sabuni

Nyamko Ana Sabuni (born 31 March 1969) is a Swedish politician who has been Leader of the Liberals since June 2019. She previously served as Minister for Integration from 2006 to 2010 and as Minister for Gender Equality from 2006 to 2013 in the Swedish government. A member of the Liberal Party, Sabuni was elected a Member of Parliament in 2002. Sabuni made history in June 2019 by becoming the first party leader in the Swedish parliament coming from an ethnic minority and the first party leader of a refugee background.

View More On Wikipedia.org
  1. itagata

    Nahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche.

    Wadau Salaam! Ninahitaji mashine ya kutengeneza sabuni za miche pamoja na mixer angalau ya lite 200. Mwenye nayo au mwenye uelewa naweza ipata wapi naomba anisaidie kwa kunitumia ujume PM. Asanteni sana.
  2. M

    TANZIA Padre Paul Nsekela Sabuni afariki dunia

    Mhashamu Sana Jude Thaddaeus Ruwa'ichi OFMCap, Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, anasikitika kuwatangazia kwamba leo tarehe 30/01/2026 saa 10.31 alfajiri mpendwa wetu Padre Paul Nsekela Mboje SABUNI, Paroko wa Parokia ya IPTL, ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele akiwa katika matibabu...
  3. F

    Mashine ya kutengeneza Sabuni

    Shalom Shalom wanaJF Kulikua na mdau anauza mashine ya kutengeneza sabuni ya miche naomba anicheck pm tujadili
  4. Kilo mbili

    Nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande

    Habari wana jamvi Moja kwa moja kwenye maada, nina ujuzi wa kutengeneza sabuni za mche/kipande na sabuni za gwaji/mawingu. Lakini nimebaki na ujuzi tu mtaji sina, hivyo kwa mwenye kuvutiwa na ujuzi wangu karibu pm tufanye biashara
  5. Kipenzi Changu

    Jinsi nilivyouziwa simu-mche wa sabuni pale stend ya Ubungo

    Lesson learned Wale jamaa pamoja na ujanja-ujanja wa mjini lakini nahisi walikuwa wanatumia dawa. Ilivyokuwa Saa 10 asubuhi nikawa Ubungo tayari kuisubiri saa 12 bus liondoke kuanza safari ya kurudi kijijini. Hii ilikuwa 2007 likizo ya semister ya kwanza baada ya kujiunga Chuo Kikuu. Wakati...
  6. Mindyou

    GE2025 CCM Arusha watolea ufafanuzi Diwani aliyedaiwa kuhonga Mchele na Sabuni ili apitishwe "Vikao vinaendelea"

    Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha kimetoa ufafanuzi kuhusu madai yanayomkabili aliyekuwa Diwani wa Kata ya Mbureni, Faraja Maliaki, ambaye hivi karibuni ilisambaa video kwenye mitandao kijamii inayoonesha baadhi ya wanachama wa CCM kurudisha zawadi alizowapa wakidai kuwa ni rushwa ili...
  7. Yoda

    Kuongezea(ku-dilute) sabuni ya maji maji iwe nyingi ni upumbavu na ushamba wa kiwango cha juu.

    Huu mtindo wa wafanyabiashara wa migahawa, bar na vyoo vya umma kuchukua sabuni ya maji halafu kuiongezea maji ili iwe nyingi ni upumbavu wa hali juu. Wabongo kuna ujanja mwingine tungeachana nao tu maana tunakuwa duni kuliko hata ngedere, kama ni ubahili wa kubana matumizi basi pia ni ubahili...
  8. Ponjoro wa Kinondoni

    Mtengenezaji wa Sabuni za Eva MOTONI moja kwa moja

    Sabuni zake zinaongoza kwa kuondoa ushahidi baada ya uvunjaji wa amri takatifu. Hizi sabuni zimeosha mamilioni ya mikuyenge na papuchi nchini Tanzania tangia awamu ya 3 hadi leo awamu ya 6.
  9. P J O

    SERIKALI UZUIE UINGIZAJI WA SABUNI ZOTE

    Kwa Hali ya shilingi yetu Kwa sasa ni mbovu na mikakati dhabiti inahitajika kukumaza fedha yetu. Moja ya maono ya JPM ilikua kuwezesha viwanda vya ndani kupitia kuwanyanyua wazalishaji wadogo na kutengeneza mazingira rafiki ya uwekezaji Kwa viwanda vikubwa. Sabuni hata ghetto inatengenezwa...
  10. Babu Kijiwe

    Tangazo la Sabuni ya Komoa: Redio Tanzania Dar es Salaam

    Nipeni nguo nifue (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Nipeni maji nioge (komoaa), sabuni ya komoa (komoaa) Inanukia vizuri (komoaa), inapovu jingi sana (komoaa) Haichubui mikono, (komoaa) kiboko ya nyingine (komoaa) Aeee eee (komoaa), aaa eee eee, (komoaa) aaa eee eee (komoaa) (Tilititititi...
  11. P

    Anahitajika mtu wa kuuza kwa kukopesha sabuni za maji

    Anaitajika mtu wa kukopesha sabuni za maji . 1.Target chupa 60 za Lita moja 2.Mshara 150,000 3.Ela ya chakula atapewa kwa siku 2,500 Anaitajika kwa yule aliyetari na anayejua kazi kwa moyo Mawasilino: 0657010002 au tuma CV mazingirapacha@gmail.com.
  12. Mshana Jr

    Jinsi ya kutengeneza sabuni za miche nyumbani kwa ndimu tu

    Najua nyakati ni ngumu na wengi wetu hatuna kazi za kuajiriwa. Kama utapenda kujifunza ujasiriamali bure basi soma hii Hapa kuna mapishi ya sabuni iliyotengenezwa nyumbani ambayo inaweza kukusaidia kuingiza kipato kizuri SABUNI YA NDIMU YA NYUMBANI VIUNGO : 500 ml ya maji 500 g ya sukari 70 ml...
  13. Mtu Asiyejulikana

    Inaumiza sana umri huu Mbowe ana report kwa Abdul? Pesa ndiyo sabuni ya roho

    Abdul ni mtoto ambaye walio karibu watakuambia hata hayupo smart. Sema ndo anatumika tu na mzazi wake. Mbowe umri huu ndo maana aliamua kuwa na washauri kama akina Ntobi, Yericko and the likes watoto wadogo tu. Mbowe inasemekana mshauri wake mkuu sasa ni Abdul. Yaani kila kitu anachofanya...
  14. Logikos

    Je ni Heri kuvaa Suti ya Bei wakati una Jasho, unanuka na kuwashwa au bora ununue Sabuni uoge na kuvaa Lubega yako ?

    Better one Step with the People than 10 Steps Without...
  15. FOX21

    Nampango wa kumfungulia shemeji yangu biashara ya Sabuni kuimarisha maisha yake

    Nisipoteze muda naomba niingie ndani ya lengo . Ndugu zangu nina mpango wa kumfungulia shemeji yangu wakike biashara ili na yeye awe anajipatia mahitaji yake madogo madogo kuliko kuwa anashindia ndani akifatilia tamthilia na kunipiga vizinga vya hapa na pale. Na biashara nilio iona haitampa...
  16. Yoda

    Sio ujinga kutumia sabuni ya unga na kipande kwa pamoja wakati wa kufua nguo?

    Huwa naona watu wanatumia sabuni za aina mbili katika kufua, mtu analoweka nguo kwa sabuni ya unga kisha baadaye anatumia sabuni ya kipande wakati anazifua! Sasa hii maana yake huwa ni nini? Kwamba sabuni ya unga haitoshi kutakatisha nguo wakati wa kufua? Sijawahi kuolewa mantiki ya hili jambo.
  17. P

    KERO Vyoo Vya Umma Kukosa Sabuni na Toilet paper

    Hakika ni jambo la aibu,dhihaka,ujinga na kukosa ustaarabu na wakati huo huo tukijiona jamii yenye ustaarabu na Elimu. Maeneo yenye mkusanyiko mkubwa wa watu,wenye kutafuta huduma au kupatiwa huduma mfano zahanati,vituo vya afya,hospitali(wilaya,mkoa na rufaa), Taasisi za Elimu(shule za msingi...
  18. Zee la madawa

    Mwendo wa kahawa na vitabu tu. Kweli pesa ni sabuni ya roho aisee!

    Nakaribisha makasirko aisee
  19. Bi zandile

    Tunakoelekea kuoga na Sabuni Pia tutaambiwa ni dhambi

    Baada ya Mchungaji Mch. Abiud Misholi Kutamka adharani kwamba ni Ushetani mkubwa Mlokole kushabikia mpira Mwimbaji wa nyimbo za injili na SHABIKI mkubwa wa Yanga African @Ann_annie kafunguka ya moyoni na kusema.... "Kuna Max Nzengeli na Kennedy Musonda wameokoka sasa na wanacheza mpira...
  20. Druggist

    Wadau wa Kutengeneza na Kuuza Sabuni Tukutane Hapa

    Salaam Wana JF. Uzi huu naomba wote wanaohusika na Kutengeneza Sabuni za aina zote,Kwa Kiwango kidogo,cha Kati na Kikubwa Tukutane Kupeana Maarifa,Taarifa,Ujuzi na uzoefu.Aidha wale wanaouza malighafi,vifungashio na hata Wauzaji wa jumla na reje reja ruksa pia.Kwa Wadau napenda tupeane uzoefu na...
Back
Top Bottom