sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Je unaweza kumuacha mpenzi wako Kwa sababu umetishiwa ametishiwa kifo?

    Kuna kisa nimekisikia Leo, Mdada mmoja ameamua kuachana na mpenzi wake ambae wamekuwa kwenye date for six years Na sababu ya kumuacha man wake ni because ex wa mdada kamwambia kama hatomuacha currently man wake then atamuua So because that mdada anampenda Sana huyu currently man wake akaamua...
  2. JamiiForums Tanzania Sababu za kukamatwa kwa Wakili Peter Madeleka

    Mnamo mwaka 2020 Wakili Peter Madeleka alikamatwa na kufunguliwa kesi ya Uhujumu Uchumi no. 40 (Economic case no 40/2020) katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Arusha. Katika kesi hiyo alishtakiwa kwa makosa mbalimbali ikiwemo kughushi (forgery) kinyume na Sheria ya Mwenendo wa Adhabu (Penal Code)...
  3. JamiiForums Tanzania Sababu za kupigwa Marufuku nchini Tanzania Mkutano wa Nabii ezekiel Ezekiel Odero toka Mombasa zatajwa .

    Mchungaji Maarufu wa kanisa la Newlife nchini Kenya, Ezekiel Odero aliyekuwa afanye mkutano mkubwa wa Injili Jijini Arusha, amezuiwa na polisi kuendelea na mkutano huo,huku sababu zikitajwa kuwa ni kupisha mlipuko wa Ugonjwa wa kuhara. "Sitisha mkutano wako na usifanye shughuli hiyo Hadi tamko...
  4. JamiiForums Tanzania Kwanini DPW Wameamua Kuchua Bandari za Tanzania, Kenya na Msumbiji kwa Wakati moja. Hii ndiyo sababu.....!!

    Kuna video nimeiona Wakenya wanalalamika kuwa serikali yao pia imesaini mkataba kisiri na DP World kucontrol bandari zote za Kenya. Kama hii ni kweli, hivi kweli kuna sababu yeyote ya kuendelea na hawa watu? Haiwezekani wachukue bandari zetu zote pamoja na za majirani zetu halafu tuwaamini kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Sakata la bandari CCM na Serikali yake inapaswa kubeba lawama

    Mjadala unashika kasi na uliopo kwenye masikio ya watu ni kuhusu bandari yetu kuibinafsisha kwa wamanga wa dubai. Mpaka muda huu kila mmoja anakuja na lake,ghafla bandari wakakurupuka kukanusha kuhusu hiyo habari bila kuweka vielelezo vya hayo wanayokanusha ,pili bandari unakanushaje nawe sio...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula: Ikiwa mtu atadhurika au kuuliwa sababu ya kutoa maoni kuhusu bandari serikali na viongozi waliotoa vitisho watawajibika

    Askofu Mwamakula amesema Uhuru wa wa kutoa maoni umelindwa na katiba, hivyo hakuna yoyote mwenye mamlaka ya kumdhuru mtu sababu ya kutoa maoni yake. Askofu Mwamakula amesema yoyote atakaetoa maoni au kunung'unika mkata huu wa bandari ikitokea akadhurika kutekwa au kuuliwa kwa namna yoyote ile...
  7. JamiiForums Tanzania Sababu ipi imekufanya ufunge PM yako au usifunge PM yako?

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza mimi sijafunga kwasababu sion sababu ya kuifunga nikipata sababu nitafunga
  8. P

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Wanafunzi waliochelewa kuripoti shule ya wasichana ya Lucas Malia walala mtaani baada ya kuzuiwa kuingia

    Wakuu, Nimekutana na ujumbe unasambaa kwenye mitandao ya kijamii Twitter, Instagram na hata humu JF nimeona mtu kaweka uzi kuwa wanafunzi tena wakike kutoka shule ya wasichana ya Lucas Malia walifungiwa mlango na hivyo kulazimika kulala nje sababu eti walichelewa kufika siku waliyotakiwa...
  9. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kwanini familia ( ndugu walio zaliwa tumbo moja)nyingi sasa hivi zimeparaganyika

    Nimekutana na ujumbe huu instagram na kila mtu Anasema unamgusa. " Ukweli ni kwamba familia nyingi zimeparaganyika SASA hivi kwa sababu walio kuwa wanaziunganisha( wazazi) wamekwisha tangulia mbele za haki" Wazazi wetu waliweza vipi kuunganisha familia hata sisi wa kizazi huko tushindwe...
  10. JamiiForums Tanzania Mabinti ndio sababu ya vijana wengi kusema uongo

    Kijana wa kiume anapokutana na binti kwa mara ya kwanza, swali la kwanza ambalo binti huuliza ni: "Unafanya kazi wapi?" Jamaa akisema anafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta, binti huyo atakubali haraka kudate na kijana huyo. Lakini kama kijana huyo akisema yeye ni saidia fundi kwenye shughuli...
  11. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu Vijana wengi Tunakufa mapema, hauwezi kutoboa kwa mtindo huu wa maisha

    Hebu fikiria unaamka tu unakutana na hili balaa... MDOGO WAKO:Kaka naomba 600,000/= Kwa ajili ya ada . Walisema nisipolipa hawatanipokea kabisa . BABA MWENYE NYUMBA:Missed Calls 83 na Ujumbe: Leo nakupatia Nafasi ya Mwisho BINTI WA JIRANI: Nafikiri Nina Ujauzito wako . RAFIKI YAKO: Kaka...
  12. JamiiForums Tanzania God is Love na Mapenzi ndio Yanatutesa.

    Yeremia 3:6-8 [6]Tena, BWANA akaniambia siku za mfalme Yosia, Je! Umeyaona aliyotenda Israeli mwenye kuasi? Amepanda juu ya kila mlima mrefu, akafanya huko mambo ya ukahaba, tena, chini ya kila mti wenye majani mabichi. [7]Nami nalisema baada ya yeye kuyatenda hayo yote, Atanirudia mimi, lakini...
  13. JamiiForums Tanzania Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali. Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kupoteza marafiki sababu ulishindwa kutoa mchango wa harusi?

    Imekuwa kawaida mtu anapokuwa anatarajia kuoa/kuolewa kutoa kadi za michango kwa ndugu, jamaa na marafiki ili wakamilishe jambo lao. Kimbebe kinakuja pale umepewa kadi halafu kutokana na changamoto mbalimbali ukashindwa kutoa mchango huo. Jamaa huwa hawaelewi na ndio inaweza kuwa chanzo cha...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu nchi makini kama China au Urusi haiwezi kukaribisha watu weusi kiholela nchini kwao

    Kinachoendelea Ufaransa, kilichotokea Marekani wakati wa maandamo ya Black Lives Matter, na uhalifu mkubwa kwenye nchi ambazo watu weusi ni wengi kama vile Brazil, au nchi ya Afrika yenye influence ya wazungu kama South Afrika ni ishara kuwa mtu mweusi ukimchanganya na mtu mweupe lazima...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Kwa nini vijana wengi wa kiume miaka ya leo wanaogopa kuoa? Sababu hizi hapa

    Kumekuwa na maswali yasiyo na majibu mujarabu miongoni mwa jamii kwamba imekuwaje vijana wa kiume wamekuwa ni waongo na waoga hasa linapokuja suala la kuoa?Kadri siku zinavyokwenda ndivyo hivyo idadi ya wanaume wanaoogopa kuoa inazidi kkuongezeka Unakuta wapenzi wanaambiana kwamba wanapendana na...
  17. JamiiForums Tanzania Mimi nauliza nini sababu ya kuficha ficha Expiry date kwenye bidhaa nyingi hapa Tanzania? Kwanini zinaandikwa wala hazieleweki nini sababu?

    Hivi kwa mfano Naomba nisaidiwe kusoma hiyo expire date hapo kwenye picha Na bidhaa za aina hii zipo nyingi yani expired date haieleweki kabisa utakuta imeandikwa ila huwezi kuielewa kabisa Ni nini tatizo mbona bidhaa za nchi zingine zinasomeka vizuri kabisa tarehe ya kuzalishwa na mwisho...
  18. JamiiForums Tanzania Rushwa Tanzania: Ni Kwa sababu ya njaa au tabia

    Rushwa! Ni msamiati unaofahamika sana Tanzania. Si matajiri wala maskini, wote wameathiriwa na Rushwa, kama wahanga au wanufaika. Rushwa! Rushwa Tanzania! Kila Kona ni rushwa. Huenda hata kwenye dini nako kuna rushwa! Inashangaza na kusukitisha! Hata watoto wanajua rushwa. Kwa nini rushwa...
  19. JamiiForums Tanzania Saudi Arabia ilishawahi mkataa Balozi wa Pakistan sababu ya jina lake ambalo ni tusi kubwa

    Diplomat Whose Name Is Dirty Word in Arabic Rejected as Saudi Ambassador story Published January 14, 2015 1:50am EST A high-ranking Pakistani diplomat reportedly cannot be appointed ambassador to Saudi Arabia because in Arabic his name translates into a phrase more appropriate for a porn...
  20. JamiiForums Tanzania Sababu iliyowapelekea Wagner group kuasi

    Mimi binafsi yale nayaita maandamano sio uasi. Sababu kubwa iliyowapelekea Wagner kuasi ni shutuma zao Kwa wizara ya ulinzi ya Russia kudhohofisha operation. Prigozhin anamlaumu Sergei Shoigu (waziri wa ulinzi ) Kwa madai ya kuagiza Kwa Siri kulipuliwa Kwa baadhi ya kambi za Wagner Wagner...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…