sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa wadau wa Siasa: Sababu za Chadema Kukerwa

    Ya msingi ni taslimu kama yalivyo elezwa kwa ufupi hapa: Kwa majibu haya ya Mh. Zitto. Tunapiga hatua: Kuvunjika kwa kile si mwisho wa uhunzi. Kwa hakika maslahi ya taifa ni muhimu zaidi kuliko maslahi binafsi. Tutafika tu.
  2. JamiiForums Tanzania Nini kilikuwa sababu ya kuuawa Dkt. Mvungi na Prof. Juani Mwaikusa?

    Watanzania tulivyo wasahaulifu hawa watu hatuwakumbuki kabisa. Na hatukumbuki kuwa walio waua watu hawa mpaka sasa hawajapatikana. Tunaendelea kusifu huku na kuponda kule. Yaani Halali au Haramu inategemeana imetendwa na nani. Mauaji ya watu kadhaa yamekuwa ni sehemu ya Utendaji wa watu flani...
  3. JamiiForums Tanzania Nimeacha rasmi kuwa shabiki wa mpira wa miguu na hizi ndizo sababu zangu

    1. Ushabiki wa mpira ni Aina Fulani hivi ya uwendawazimu, inahitaji akili ya mwendawazimu kuwa shabiki wa mpira wa miguu. Kwa mfano : Mashabiki wa timu kuomba mpira uishe pindi timu Yao inapokuwa inaongoza . Kwanini unataka mechi iishe haraka wakati wewe umeenda kuangalia mpira? 2. Tofauti...
  4. JamiiForums Tanzania Sababu kuu zinazofanya wanawake kuwanyima wanaume Unyumba

    SABABU KUU ZINAZOFANYA WANAWAKE WALIOOLEWA KUNYIMA WAUME ZAO UNYUMBA!. Na, Robert Heriel. Maelezo haya ni baada ya kufanya uchunguzi binafsi ambao ulikuwa huru kabisa. Hivyo maelezo haya sio yakujitungia, ni matokeo ya uchunguzi huru nilioufanya. Aidha uchunguzi huu usichukuliwe kuwa Rasmi Kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Mbinu kubwa ya Bank kupata faida kubwa kuliko mtu binafsi

    Wakati mwingine tumekuwa tukijiuliza kwanini bank inapata faida kubwa kuliko sisi? Je ni mbinu gani bank wanazotumia kupata faida kubwa? Uhalisia ni kwamba hakuna mbinu kubwa, mafanikio yao yanatokana na wao kuthamini shilingi pamoja na kuwa makini katika mahesabu. Tizama tofauti ya mahesabu...
  6. JamiiForums Tanzania Ngamia warembo waondolewa kwenye shindano kwa sababu za udanganyifu

    Ngamia 40 wameondolewa katika shindano la kumtafuta Ngamia Mrembo (Miss Camel Beauty) Saudi Arabia kutokana na udanganyifu ikiwemo kuchomwa sindano ya Botox ili kupunguza mikunjo na kuwafanya waonekane warembo zaidi. Shindano hilo ni moja ya shughuli katika Tamasha la Ngamia.
  7. JamiiForums Tanzania Zipi sababu za wanaume kutelekeza ujauzito?

    Katika mahusiano kumekuwa na tabia ya wanaume kukimbia ujauzito na kutelekeza watoto pasipo sababu za msingi. Ukizingatia kuwa mwanaume ndiye aliyemshawishi mwanamke kwa kinywa chake mwenyewe kwamba washiriki tendo la ndoa. Wanawake wamekuwa mstari wa mbele kuhimiza matumizi ya kinga huku...
  8. JamiiForums Tanzania Walimu wanawekwa ndani, wanadhalilishwa sababu ya ujenzi wa madarasa wakati si wakandarasi wala mafundi ujenzi. Nini maoni ya CWT kama chama?

    Kwa hili TAMISEMI kaeni mfikiri upya mzigo mnao watwisha walimu ukiachilia mbali mzigo wa vipindi walio nao si haki na si sawa Na CWT mpo kimya hata hamfuatilii mkaona ni madhila gani walimu walio chini ya chama chenu wana nyanyasika na kusurubishwa kwa kazi ambayo hawakuisomea na wala hawana...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndiyo sababu ya Hayati Magufuli kuchafuliwa, Vaccine!

    Msimamo wa Magufuli juu Corona unaeleweka, hizi sarakasi zote zinazoendelea ni kuwatayarisha kisaikolojia kuhusu linalokuja, nalo ni Chanjo ya lazima kwa wote, na jinsi watakavyofanya ni unpopular jambo ambalo litawafanya wasiopenda chanjo wamkumbuke Magufuli. Kuna sababu kwa nini JWTZ...
  10. JamiiForums Tanzania Nini sababu ya kuimbwa misemo tata jogging za Jeshi?

    Wadau naombeni kujua. Ukisikiliza nyimbo za majeshi wakiwa joging utasikia misemo tata inayoashiria matusi. Mimi sina shida na matusi ila naomba kujua sababu huwa ni nini hasa.
  11. B

    JamiiForums Tanzania EU vs Tanzania: Zijue sababu za EU Kuuma na Kupuliza

    Ifahamike kuwa EU kama watu wana maslahi yao yaliyo wazi kwenye mahusiano yao na nchi yoyote. Ya muhimu zaidi kwenye kuihusu Tanzania ni: 1. Usalama wao hasa dhidi ya Corona 2. Umuhimu wa uhuru, haki, usawa na demokrasia (kiutu). #1 kwao ni kipaumbele. Kauli mbiu ya kuwa hayupo aliye salama...
  12. JamiiForums Tanzania Kulikuwa na sababu gani haswa ambazo zilipelekea Rais Mstaafu Kikwete kuweka jiwe la msingi Bandari ya Bagamoyo kabla ya Mikataba kusainiwa?

    Ilikuwa Oktoba 16, 2015 pale Bagamoyo ambapo Rais wa wakatiuo Jakaya Mrisho Kikwete aliweka jiwe la msingi kuashiria ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo unaanza rasmi huku akiwa Mkurugenzi wa kampuni itakayojenga Bandari hiyo. Zoezi ilo lilifanyika siku 8 tu kabla ya Uchaguzi mkuu ambapo Mh Jakaya...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu za kweli kabisa za kupanda kwa bei ya mafuta

    Bei za mafuta duniani zimepanda hali ambayo imethiri pia bei za mafuta ha Tanzania. Tumekuwekea sababu 5 zinazoweza kupelekea kupanda kwa bei hizo duniani: 1. Ushawishi wa OPEC OPEC ni jumuiya ya nchi zinazosafirisha mafuta (Organization of Petroleum Exporting Countries). Kwa sasa jumuiya hiyo...
  14. JamiiForums Tanzania Ramaphosa: Hakuna sababu za Kisayansi za kuweka marufuku ya kusafiri kwa nchi za Kusini mwa Afrika

    Rais wa Afrika Kusini, Cyril Ramaphosa ametoa wito kwa nchi za Ulaya na Marekani zilizoweka vikwazo vya usafiri kwa Mataifa ya Kusini mwa Afrika yaliyobainika kuwa na maambukizi ya aina mpya ya Virusi vya Corona kuondoa vikwazo hivyo. Katika hotuba yenye urefu wa dakika 29, Rais Ramaphosa...
  15. JamiiForums Tanzania Polepole anakosa sifa hii muhimu ndio maana hakuna anayemzingatia

    POLEPOLE ANAKOSA SIFA HII MUHIMU NDIO MAANA HAZINGATIWI NA WATU Kwa Mkono wa Robert Heriel Kwenye suala la uongozi na utawala ukitaka usizingatiwe Sana yaani upoteze mvuto licha ya watu kukusikiliza, basi kosa sifa nitakayoieleza hivi leo. Ni sifa moja kubwa Sana ambayo hiyo ndio humpa mtu...
  16. JamiiForums Tanzania CHADEMA DIGITAL balaa, CCM yaanza kutumia Polisi kuidhibiti

    Tulionya tangu mapema sana kwamba huu mpango wa Chadema wa kusajili wanachama kwa njia ya kisasa ya kidigital utaua cccm na mamluki wake , hii ni kwa sababu Wananchi wengi sasa wamefahamu kwamba Chadema ndio Mkombozi wa kweli wa dhiki na tabu zao . Masuala ya Tozo , mgao wa maji na umeme ...
  17. K

    JamiiForums Tanzania OCD Meatu kuwaandikia barua Chadema kwamba wasifanye mikusanyiko kwa sababu kuna tishio la Ugaidi, kauli hii ya maandishi ina madhara gani kiuchumi?

    Ipo barua inasambaa mitandaoni kutoka kwa oCD Meatu ikiziia mikusanyiko ya wanachama wa Chadema Kwa sababu kwamba kipimdi hiki Kuna tishio la Ugaidi. Yawezekana sababu hii ni ya msingi au isiwe na msingi. Lakini barua hii ambayo naamini itasambaa Dunia ina madhara makubwa KULIKO faida kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Zari Hassan (The Boss Lady) ataja sababu zilizovunja mahusiano yake na Diamond Platnumz

    Zari amefichua miongoni mwa sababu zilizomfanya kumwacha staa wa bongo Diamond Platnumz ni kwa sababu ya kutokuwa mwaminifu mfululizo. Anasema wasichana walikuwa wengi na katika baadhi ya matukio, kulikuwa na mimba zinazohusika. Akizungumza wakati wa mahojiano ya wazi na Toke Makinwa, Zari...
  19. JamiiForums Tanzania Mimi napinga ujenzi wa bandari ya Bagamoyo kwa sababu hizi

    China anafahamu kuwa bei ya uzalishaji nchini kwake zinapanda hivyo muda si mrefu uzalishaji unaweza kuhamia nchi zingine. Hatakuwa mzalishaji mkubwa duniani siku zote. Anajenga hizo bandari na eneo la uzalishaji/viwanda ili kuhakikisha kuwa bado wanaendelea kuzalisha. Tukiwa na bandari ya...
  20. JamiiForums Tanzania Nimekosa kazi kwa mhindi sababu nimesoma UDSM

    Wapendwa kwema? Nilifanya interview kwa kampuni flani ya wahindi hapa mjini Dsm kwa nafasi ya umeneja mauzo,interview ilienda vyema,candidates tulikua kama 7 hivi,sisi kutoka chuo tajwa tulikua wawili. Leo wamenitumia email kuwa hawajanichagua na sababu ya kutonichagua ni kwamba, wenzangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…