safari ndefu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Meja Jenerali Isamuhyo

    Tukio hili niliamini kama nchi bado tuna safari ndefu sana

    Hili Tukio ndio niliamini Hii nchi tuna safari ndefu sana 🤣. Siasa za Kijinga sana hizi, Imagine ilikua Trending sana, Ikawa na Bango la kimkakati kabisa.
  2. M

    Serikali izuie mfumo wa Pre Form 1 hadi Novemba. Watoto wapate muda wa kupumzika baada ya safari ndefu ya elimu ya msingi

    Kumekuwa na mwelekeo usio na afya katika mfumo wetu wa elimu, hususan baada ya mitihani ya darasa la saba. Punde tu mitihani inapomalizika, matangazo ya tuition za Pre Form 1 huibuka kwa kasi, yakichochea hofu na presha kwa wazazi. Wengi hujihisi wanalazimika kupeleka watoto wao, si kwa sababu...
  3. Mshana Jr

    Tuna safari ndefu ngumu na ya hatari watanganyika kujinasua toka kwenye makucha ya wana mtandao

    Nilisema kwenye mada zilizopita kwamba kundi la mtandao ni kubwa na lenye ukwasi wa kueleweka walioupata hapa hapa Tanganyika Hawa ndio wanafaidi keki ya taifa la Tanganyika.. Njia zote kuu za uchumi wamezishikilia wao! Wana sauti na maamuzi kwenye kila kitu.. Huu ni ukweli mchungu na wa...
  4. Ojuolegbha

    Ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu, SADC yakumbushwa

    Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika utekelezaji wa malengo waliyojiwekea. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara za...
  5. Roving Journalist

    Ukombozi wa Kiuchumi ni safari ndefu, SADC yakumbushwa

    Nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimekumbushwa kuwa ukombozi wa kiuchumi ni safari ndefu na ili kuifikia nchi hizo zinahitaji mtangamano wenye nguvu na usioyumbishwa katika utekelezaji wa malengo waliyojiwekea. Hayo yamesemwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Biashara za...
  6. jerry spare parts service

    Unapotembelea Gari kwa Safari Ndefu – Unabeba Spare Gani za Dharura? Hebu Tusaidiane

    Sisi kama Jerry Spare Parts and Services, tumekuwa tukihudumia madereva na wamiliki wa magari kwa miaka kadhaa sasa, hasa katika kuhakikisha wanapata spare parts original kwa ajili ya matengenezo na safari zao. Moja ya changamoto tunayokutana nayo mara nyingi ni wateja wanaorudi kutoka safari...
  7. kijana wa leo

    Kusafiri safari ndefu for fun (Road trip)

    Kuanzia tarehe moja August taanza likizo ya mwezi mmoja, nimeplan kufanya road trip kuanzia Dar - Moshi - Arusha - Babati-Mara- mwanza-Geita-Kagera -Kigoma-Katavi-Sumbawanga-Mbeya-Songea-Mtwara-Lindi then Dar... Kwa mdau anayejua changamoto yoyote kwenye hiyo root naomba anijuze ....
  8. Orketeemi

    Vita ya Israel na Iran .. tuna safari ndefu kama taifa

    Niliacha kufuatilia au kusikiliza hotuba za rais Samia au wateule wake baada ya kuona hajui anachoongea. Ukifuatilia vita hii utaamini maneno ya Donald Trump kwamba nchi zetu ni Shit-holes (mashimo ya uchafu) Hivi bara la Africa ( nchi zote 52) Zina uwezo kijeshi nusu ya inaonesha Iran au Israel?
  9. GENTAMYCINE

    Mtangazaji na Mchambuzi Hans Rafae wa CROWN FM jiangalie sana kwani Wewe bado ni Kijana na una Safari ndefu utajiharibia

    Haiwezekani kila uwapo Kipindini Wewe 95% ya Majadiliano yako / Uwasilishaji wako ni kuisema tu vibaya Simba SC ila Yanga SC ambao Mdhamini wao anakulipa Kisiri huku Rais wa Klabu hiyo akiwa ni Rafiki yako kutokana na Kujipendekeza Kwako Kwake wala huisemi. Umejaa tu Unafiki, Wivu na Chuki kwa...
  10. Msaga_sumu

    MAISHA NI SAFARI NDEFU

    Kumekuwa na msemo mmoja mali utaipata shambani,, siju moja nilikua katika safari ya kikazi japo ni kazi ya muda hapo mkoani geita,, wale wenyeji wa geita mnaelewa unakuta kikosta (daladala) kina makonda zaidi ya sita wapiga debe 6 kuna mzee akasema mnatupotezea mda shida vijana wamejazana hapa...
  11. mahindi hayaoti mjini

    Kwa yanayotokea uwanjani MC Alger na TP Mazembe. Afrika tuna safari ndefu sana ya football

    Mwarabu anabebwa kupita kiasi, hii mechi ni kielelezo tosha cha waarabu wanavyofanya kwenye soka letu, bora tu waanzishe ligi yao na watuache na yetu
  12. CAPO DELGADO

    Maoni ya mashabiki wa Yanga yanaumiza mno, kama Taifa tuna safari ndefu sana

    Habari wakuu wana Jamii Forums. Nimelazimika kuingilia kati kidogo minadala inayoendelea Tangu jana Usiku Baada ya yanga Kupoteza Mchezo 2-0 Dhidi ya MC Alger ya Algeria Nimekuwa nikifuatilia maoni sehemu mbali mbali hususa ni Kwenye mitandao ya kijamii kama Jf na instagram. MAONI...
  13. Hance Mtanashati

    Zuchu bado ana safari ndefu sana kimuziki ,bado hajapata fan base ya kwake yeye kama yeye bila kumtegemea Simba

    Ukweli usemwe tu, Zuchu ni msanii mzuri na msanii mkubwa ila bado hajafika viwango vya kumuweka kama msanii mkubwa hapa nchini ukimlinganisha na wasanii wa kike wakubwa wa kizazi chochote kike, kilichopo na kilichopita. Kwa kizazi kilichopo ,Zuchu hamfikii hata kidogo Nandy , Nandy anaweza...
  14. Mejasoko

    Mabati ya chinichini ndio yamejaa Dar, Bado tuna safari ndefu kufikia skyscraper city

    Imepigwa kutoka PSSSF tower floor ya 33
  15. Kusini pride

    Hili taifa lina safari ndefu sana. Udini unakuja kwa kasi sana!

    Kuhusu ukabila hilo halipingiki kweli hii nchi ina ukabila sana bila kupepesa macho lazima ukweli usemwe hili ni jukwaa huru japo sio kwa kiwango hicho ila kwa ground ukabila upo sana na hivi kuna mtu ana dharau kumshinda Mtanzania? Ila wanaishi kwa unafiki sana kwenye kiza cha uoga na unafiki...
  16. PureView zeiss

    Holiday season imewadia, wazee wa safari ndefu huu ndiyo mwezi wetu wa kumwaga moto

    Wakuu.. Katika kipindi hiki cha mwezi December watanzania wengi wanakuwa katika hekaheka za kusafiri sehemu tofauti wakifurahia maisha baada ya miezi 11 ya purukushani za kutafuta riziki. Wewe mwana-jamiiforum umejiandaaje na safari za mwisho wa mwaka? Mimi nilijiandaa Toka mwezi January...
  17. ESCORT 1

    Baada ya kupaona nyumbani kwa marehemu Mafuru, sina budi kusema bado nina safari ndefu sana ya kutafuta pesa

    Niliona video fupi mtandaoni ikionyesha msiba wa hayati Mafuru. Ile ni nyumba au hekalu? Nyumbani kwa marehemu ndani ya fensi pana lami. Nyumba ipo Kijazi fly over geti la nyumba lipo Stand ya Magufuli!! Ngoja nitafute sana pesa, sitaki kupoteza muda wakuu
  18. Cecil J

    Maisha yana safari ndefu. Pambana kila muda, relax kula maisha. Usiweke umuhimu wa mtu yoyote kabla yako!

    Habari wanajukwaa! Nimefurahi kwamba wote muwazima, kwa wale wagonjwa nawaombea kwa Mwenyezi Mungu, kwa wale wasio na dini mpone haraka. Sitakuwa na mambo mengi ya kuandika, jambo ni moja tu! Kwenye haya maisha tupambane kila siku, ila tusisahau ku-relax na ku-flex kistaarabu baada ya...
  19. X_INTELLIGENCE

    Nilichojifunza kusafiria Pikipiki safari ndefu

    Mwaka Jana nilijaribu kwenda masafa marefu na piki piki ilikuwa BOXER 125 nilienda shinyanga nilitumia masaa zaidi ya 12 maana nilitoka dar es salaam alfajiri nikafika shinyanga jioni kwenye saa 1 hivi kasoro...! Boxer kidogo barabarani ilikuwa inayumba Nategemea kwenda Shinyanga kwa pikipiki...
  20. THE FIRST BORN

    Press ya Wazee wa Simba Imeniumiza sana kama Taifa tuna safari ndefu

    Habari kiukweli tuna safari ndefu kama Taifa. Juzijuzi yameitishwa Maandamano hakuna alietokeo Maandamano ambayo Lengo kubwa lilikua ustawi wa watu ambao ni Watanzania. Leo hii Team imefungwa imeitisha press na inatoa Tamko😂😂 wakaongeza Kuna watu walikua wamekasirika wanataka kuandamana kisa...
Back
Top Bottom