matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 6,581
- 15,350
Sheria ilipaswa kuwa ni sharti la lazima tujue kuanzia watoto. Kama hatufundishwi darasani na makanisani kama amri kumi basi ule msemo Kutokujua Sheria sio hudhuru haukutakiwa kuwepo.
Huo msemo ulipaswa kuwa Kwa wasomi wa Sheria sio sisi maamuma na wananchi wasio na ufahamu huo.
Ni kama kanjama flani ka kuwapa Hawa majamaa ulaji. Ilitakiwa Kila mtu ajitetee mwenyewe na hao jamaa watafute Shughuli nyingine.
Wakuu wazo tu limenijia, wajuvi wa Kwa Nini mwanasheria, kwanini tuhukumiwe bila ujuzi wa mambo ya Sheria, Kwa Nini hatufundishwi kama Sheria za kumkosea Mungu zinavyosisitizwa.
Wajuvi mnisaidie.