Leo majira ya saa 12:30 kwa saa za hapo Afrika mashariki na kati CAF watatoa draw ya makundi kwa timu zinazoshiriki michuano ya AFL.
Ikumbukwe kuwa Simba ndio mwakilishi pekee wa michuano hii kwa hapa Tanzania.
Simba imepangwa kukutana na mabingwa wa Afrika, Al Ahly ya Misri katika michuano...