sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hizi hapa sababu za Kitilya na wenzake kupinga makubaliano ya 'Plea Bargain' na DPP

    Aliyekuwa Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Harry Kitilya na wenzake wawili wamekimbilia Mahakama ya Rufani kuomba kuruhusiwa kupinga makubaliano baina yao na Mkurugenzi wa Mashtaka (DPP), yaliyowatia hatiani katika kesi ya uhujumu uchumi iliyokuwa ikiwakabili. Kitilya, Shose...
  2. JamiiForums Tanzania Nimeamua niachane na mke wangu sababu muonekano wake haunivutii

    Hajanikosea, hana tabia mbaya ila moyo wangu unakua mgumu juu yake kila siku zinayovyozidi kwenda, sijui nimeingiaje kwenye huu uhusiano. Nimeamua sasa nitafute nitakaevutiwa nae, huyu wa sasa ana irregular shape, nguo nyingi hazimpendezi, am ashamed to walk with her by my side for sure...
  3. JamiiForums Tanzania Njoo hapa nikufundishe njia sahihi ya kupigana vita vya kiroho

    Nianze KWA ku declare interest nimezaliwa katika familia ya kiislamu. Katika maisha yangu halisi najulikana kama muislamu. Familia yangu inanitambua kama Muislamu. Lakini ndani ya nafsi yangu nilisha uvua utambulisho wa uislamu toka enzi za Pontyo wa Pilato. Niliamua kuachana kabisa na mambo...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mzee Makamba: Watu wazuri huwa hawafi, ndio sababu Kinana yupo na Jakaya yupo!

    Mzee Makamba amesema Wanaccm Wana Iman kubwa sana na Rais Samia na 2025 atashinda kwa kishindo Mzee Makamba ametaka CCM kupitisha Azimio la kumpitisha Rais Samia kuwa mgombea Urais pekee kea ticket ya CCM 2025 Makamba amesema hakuna haja ya kuogopa kwani Watu wazuri na wanaopendwa hawafi ndio...
  5. JamiiForums Tanzania Uzinzi na ulevi ndio sababu ya Watanzania wengi kuwa maskini na mafukara

    Hivi vitu viwili vikikutawala haswa hata ukiwa Meneja unaweza kupitwa kimaendeleo na dereva wako. Mifano ni mingi mno, hata msomaji bila shaka una mfano wako jinsi ulevi wa pombe na uzinzi ulivyowaharibia watu. Kijana mwenzangu please weka kando uzinzi na ulevi, kisha tazama matokeo. Unaweza...
  6. JamiiForums Tanzania Christian Ronaldo ana utoto sana. Huwa namchukia sababu ya kudhani yeye ni bora sana anafaa kuogopwa

    Wampige chini asicheze leo fala huyu. Yaani asitolewe? Akitolewa anasusa? Hata kama uwanjani ana ruka ruka tu? Tabia za kipuuzi sana. Mimi ngekuwa coach. Ndo simpangi acha kama tutatolewa tutolewe hamna kumbembeleza mtu utadhani yeye Mungu. Fala kabisa.
  7. I

    JamiiForums Tanzania Leo nimegundua sababu ya moyo wangu kugoma kabisa kuwa naye

    Nisiwachoshe wanajamvi. Miaka michache huko nyuma nilikutana na binti mrembo nikiwa kwenye taasisi fulani kwa ajili ya huduma fulani niliyoifuata hapo. Mtoto mweupe flani hivi amazing na kwa kweli ngozi nyeupe ni ugonjwa wangu, ila awe mweupe natural. sipendi kabisa mtu anayejiwekea mikorogo na...
  8. JamiiForums Tanzania Wengi tuna 'depression' lakini tunaogopa kuongelea kwa kuhofia kuonekana dhaifu, kutangazwa, kuchekwa na tunaowashirikisha kufurahia tunayopitia

    Hasa wanaume tunashindwa kusema ukweli kwamba tuna depression kwasababu tunaogopa kuonekana dhaifu kama wanawake, pia namna ambavyo jamii inamchukulia mwanaume inamuona kama kiumbe ambaye anatakiwa awe ngangali muda wote ila kiuhalisia depression haichagui mwanaume wala mwanamke. Wengi sana...
  9. JamiiForums Tanzania Wapendanao kuchokana, nini sababu hasa?

    Kwa ufupi, Nini kinasababisha kumchoka yule uliempenda? Ulimpenda sana kijana fulani, mkawa wapenzi, kadri unavyozidi kuwa naye karibu ndivyo unavyomchoka, mambo yanabadilika kabisa tofauti na mwanzo! Unampata bi dada mzuri wa kila kitu, unajisemea moyoni huyu ndiye! Mnaanza mahusiano...
  10. N

    JamiiForums Tanzania Tanzania hatuna sababu ya kulalamika njaa

    Rais Samia Suluhu anaendelea kututoa hofu watanzania katika suala zima la njaa alisema kuwa watanzania hatuna sababu yoyote ya kulia njaa. "Nataka niwahimize tulime kwa sababu miaka ijayo Dunia inaona hatari ya njaa, Tanzania hatuna sababu ya kulia njaa na ndiyo maana tunaweka miundombinu ya...
  11. JamiiForums Tanzania Watu walikufa kwa sababu ya uzembe, wangeweza kuokolewa katika ajali ya ndege

    Ndege ya Precision air iliyoanguka katika Ziwa Victoria Bukoba, Tanzania, November 6, 2022 Ripoti ya awali kuhusu uchunguzi unaoendelea kuhusu ajali ya ndege ya Precision nchini Tanzania inasema kwamba Maisha ya watu yangeokolewa endapo maafisa wa uokoaji wangeajibika kwa muda unaofaa. Licha ya...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shukrani Rais Samia kwa kuendelea kuweka sawa, hapakuwa na sababu za chuki zile

    Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakuwa na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikuwa na hatia yoyote..... Hao vifaranga bora hata mngewapa sumu, lakini kutia viberiti vifaranga 6,400 wakiwa hai lazima utakuwa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini wawepo Wanasheria na Mawakili mahakamani na si kila mtu azijue tu sheria kama Amri za Mungu?

    Sheria ilipaswa kuwa ni sharti la lazima tujue kuanzia watoto. Kama hatufundishwi darasani na makanisani kama amri kumi basi ule msemo Kutokujua Sheria sio hudhuru haukutakiwa kuwepo. Huo msemo ulipaswa kuwa Kwa wasomi wa Sheria sio sisi maamuma na wananchi wasio na ufahamu huo. Ni kama...
  14. JamiiForums Tanzania Global Warming hawaielewi, wanapelekeshwa tu na kutesa watu bila ya sababu!

    Umeme unakatwa kuokoa mazingira, wanawasha Diesel Generators 24/7, hakuna kitu kinachangia CO2 emissions kwa kiasi kikubwa kama Diesel, umeme wa Tanzania kiasi kikubwa unatokana na vyanzo vya Maji, hivyo ni renewable energy. Acheni kutesa watu bila ya sababu, hata Wazungu wenyewe na Wachina...
  15. JamiiForums Tanzania Kama ujenzi wa barabara ya Morogoro - Dar hauzidi bilioni 300, sioni sababu ya kufanya Private Public partnership, kisiasa italeta kelele

    Morogoro Dsm ni kilometa hazizidi 200, hata kama kilometa moja ni bilioni moja, haizidi bilioni 200, hivi kama nchi tunakosa fedha hizi? Na asilimia kubwa ya eneo Hilo fidia ni kidogo. Tiweke mpango wa miaka minne Kila mwaka tutenge bilioni 100, tutaepuka political issues na pia inawezekana...
  16. JamiiForums Tanzania Kama hizi ndio sababu za jina la Mpina kukatwa NEC

    SUALA la Luhaga Mpina kukatwa jina lake kwenye nafasi ya mgombea wa NEC Mkoa wa Simiyu kwa mwaka huu wa 2022 kuwa amekosa sifa ya kuteuliwa limetuachia maswali mengi hasa sababu 11 zinazodaiwa ndio zimechangia kuondolewa kwenye mchuano huo. 1. Kuhoji bungeni kuhusu madai ya fedha za makinikia...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Pamoja na kufeli kwa awamu ya sita kuendesha Serikali kwa manufaa ya walalahoi , sijutii kufa kwa Magufuli kwa vile alikiuka haki za msingi za watu!

    Kuna mambo mengi Magufuli aliyacontain na kuwa na matokea chanya. But as long as alipoteza uhai wa watu, ALIKIUKA KWA KIWANGO CHA KUTISHA HAKI ZA BINADAMU WA TANZANIA katika kuyatekeleza hayo, IN CAPITAL LETTERS, I DO NOT REGRET HIS DEATH! LET HIM GO!
  18. JamiiForums Tanzania Ogopa sana kumuoa mwanamke ambaye amewahi kumpenda mwanaume bila sababu

    Naomba wanaume msiache kudodosa na kupata uhakika wa jambo hili kwa huyo unayefikiria kumuoa. Hapa namuongelea yule mwanamke ambaye ilitokea tu akamuona mwanaume halafu akampenda na wakaja kuwa na mahusiano. Mara nyingi wanaume huwa wanawatumia wanawake wa aina hii maana ni sawa na swala...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kuuawa Arusha sababu ya mapenzi

    Basi bwana siku moja nikiwa Dom, simu ikaita, kuangalia hivi ni 'baby' wangu wa zamani ati anataka niende kumsalimia ati kanikumbuka, mara kakumbuka 'show' za kibabe pamoja na kunibania pua mradi tu nimuelewe. Nilikuwa natamani kwenda Arusha na kweli nimemkumbuka hatari, nikaona isiwe kesi...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali yaeleza sababu ya daraja la juu VETA kupinda

    Dar es Salaam. Serikali imefafanua kuhusu kupinda kwa daraja la juu la makutano ya barabara za Nyerere na Kawawa eneo la taa za Veta - Chang'ombe ikisema limejengwa hivyo kutokana na usanifu wake. Akizungumza leo Novemba 15 wakati wa ziara ya Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…