rushwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Matatizo makubwa kwa Tanzania: Uongozi, Rushwa, unafiki aka Uchawa

    Matatizo mapya makubwa Tanzania ni 1. Rushwa. Rushwa ya uongozi hata kwa viongozi wa usalama ndiyo sababu ya wizi wa kura na mambo ya namna hiyo. Kutokuwa na adhabu kwa walarushwa wa serikali za kutosha na wanasiasi kununua hata wapinzani nayo ni rushwa. 2. Uongozi mbovu Mama Samia kashidwa...
  2. PreGE2025 Askofu KKKT Dk. Mbilu Watanzania msiwachague viongozi wanaotoa Rushwa

    Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini Mashariki Dk Msafiri Joseph Mbilu,amewataka waumimi na Watanzania kwa ujumla kujiepusha kuchukua rushwa kwa wanasiasa wanaotarajia kugombea nafasi mbalimbali za uongozi kwenye uchaguzi ujao na wasiwachague. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa...
  3. Waziri Mwigulu Nchemba akiwa na maongezi na Wafaransa, kujenga viwanda vya madawa

    Natazama hapa Waziri Mwigulu Nchemba akiwa na maongezi na Wafaransa, ati kujenga viwanda vya madawa. Kwanza, Kuna kiwanda cha madawa ya kukuua vidudu vya mbu Kibaha. Kiwanda hiki kimejengwa kwa ushirikiano na nchi ya Cuba. Kiwanda vile vile kinazalisha dawa za binadamu. Serikali yenyewe...
  4. M

    DOKEZO Uhaba wa watumishi wa afya unavyochochea rushwa Maswa

    Zipo tuhuma kwamba baadhi ya wagonjwa katika Halmashauri ya Maswa mkoani Simiyu wamekuwa wakitoa rushwa kwa wahudumu wa afya ili wapatiwe huduma mapema wanapofika katika vituo hivyo. Ni mbinu ya wagonjwa kukwepa misururu mirefu kupata huduma za afya. Mara nyingi malalamiko ya vitendo vya...
  5. Baraza la Aridhi wilaya ya Same ni bomu,litazamwe na Takukuru ila sio Takukuru Same limeoza linanuka RUSHWA.

    Kwa kweli Sina chuki na Mwenyekiti wa baraza la Aridhi wilaya ya same na Sina chuki na yule Binti hakimu Ila nmesikitihwa na kitendo cha kuwa wanaairisha nashauri zaidi ya mara Tano paspo kuwa na sababu ya msingi Mfano Kuna shauri Moja washitakiwa ni Mmoja na Taasisi mbili anae shitaki...
  6. PreGE2025 Stephen Wasira: Wanaogawa hela nawajua, Wapinzani watafaidika kama chaguzi zetu zitakuwa za Rushwa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) bara, Stephen Wasira, amewataka wanachama wa CCM katika wilaya za Karagwe na Kyerwa kupunguza matumizi ya fedha katika michakato ya uchaguzi wa ndani ya chama. Akizungumza na wanachama wa CCM siku ya Jumapili mkoani Kagera, Wasira amekemea vikali...
  7. Nchi nyingi Afrika hatuendelei sababu ya wizi uliokubuhu, wengi wanaokabidhiwa vitengo wanafilisi serikali

    Waafrika hatuendelei sababu ya wizi, wengi wanaokabidhiwa kitengo wanafilisi serikali. Vivuko vya kigamboni vimetushinda, magari ya mwendokasi yametushinda, reli ya tazara imetushinda wamepewa wachina waendeshe miaka 30. Tusijifiche kwenye mwamvuli wa dini, sisi wengi ni wezi, wala rushwa.
  8. Je, kama Simba wangeruhusiwa kufanya mazoezi, TPLB Ingeahirisha mchezo kisa usalama na rushwa?

    Kwa mujibu wa maelezo ya Bodi ya Ligi, Kwamba mchezo uliahirishwa kwa sababu za kiusalama na rushwa, Mbali na kwamba taarifa za kiusalama zilipaswa kutolewa mapema zaidi, Lakini mpaka kufikia masaa kadhaa kabla ya mchezo, Bodi ilisisitiza kwamba mchezo upo palepale, Kisha baada ya saa kadhaa...
  9. Bodi ya ligi wangeweza kufuta matokeo badala ya kufuta mechi kama walihisi kuna rushwa.

    Bodi ya ligi inahanyahanya iseme nini baada ya kuamrishwa na Simba ifute mechi ya derby. Kama takukuru ingethibitisha kuwa Yanga imetoa rushwa kwa yeyote ili kushinda mechi bado bodi ya ligi ingeweza kutumia ushahidi huo wa TAKUKURU kuipoka Yanga points 3 na kuipa Simba, lakini sio kuahirisha...
  10. Mama Samia umepiga bull: Kamishna wa Ardhi cheo cha rushwa kubwa.

    Mama Samia sasa anaenda kukata mzizi wa fitna kstika rushwa zinazotokana na Ardhi. Kamishna wa Ardhi na Idara yake nxima inalalamikiwa sana katika suala la rushwa ilinkuhudumiwa kupata uhalali wa Ardhi. Wafanyakazi chini ya Idara hii wana ukiritimba wa kutisha, ili kutengeneza mazingiraya...
  11. PreGE2025 Rais Samia kugawa bahasha kwa watumbuizaji ni sawa na kununua watu, anatuonesha hakubaliki bila 'zawadi'?

    Wakuu, Karibu wenye kila mkutano wa ndani ambao Rais Samia huwa mgeni rasmi, huwa kunakuwa na vikundi vywa kutumbuiza yaani wasanii wakubwa wa muziki, wa mashaiemri, kuna ngoma nk. Sasa wasanii hawa wakimaliza kufanya shughuli zao huenda moja kwa moja kwa Rais Samia kupokea bahasha zao na...
  12. J

    PreGE2025 UMEAHIRISHWA: Tunawezaje kuhakikisha kuwa Rushwa inakoma ndani ya vyama vya siasa kwa ya maendeleo ya jamii?

    Rushwa ndani ya vyama vya siasa inahujumu demokrasia kwa kupendelea wenye nguvu kifedha, huku ikiweka kando wagombea wenye sifa lakini wasio na rasilimali kubwa. Hali hii huzaa uongozi unaotanguliza maslahi binafsi badala ya sera zinazowanufaisha wananchi wote, hivyo kudhoofisha maendeleo ya...
  13. Z

    Ushirikina na Rushwa kutumika kusaka madaraka ni hatari.

    Tukatae kuwachagua viongozi wanao tumia nguvu za giza/ushirikina kupata uongozi. Imekuwa jadi kwa viongozi wengi katika nafasi zao kutumia USHIRIKINA kupata na fasi na kulinda nafasi zao. tuwakatae viongozi wenye tabia hizo. Unamkuta kiongozi hana uwezo wa kuiongoza hata familia yake lakini...
  14. Orania, Afrika Kusini: Kielelezo sahihi namna Ubinafsi, Rushwa na Siasa chafu zinavyoathili Maendeleo ya Waafrika na Usahihi wa sera za CHADEMA

    Amani iwe nanyi Wanabodi. Kila siku huwa nasema, mchawi katika maendeleo ya kweli kwa mwafrika ni akili. Sio rasilimali wala nguvukazi. Kati ya vitu ambavyo siku nikifika mbinguni nitakuja kumuuliza Mungu nikipata nafasi ni swali " Aliweka nini kwenye akili ya Mwafrika ikiwemo sisi Watanzania...
  15. PreGE2025 Kigamboni: Mwana CCM Habib Mchange akamatwa na TAKUKURU kwa Rushwa

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imemkamata mwanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Habibu Mchange kwa tuhuma za rushwa inayohusishwa na uteuzi wa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba mwaka huu. Mkuu wa TAKUKURU kanda ya Temeke, Joseph Makungu amesema...
  16. Mradi wa Soko la Mbuyumi: Mabadiliko ya Ajabu ya DC Moshi, kutokukemea Rushwa kwenye miradi ya maendeleo

    Katika mwaka wa 2024, tulishuhudia mtu mmoja akifanya kazi kubwa kama mkimbiza mwenge wa uhuru, akitafakari na kukagua miradi ya maendeleo katika maeneo mbalimbali nchini. Huyu si mwingine bali ni DC wa Moshi, ambaye alionekana kuwa na dhamira ya dhati ya kuleta mabadiliko chanya katika jamii...
  17. Wasafi FM, wanatupitisha kwenye ulaghai na utapeli wa ujenzi wa Barabara zisizokuwa na tija Tanzania. Je ni mamlaka, Engineers au Rushwa?

    Kwanza niipongeze WASAFI FM, nadhani ndio chombo cha habari huwa wanajadiligi ishu za msingi sana. Ni ngumu sana kwenda nchi za watu kukuta maujenzi ya barabara kila mwaka hususani maeneo ya mjini. Na hata barabara zinazojengwa mjini ndani ya miezi 6 barabara zinakuwa zimeharibika. Je tatizo...
  18. DOKEZO Rushwa imekithiri katika taasisi za serikali bila kitu kidogo hupati huduma bora kwa haraka

    Rushwa imekuwa kama ugonjwa katika taasisi nyingi za serikali, ambapo kila kitu kinaonekana kuendeshwa kwa mlungula. Bila bahasha, huwezi kupata huduma kwa wakati, na bila "connections," mambo yako yatakwama hadi uchoke, utazungushwa mpaka uchakae. Hakuna anaejali umetoka wapi unapigwa tu...
  19. U

    Hizo ndiyo dalili kuu za kutaka rushwa

    Wadau hamjamboni nyote? Nimeweka baadhi tu ya dalili za rushwa hapa chini: Kutopewa risiti ya malipo Kuambiwa sijanywa chai Majalada yana mavumbi Kutopatiwa nakala za hukumu kwa wakati Kuahirishwa kesi mara kwa mara Kutopatiwa jalada kwa wakati Kuchelewa kuhudumiwa bila sababu za msingi...
  20. Viashiria vya rushwa ICT commission na YAS - serikali ichunguze

    Tarehe 21 Feb ,ICT commission ilitoa tuzo muhimu tatu kwa kampuni ya YAS(zamani Tigo) Walishinda Tuzo tatu kama zilivyo hapa chini 1. Huduma Bora za Intaneti (Best Internet Service Provider) 2. Kampuni Bora ya Mawasiliano (Best Mobile Network Provider) 3. Mtumiaji Bora wa TEHAMA & Manufaa kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…