sababu

The Black Liberation Army (BLA) was an underground Black Power organization that operated in the United States from 1970 to 1981. Composed entirely of Black Panthers (BPP) who served as members of both groups, the organization's program was one of war against the United States government, and its stated goal was to "take up arms for the liberation and self-determination of black people in the United States." The BLA carried out a series of bombings, killings of police officers and drug dealers, robberies (which participants termed "expropriations"), and prison breaks.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Sina amani ya maisha sababu ya aibu ya pombe

    Ndugu zangu sina hamu kabisa na haya maisha kwakuwa kila kona najulikana kuwa Mimi ni mlevi wa pombe Niliamua kuacha kabisa lakini naona aibu bado nikubwa hasa kila ninapopita nahisi watu wananisema Mimi si majirani pekee hata ninao fanya nao kazi kila siku wananisema Mimi Je nitafanyaje...
  2. JamiiForums Tanzania Simba atapigwa na Al Masry, mechi ameipa pressure kubwa bila sababu

    Hii mechi Simba angetuliza kichwa angeshinda goli nyingi ila ametia pressure nyingi mkiita hamasa hili ndo litawagharimu Nimeshangaa viongozi wakubwa wa Simba wakipuuza mbinu ya Al Masry aliyotumia kuwafunga goli 2 bila Viongozi wa Simba wamesema eti Al Masry ni timu dhaifu. Al Masry awe dhaifu...
  3. JamiiForums Tanzania Mbali na kazi unayoifanya ni kazi gani nyingine unaipendelea zaidi lakini unajizuia kwa sababu zako binafsi?

    Ugonile. Binafsi kipindi niko mdogo ndoto yangu kubwa ilikua kuwa Hakimu/Judge lakini baada ya kugraduate iyo kozi na kuipractice kidogo mahakamani niliona majukumu ni mengi sana ambayo yataniitaji niwe mtu wa kusoma kila siku kitu ambacho nakichukia sana ivyo nikaamua kuipiga chini nikageukia...
  4. JamiiForums Tanzania Nimegundua Watanzania wengi ni wapole kwa Sababu ya umaskini, ujinga na maradhi

    Hamjambo Wote! Mimi Niko fresh Kabisa, nashukuru Mungu anasaidia. Kwenye Mada. Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu Kabisa Sababu ya upole au tuite Ulofa kama alivyosemaga Hayyati Benjamin Mkapa. Nikagundua kuwa Watanzania wengi upole wao( Ulofa) sio tabia wanaoipenda au kujivunia nayo na Wala sio...
  5. JamiiForums Tanzania Kulipigania penzi kunaweza kuwa ndio sababu ya anguko lako na majuto ya milele maishani mwako.....weka ukomo wa uvumilivu....(True story)

    Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema....... Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
  6. JamiiForums Tanzania Unahisi biashara yako inasuasua? Huenda hii ndio sababu kuu kwa 99.9%

    Ijumaa kareem wana JF Leo nimekuandalia hii thread ambayo inaweza ikakusaidia wewe mtu unayetaka kuingia kwenye biashara ya aina yoyote ile iwe ni kilimo, ufugaji au hizi biashara za kwenye frame hapa panakufaa. Kabla ya yote inatakiwa utambue ya kwamba kuna kitu kimoja ambacho biashara zote...
  7. JamiiForums Tanzania Ukiweka sumu kwenye chakula changu, hata kama sumu hiyo inaua ndani ya dakika 1, sifi. Sababu hii hapa

    Ndugu yangu, kumbuka kila wakati, katika dunia hii sio wote wanaofurahia mafanikio yako ya kimaisha, ya kikazi au ya kibiashara. Kwa sababu hiyo yamkini kuna watu wanapanga mbinu za kukuangamiza. Na wengine wanaweza kukuchukia tu hata kama huna pesa au cheo, wakatafuta njia ya kukuondoa duniani...
  8. JamiiForums Tanzania Deni la taifa litaendelea kuwa himilivu kama serikali itakopa kwa sababu za msingi

    Wanabodi, Suala la serikali mbalimbali kukopa fedha kwenye taasisi za fedha kama vile benki ya dunia au IMF halijaanza leo na wala halitaisha hivi karibuni. Katika dunia ya sasa, inaaminika kwamba mikopo ni njia mojawapo inayoweza kutumiwa na serikali yoyote katika kuendeleza miradi yake na...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi kumpoteza mwenza kwa sababu ya utofauti wa kidini?

    Kuna muda unaanzisha mahusiano na mtu unaamini huyu ni wa ndoto kabisa ila linapokuja swala la dini unaishiwa nguvu kabisa. Nilikutana na mtu mmoja alisema yeye hawezi kuolewa na mtu wa dini tofauti kwa sababu familia yake haitomruhusu na isitoshe baba yake amefariki hivyo hawezi kusaliti kiapo...
  10. JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kuu ya Kwanini naielewa sanaa FAIDA FUND kuliko UTT AMIS

    Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT?? Na hili ndilo jibu lake. Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit. FAIDA FUND. UTT Anyway:- Tuendelee kutafuta hela #YANGA_BINGWA #YNWA
  11. JamiiForums Tanzania Sababu vikosi vya SADC vilivyopo DRC kushidwa kukabiliana M23 wanaungwa mkono na Rwanda ni hii

    Ukweli usemwe Naweza kua sipo field ila kwa huu mtililiko wa Mambo nirahisi kuona matobo na udhaifu uliopo haitaji kuwa na akili za jasusi kung'amua unafiki,usaliti unaondelea hapa kati tangu mwaka Jana 2024 vikosi vya SADC vilivyowasili DRC mwaka Jana Mwaka Jana 2024 wote tulishuhudia vikosi...
  12. JamiiForums Tanzania Huu Uzi wangu wa kuhusu hiki alichosema Profesa Janabi umefutwa kwa sababu gani labda?

    Profesa Janabi: Kama hutoi haja kubwa (hunyi / huukweki) mililita 800 au lita 2 za Nnya (Kinyesi) kwa Siku una tatizo kubwa la Kiafya. Na chanzo cha Taarifa hiyo niliitoa GlobatvOnline.
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 20 iliopita mtu angekuambia kuwa kuna watu Tz hii hawaamini Mungu yupo ungemcheka sana ila sasa idadi imekuwa maradufu. Ipi inaweza kuwa sababu?

    Exposure ktk elimu, sayansi na Tech? Kuathirika na utapeli wa kidini? Exposure ktk Atheism literature? Globalism na World wide sharing? ????????????????????????????????
  14. JamiiForums Tanzania ZIJUE sababu za kwanini haipaswi kuilinganisha na mtu mwingine?

    Kujilinganisha na wengine kunaweza kuwa na madhara makubwa kwa ustawi wako wa kihisia na kisaikolojia. Hapa kuna sababu kadhaa kwa nini ni muhimu kuepuka tabia hii: * Kila mtu ni wa kipekee: * Kila mtu ana safari yake ya kipekee, yenye nguvu zake na udhaifu wake. * Kulinganisha maisha...
  15. JamiiForums Tanzania ZIJUE BAADHI YA SABABU ZINAZOKWAMISHA WATU KUPAKA USINGIZI MAPEMA NYAKATI ZA USIKU. HUCHELEWA SANA KULALA

    Kuna sababu kadhaa zinazoweza kuwafanya watu wakose usingizi nyakati za usiku. Baadhi ya sababu hizo ni kama zifuatazo: * Msongo wa mawazo na wasiwasi: * Mawazo mengi na wasiwasi kuhusu maisha, kazi, au mahusiano yanaweza kuingilia kati na uwezo wa mtu kulala. * Matatizo ya kiafya: *...
  16. JamiiForums Tanzania Sababu Kuu Za utekaji Nchini Tanzania

    TLS tuliitisha Mdahalo wa Kitaifa kuzungumzia Utekaji Baadhi ya sababu kuu zinazochangia utekaji kulingana na mjadala ule ni pamoja na Udhaifu wa mifumo ya utendaji wa Jeshi la Polisi ( Colonial Mentality ) na kutotenganishwa kwa shughuli za Upelelezi na Uchunguzi kutoka Jeshi la Polisi na...
  17. JamiiForums Tanzania Ex wako wa mwisho, nini ilikuwaje sababu ya nyie kuachana/kukuacha/kumuacha

  18. JamiiForums Tanzania Kuna majina duniani ni kama yamepigwa marufuku sababu yametumika vibaya

    kuna majina ambayo yamepigwa marufuku katika baadhi ya nchi kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya, historia mbaya, au maana zisizofaa. 1. Hitler – Jina hili limepigwa marufuku katika nchi kama Ujerumani na Austria kutokana na historia yake na Adolf Hitler. 2...
  19. JamiiForums Tanzania Vitu hivi vinamaliza pesa bila sababu za msingi, fanya hivi kuepukana navyo

    Salaam jamiiforum. Threads zangu nyingi zinawahusu zaidi vijana tena ambao hawajaoa kwani ndilo kundi ambalo lipo onfire kutokana na umri wao lakini pia hata baadhi ya watu wazima siyo mbaya tukakumbushana. 1.Acha tamaa ya kuweka pesa ili upate pesa. Ni dhahiri shahiri vijana wengi...
  20. JamiiForums Tanzania Kiepe kina Kila sababu ya kuwa chakula pendwa

    Unapokosa hamu ya chakula na una njaa basi jaribu hii option chipsi yai, nyama na soda baridi. Chipsi Ina ladha nzuri compared na wali au ugali. Chipsi Ina historia baadhi ya mabinti wamepoteza usichana wao wengine wamekuwa single mother huku ndoa nyingine zimevunjika hii Inathibitisha kuwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…