Sabaya is a small town in the Bolivian Oruro Department. In 2001 it had a population of 573 inhabitants in 2001. Sabaya is the administrative center of the Sabaya Province and the Sabaya Municipality alike. It is located 200 km south-west of Oruro, the capital of the department. It is situated at 3,698 m above sea level in the valley of the Sabaya River on the eastern slopes of Pumari (4,787 m). Salar de Coipasa lies 25 km south-east of Sabaya, and the stratovolcano Tata Sabaya (5,430 m) is situated 20 km south-west of Sabaya.
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Arusha, imepokea video sita zilizokuwa kwenye ‘flash disk’ iliyowasilishwa kama ushahidi wa upande wa Jamhuri katika kesi ya uhujumu uchumi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya, Lengai Ole Sabaya na wenzake.
Wiki iliyopita, upande wa utetezi ulipinga kupokelewa...
Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine.
Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 29/10/2021
UPDATES
Mpaka sasa...
Kweli ni magumashi ya kulipiza kisasa baada ya kushughulika vema na ufisadi hai.
Tumeona washitakiwa wengine wenye kosa zaidi ya moja kufunguliwa kesi moja na kisha kutumikia hukumu moja kwa makosa yote. Ila kwa sabaya wanamshitaki kesi tofauti ku maximise kifungo na kumdhalilisha.
Hebu...
Tayari baadhi ya Wadau wa Maendeleo, akiwemo Mwakilishi wa Ubalozi wa Canada wamewasili Mahakamani.
Hadi saa 3:30 asubuhi hii Watuhumiwa walikuwa bado hawajaletwa Mahakamani.
====
Hatimaye Mbowe na wenzake wameletwa Mahakamani
Jaji Joachim Tiganga ameingia Mahakamani
Wakili wa serikali...
Mkuu wa TAKUKURU Mkoa wa Kilimanjaro Frida Wikes, amesema kuwa uchunguzi wa tuhuma mbalimbali zinazo muhusu aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya unaendelea vizuri katika Mkoa wa Kilimanjaro.
"Kesi za mshitakiwa huyu (Sabaya) zimekuwa zikienda mfululizo hivyo kesi nyingine...
MENEJA Ulinzi na Ushirika wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wa Kampuni ya Vodacom (T) Makao Makuu Dar es Salaam, James Wawenje (39), ameieleza mahakama jijini hapa kuwa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa Arusha ilimuagiza achunguze namba za simu ya kiganjani za washitakiwa...
Wakati Sabaya anafanya Ujambazi Polisi HAI,Arusha na Kilimanjaro intelijensia yao haikubaini viashiri vyovyote?
Kuna matukio mengine najaribu kutafakari naona kabisa KATIBA YETU kwa wakati huu lazima tufanye mabadiliko , hili jambo kuna upande wataliona kama ni siasa lakini kwa afya ya nchi...
Kama Taifa kuna vitu tunadharau sana na mara nyingi vime Tu cost Sana na kwa sababu hatutaki kabisa kuvitazama na kuvifanyia kazi, pengine vitaendelea kutu cost sana.
Magonjwa ya akili ni jambo moja Taifa hili hatutaki kabisa kukaa chini na kuweka mipango ya kusaidia 'wagonjwa' wetu
Na kuzuia...
Viongozi wa Machinga Dar es Salaam walijitolea kuwapaga wamachinga wenzao wa Msimbazi, Kariakoo ili kutii amri ya Serikali ya kutofanya biashara maeneo yasiyo rasmi.
Baadhi ya machinga wameonesha upinzani kiasi cha kuzua vurugu ambapo polisi walilazimika kuingilia kati ili kuwaokoa viongozi...
Hii ni kauli aliyoitoa Mbowe zaidi ya mwaka mmoja uliopita dhidi ya Sabaya na washirika wake. Mbowe aliitoa kauli hii kwa ujasiri mkubwa na hadharani wakati huo Sabaya akiwa mkuu wa wilaya ya Hai chini ya utawala wa Rais Magufuli.
"....Siko tayari kumjadili Sabaya, mtoto mpotevu, mhuni, mtu...
Wakuu,habari.
Naombeni hukumu ya Sabaya ili nijiridhishe baada ya kupata utata wa maamuzi ya mahakama.
Nimepata utata kwa sababu ushahidi niliokuwa nafuatilia sikutegemea angekutwa na hatia.
Ukifikiri kwa makini, wote waliokuwa mabosi wa Sabaya chini ya Magufuli na wakuu wote wa vgombo vya ulinzi na usalama hawakupaswa kuendelea kuwa madarakani leo hii ila katiba ndio tatizo kwani haitoa hata fursa ya kufanya uchaguzi tupate viongozi wengine ambao bila shaka wangekuja na watendaji...
Aliyekua Mkuu wa Wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro, Jambazi Lengai Ole Sabaya na wenzake sita leo wamepandishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kusomewa mashtaka 6 ya uhujumu uchumi na utakatishaji pesa.
Ijumaa Oktoba 15 mwaka huu, Sabaya alihukumiwa kifungo cha miaka 30 jela pamoja na...
Utetezi pekee alioweza kuutoa mahakamani kijana wetu Sabaya ni kuwa alitumwa na hata aliyekua makamu wa raisi (Na sasa ni raisi) alikua akifahamu. Hii ina maana Sabaya alikubali kufanya matendo yote yake aliyoshitakiwa nayo.
Kama Sabaya amepigwa mvua mchana kweupe tena mbele ya waliokua...
Lazima wana CCM tuainishe the basic contradiction ya uhusika su kutohusika kwa CCM katika suala la Ole Sabaya.
Komredi Abdulrahman Kinana alipokuwa Katibu Mkuu CCM, pamoja na Katibu Mwenezi Nape Nnauye, wakati wao wslidiriki kuinyooshea kidole Serikali kwa mapungufu kila idara iliyokuwa...
Mfungwa wa kifungo cha miaka 30 kwa unyang’anyi wa kutumia silaha, Lengai Ole Sabaya na wenzake 6, kesho 18/10/2021, watarejea tena Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha kusikiliza kesi nyingine ya uhujumu uchumi yenye mashtaka ya kuendesha genge la uhalifu, utakatishaji fedha na uhujumu uchumi.
Nasema hivi ya Sabaya yameisha anatumikia adhabu yake, watu wamefurahi wameshangilia na wamemsifu hakimu na mahakama pia.
ANGALIZO: mahakama zetu ni hizohizo ndio zinaendesha kesi ya bwana Mbowe.
Tutaendelea kusubiria hukumu yake na tuwe tayari kuipokea vyovyote vile tena kwa kushangilia...
Mnataka kusema hamjui kuwa ametumika kama mpira wa kutunzia uchafu na kisha kutupwa jalalani?
Ninyi mnaotumika kama green guard kupiga watu, kuiba kura ipo siku na ninyi mtakiona cha moto. Ccm ni genge la wanyag'anyi.
Habari,
Mimi ni miongoni mwa watu wachache tuliokuwa tukiuchukia uongozi wa Magufuli.
Matendo maovu na viburi kutoka kwa wateule wa Magufuli akiwemo Sabaya na Makonda ndivyo vilichochea zaidi kuichukia serikali ya Magufuli.
Hawa vijana waliojizolea utajiri kwa kutumia mamlaka yao hawafai...