa tovuti ya ya Transfermarket na Score, imetoa tafsiri kwamba thamani ya timu ya taifa ‘ Total Market Value” napatikana kwa kupima mambo...
  3. o_2

    Bado tuna safari ndefu kama taifa kwenye timu yetu ya taifa "Taifa Stars"

    Nayeee.. MAshindono kufuzu kombe la mataifa ya Africa, afcon 2025 yanaendelea ikiwa leo ni mechi nyingine tena kwa timu ya taifa ya Tanzania ikitupa karata yake nyingine dhidi ya Guinea. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nini kifanyike? Mayowe hayatoshi..vitendo hakuna. Miaka kadhaa TFF...
  4. Pdidy

    Kuweni makini na vyakula vya njian hasa safari ndefu

    Jamani tuwe makini na vyakula vya njiani! Kuna Jamaa alikuwa katika Bus, yaani yeye kila stend anaagiza chakula mara mahindi, sambusa mara karanga za kuchemsha, mara chipsi Alipofika Mombo akakuta nyama choma basi akaagiza nusu kilo na ndizi za kuchoma za elfu mbili! Baadae Akaomba na...
  5. Nehemia Kilave

    Ukiangalia hizi wasifu za baadhi ya nchi za Afrika upande wa Mawaziri wa Afya utagundua Tanzania tuna safari ndefu sana

    Wenzetu atleast wana heshimu professionals za watu
  6. K

    Taifa letu Lina safari ndefu

    Leo la majinjioni Leo hii ni eneo la kanisa
  7. Mohamed Said

    Ilikuwa Safari Ndefu

    ILIKUWA SAFARI NDEFU Ilikuwa siku kama ya leo sasa imetimu mwaka mmoja. Picha hizo hapo chini ni maofisa kutoka Heritage Centre for Liberation of Afrca na TBC wakiwa Ukumbi wa Arnautoglo kunirekodi kipindi kinachohusu uchaguzi wa TAA mwaka 1953. Wanaogombea nafasi ya Rais wa TAA ni kijana wa...
  8. Yoda

    Manji kuzikwa Marekani kumedhihirisha kiwango kikubwa cha ujinga. Tuna safari ndefu kama nchi katika katiba na elimu ya uraia

    Nimeangalia comments za ukurasa mmojawapo wa mitando ya kijamii kuhusu Manji kuzikwa Florida Marekani nimeshangaa kuona kundi kubwa sana la raia Watanzania hawana elimu kabisa kuhusu vigezo vya kuwa raia wa nchi hii au kuna ubaguzi mkubwa sana kwa raia walio wengi. Wengi katika ukurasa huo...
  9. Majok majok

    Simba mnayo safari ndefu ya kuijenga timu yenu, zile 5 za Yanga zinaweza kuja kujirudia msipofanyia kazi mapungufu yenu!

    Nimeifatilia Simba kwenye mechi zote za mapinduzi cup na nimeona bado wanayo matatizo makubwa sana ya kiufundi, nilitegemea mabadiliko baada ya benchikha kuichukua timu lakini silioni ilo kwa sasa! Simba bado Wana shida ya kucheza mpira wa taratibu na kujenga mashambulizi kwa mwendo wa konokono...
  10. Mhaya

    Rasmi: AZAM TV watambulisha visimbuzi maalumu vya kwenye mabasi ya mikoani na magari ya safari ndefu

    Azam TV wakonga nyoyo za burudani Tanzania baada ya kutambulisha Visimbuzi vya kwenye mabasi. Hivi sasa tutakuwa tunacheki mechi za simba na yanga kwenye mabasi ya mikoani. Kupitia kurasa zao leo wametangaza rasmi kutoa huduma hiyo. ======== Azam TV Revolutionizes Travel Entertainment with...
  11. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoenda safari ndefu na gari lako

    Kuendesha gari ni suala linalohitaji umakini na utulivu mkubwa, hasa pale unapoendesha gari umbali mrefu. Mara kwa mara kumeshuhudiwa ajali mbalimbali ambazo kimsingi zinatokana na madereva kutokuzingatia kanuni muhimu katika utumiaji wa vyombo vya usafiri. Ili kuhakikisha usalama wako pamoja...
  12. Meja Jenerali Isamuhyo

    Makato ya Mshahara kwa Daktari mpya Serikalini, bado tuna safari ndefu sana

    Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000 HESLB wanakata 222,000 74000 ya PSSSF kodi ni 290,580 bima ya afya 44,400 Unabaki na 849,020 Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
  13. Gol D Roger

    Safari ya imani ni safari ndefu sana

    Habari 🖐 🖐 🖐 Binadamu kabla hajaingia kweny imani, inabidi kwanza ujiulize swali tatanishi, swali ambalo hadi sasa kila mtu ana mtazamo tofauti, swali lenyew ni hili: Je, Mungu yupo? Akiamua kutoamini katika uwepo wa mungu bac kheri yake, lakini akiamua kuamini katika mungu bado safari ni...
  14. MEXICANA

    Bukoba msipofuata ushauri wa Hayati Magufuli bado mtakuwa na safari ndefu sana ya kuwa na maendeleo kwenye hako kamji kenu

    Bukoba mugumile watani zangu. Kwa hayo tunayoyasikia na kuyaona huko kwenu watani zangu ni yaleyale ya miaka ya nyuma sjui nani kawaloga ninyi watani zangu,watalaamu wa mambo ya kiroho wanaita laana/tatizo la kujirudia rudia. Mwendazake aliwaasa watani zangu kuwa muache kukwamishaana ninyi kwa...
  15. NetMaster

    Ile sehemu wanayouza mikate Iringa imewezaje kupata umaarufu mkubwa tangu zamani kwa wanaosafiri safari ndefu hasa wenye magari binafsi

    Ni sehemu flani ipo Iringa umbali mfupi kabla ya njia ya barabara ile inayopanda kwenda mjini, wenye magari binafsi hasa waliotokea Dar, Moro, Dodoma wakifika hio sehem husimama kwenda kununua mikate. Hata kuna kipindi mwaka huu nilipita hapo walihamia kwa mbele kidogo, moja wetu hakutaka...
  16. M

    Namba hazidanganyi: Bado Halaand ana safari ndefu sana kuyafikia mafanikio ya Cristiano Ronaldo, japo mwelekeo anao!!

    Tatizo ni kwamba watu warefu kwa kawaida hawakai kwenye form kwa muda mrefu , lakini pia Halaand anatumia mguu mmoja tu wa kushoto wakati R7 mashine inakubali kote kote. Halaand ni mrefu zaidi ya Ronaldo. Nafahamu exceptions huwa zinatokea. Naziachia namba hapa zizungumze!! Domestic Tournaments...
  17. B

    Soka la Zanzibar lina safari ndefu sana

    Hivi ushawahi kujiuliza ni kwa nini ukifika mwezi mtukufu wa Ramadhan ligi zote za soka Zanzibar zinasimama? Ipo hivi; kila mwaka, kipindi cha mfungo wa Ramadhan, soka visiwani Unguja na Pemba halichezwi. Wenyewe wanasema ipo hivyo kwa sababu ya kutoa fursa kwa wanaofunga kuitumia ibada...
  18. T

    Upinzani huu, Tanzania bado tuna safari ndefu sana

    Kwa wapinzani hawa tulio nao ambao wanashangilia na kufurahia kuweza kumpigia rais simu muda wowote kama vile ni jambo la maana sana basi Tanzania kazi bado ipo. Leo Sugu ama Joseph Mbilinyi anawaambia wanachi waliojitokeza kwenye mkutano wa kampeni kwamba ana uwezo wa kumpigia rais muda wowote...
  19. Ahmed Saidi

    Tunapitia mengi katika kutafuta. Tusikate tamaa (Kutoka kuwa walimu wa nursery hadi mkufunzi wa elimu ya juu)

    Aisee maisha yana kila aina ya furaha na karaha, tunapitia mengi lakini mwisho wa watu wengi ni mzuri, amini hivyo. Nakumbuka namaliza chuo ile sina hili wala lile, naingia mtaani na mabaki ya boom (kiinua mgongo), with hope nitakuja kutoboa tu. But kitaa ndio hichoo kikaniita mzee. Daah mdogo...
  20. Mpekuzi Tanzania

    Tanzania nchi yangu, tuna safari ndefu

    Tanzania Nchi yenye watu Milioni 61 hisia na mawazo yanaendeshwa na kikundi cha wanaojiita wanaharakati mitandaoni ambao familia zao zina uhakika wa kula na kusaza. Baada ya ajali ya ndege siku tatu kulikuwa na povu povu kuhusu uwajibikaji, Leo matokeo ya Yanga yameshabadili upepo na stori...
Back
Top Bottom