saa

  1. JamiiForums Tanzania Gazeti la Uhuru lamalizika sokoni tangu saa 2 asubuhi, Wasomaji walisaka hata kwa dau kubwa

    Kwa mara ya kwanza katika historia ya nchi hii , leo gazeti la Uhuru limenunuliwa lote kabisa mitaani na kwisha kabisa huku wanunuzi wengi wakilisomea vyumbani mwao ili kutafuta utulivu na kuelewa zaidi maudhui ya gazeti hilo kwa leo. Ikumbukwe kwamba kwa miaka mingi sana gazeti hili lilikuwa...
  2. JamiiForums Tanzania INAUZWA Wauza saa ⌚ tukutane hapa

    Weka tangazo,mahali ulipo bei ya saa na aina yake pamoja na namba ya simu karibuni. Vigezo vya msingi unavyopaswa kuzingatia kabla hujaweka tangazo; Elezea huduma/bidhaa unayouza kwa maelezo machache yanayojitosheleza Elezea hali ya bidhaa (mpya au imetumika muda gani) huku ukiambatanisha na...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya mtu kupata chanjo ya Covid-19 miongoni mwa mambo ya kuzingatia ni kutopata kilevi cha aina yoyote kwa saa 72 (siku tatu)

    Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya dawa kama ilivyo kwa dawa zingine hivyo kupunguza ufanisi. Mkurugenzi wa kuratibu na kukuza utafiti...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania Usalama unazidi kutoweka - Mkamato wa polisi saa nane za usiku, sasa kama tunalala na silaha?

    Mtakuja kusema tumeua polisi wakati tulidhani ni majambazi, yule kamanda mkuu wa polisi aliesema tulale na silaha kama yupo ni bora abadilishe kauli, maana sasa makuruti wanatumwa kutukama saa za usiku wa manane na wanagonga mlango kama wezi wanaong'owa dirisha ni hatari sana. Yaani ikitokea...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Serikali: Ibada za misiba zisizidi dk 30 mpaka saa moja, zingatieni Social Distancing

    Prof. Abel Makubi Katibu Mkuu Wizara ya Afya Tanzania amenukuliwa akisema “Misiba yote ibada isizidi dakika 30 mpaka saa 1 na wahudhuriaji wawe wachache, hatujazuia kukaa misibani lakini mzingatie taratibu ikiwemo uvaaji Barakoa, unawaji mikono na kukaa umbali wa mita moja”
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hee, kumbe kweli bwana; naona hapa saa hizi!!

    Inasemwa, kwa nguvu zote, kuwa anadanganya na hakuna watu wowote waliompokea na mabango huko songwe....ilibaki kidogo niamini. kama zali, wakati naangalia taarifa ya habari hapa kupitia kituo changu pendwa kabisa cha muda wote, Star TV, katika habari za biashara si ndo akaonekana bwana...
  7. JamiiForums Tanzania Uingereza yarekodi Maambukizi Mapya 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita

    Uingereza imetangaza kupata maambukizi mapya mengi tangu Januari ambapo yamefikia 54,674 ndani ya saa 24 zilizopita Aidha, kumerekodiwa vifo 41 ndani ya saa 24 zilizopita vilivyotokana na #COVID19 Hadi sasa Uingereza imetoa chanjo kwa 67.8% ya watu wake.
  8. JamiiForums Tanzania Nimeshakatwa 120,000/= gharama za kutuma na ya kutolea ndani ya saa 20, tunakomoa wananchi?

    Kweli lengo ni kukusanya kodi ama kuna mtu anahujumiwa? Kweli wanaaminini wananchi tutaikubali hali hii kikondoo?
  9. JamiiForums Tanzania Sikubaliani na suala la kufungwa biashara saa sita usiku

    Nitasema kwelii. Hii nimeona niilete hapa jamvini guys, binafsi sikubaliani na serikali na watendaji wake hasa hasa kwenye suala la jiji la DSM eti biashara ya bar mwisho saa sita usiku. Hii si sawa. binafsi nimekaa Uganda maeneo ya Kabalagala, aiseee wale jamaa baana pamoja na mavita vita...
  10. JamiiForums Tanzania INAUZWA Tunauzwa vitu mbalimbali (Pazia, Chuma za Pazia, Net, Kava za Makochi, Mashuka nk)

    Je Umechoka muonekano wa sofa zako na ungependa kuzipa muonekano wa tofauti na wakisasa zaidi? SALE SALE SALE Sofa la mmoja ni 30000 Sofa la wawili ni 44,000 Sofa la watatu ni 54,000 ●Tuma kochi zako WhatsApp 0713691101 upate ushauri na sample za cover zilizopo 1: Hazipauki wala kuchuja...
  11. JamiiForums Tanzania Abdul Kambaya kuunguruma kipindi cha Malumbano ya Hoja Julai 1, 2021

    MALUMBANO YA HOJA KESHO ALHAMISI BINGWA WA KUJENGA HOJA NCHINI PIA NI MJUMBE WA BARAZA KUU LA CUF TAIFA, MHE. ABDUL KAMBAYA ATAKUWA KATIKA KIPINDI CHA MALUMBANO YA HOJA KATIKA TELEVISION YA ITV SAA 3:00 USIKU KESHO SIKU YA ALHAMIS USIKOSE KUFATILIA
  12. JamiiForums Tanzania Nakohoa kila ikifika saa saba au saa nane usiku

    Hapo vipi, Kuna tatizo moja linanishangaza na kunipa mawazo zaidi. Ni takribani miaka sasa ikifika saa saba au nane usiku naanza kukohoa sana, au saa zingine saa saba mchana. Ila masaa mengine nakua nipo sawa kabisa. Wataalam tafsiri yake nini.
  13. JamiiForums Tanzania Wana Simba SC Wenzangu tuanzeni mapema Kujiandaa 'Kisaikolojia' kwa taarifa mbaya au nzuri baada ya Saa 12 leo Jioni

    Mioyo yetu si vibaya sana kama tukianza Kuizoesha Asubuhi hii kwa kupokea Habari ( Taarifa ) yote tu ile iwe ni mbaya au nzuri kuanzia Saa 12 Kamili jioni ya leo. Nawatakieni kila la Kheri ila tu tusiumie.
  14. JamiiForums Tanzania Unaingiza kiasi gani cha pesa kwa saa?

    Siku moja Baba alirudi nyumbani akiwa amechelewa kutoka kazini. Alikuwa amechoka huku akiwa amekasirika. Alipofika nyumbani alimkuta mwanae wa miaka mitano akimsubiri mlangoni. Mtoto alipomuona baba yake , alimwambia “ Baba ninaweza kukuuliza swali?” Baba akajibu, “ndio, unaweza ni nini...
  15. JamiiForums Tanzania Nani kaiona Planet Jupiter jana saa tisa usiku?

    Kwa siku tatu mfululizo sayari ya Jupiter imekuwa ikionekana mida ya saa tisa usiku (alfajiri?) Katika anga la sayari ya dunia. Amka leo saa tisa usiku Kisha tazama uelekeo linapo toka jua kwa juu yake kidogo utaiona Sayari ya Jupiter ina n'gaa . Inatoa mwanga wa rangi ya njano kama jezi za...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Je, kuna simu inayoonesha saa na sekunde?

    Wadau wa sayansi habarini. Hivi kuna simu yenye kuonesha saa na sekunde kwenye screen? Kama ipo picha tafadhali.
  17. JamiiForums Tanzania Kuna daladala zinaonekanaga kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 alfajir

    Wakuu kuna daladala huwa mchana wala asubuhi hauzioni. Unaziona kuanzia saa 6 usiku. Hizi nimekutana nazo sana Arusha unakuta taa moja tu ndio inawaka, sasa usiombe wakati wa kupanda mlima, mbona utaomba poo. Ikifika saa 11 alfajiri hauzioni tena. Sasa sijui huwa wanaziiba gereji.
  18. JamiiForums Tanzania Video ya Anjela wa konde music worldwide yawa gumzo, yafikisha zaidi ya views milioni moja ndani ya saa 24

    Video ya msanii Anjela wa konde music worldwide imefanya maajabu na kuonyesha kukubalika kwa haraka sana ambapo imefikisha zaidi ya views milioni 1 ndani ya saa 24. Mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi baada ya kutambulishwa kwa mwanadada huyo mwenye vocals hatari na mashairi machachari...
  19. JamiiForums Tanzania Yanga yagomea mechi kupigwa saa 1, mechi yaahirishwa

    My Take Kama TFF haikushirikisha timu zote ni wapumbavu wa kudumu. Kwa nini walipanga mechi saa 11 wakijua kuna changamoto Updates Yanga wamepasha wamesepa. Hawa wizara na TFF wamewatafutia sababu Utopolo
  20. JamiiForums Tanzania Mechi ya Simba na Yanga imesogezwa hadi sa Moja Usiku

    Mechi tajwa itachezwa saa moja usiku ==== TFF inawafahamisha wadau kuwa mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Simba SC na Yanga SC iliyokuwa ianze saa 11 jioni sasa itaanza saa 1 usiku. TFF imepokea maelekezo ya mabadiliko ya muda wa kuanza mchezo kutoka Wizara ya Habari, Utamaduni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…