Ahlanbik kutoka Lombardia ndani ya jiji la Bergamo kaskazini mwa nchi ya Italy:
Jana nlifanikiwa kuitazama mechi ya miamba ya soka nchini Tanzania ,Simba dhidi ya timu ya Geita Gold nikiwa hapa Italy kupitia Azam max, niseme tu pongezi ziwaendee Azam kwa kutuwezesha diasporas tulioko huku...
Hapa Lemutuz (wa pili kushoto) akiwa na rafiki yake mkubwa (wa kwanza) wakiwa bado vijana wadogo kabisa wakiwa wanaanza maisha miaka ya 80 na wakiwa hawana ukwasi mwingi kivile.
Miaka kadhaa mbele vijana hao hao wawili wote wamekuwa wafanyabiashara wakubwa na mabilionea huku wakiwa na majina...
Kwa wasiofahamu mechi za kufuzu AFCON zinaendelea , na kwa leo mechi kubwa ni Ethiopia dhidi ya Egypt.
Hii mechi ina uhusiano gani na Tanzania?
Ethiopia kama ilivyo Tanzania siyo taifa kubwa kisoka. Lakini katika mechi hii ukiangalia unaona namna wachezaji wanavyojituma pamoja na kukutana na...
Nimeangalia wakandarasi waliopata zabuni za miradi ya maji, kwa kweli binafsi yangu sijamuona Mtanzania ngozi nyeusi aliye pata zabuni. Wote niliowaona mie, ni ngozi nyeupe (mabeberu), sasa nacho jiuliza ngozi nyeusi sisi tatizo ni nini?
Sote tunafahamu njia kuu ya Serikali kuongeza fedha...
Kiukweli nilikuwa hata sijui kama ni leo ila
Katika pitapita za kubadilisha TV channels ndio nakutana nazo
Ukiachilia promo ambayo imeonekana kuwa na udhaifu, bado kuna mambo mengi ya kuboresha
1. Utoaji wa Tuzo
Nimeona kuna tuzo 3 za heshima ikiwemo ya Ruge Mutahaba na Diamond platnums bado...
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imekifungia kwa muda usiojulikana kipindi cha Shule ya Uongozi kinachomilikiwa na Mbunge, Humphrey Polepole kwa makosa matatu likiwemo la kutoa taarifa ya upotoshaji kuhusu chanjo ya Uviko 19.
Wahenga wana msemo usemao lisemwalo lipo kama halipo laja, huwa jamii yetu wanasema jamii ya watu wanaofanya kazi za udereva haswa wa safari ndefu huwa wana tabia za uzinzi sana. Maneno haya yapo mtaani tangu siku nyingi hadi leo yanaongelewa, basi wikiendi iliyopita nilipata nafasi ya kusafiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.