Video inayoonyesha askari polisi akiwa amelala chini imezua taharuki mitandaoni, huku ikidaiwa imerekodiwa katika kituo cha polisi bandari. Katika ujumbe ulioambatana na video hiyo, askari wanaodai kuwa wa kituo hicho walieleza kuwa wanakabiliwa na unyanyasaji mkubwa kutoka kwa viongozi wao...
Mnamo Septemba 18, 2025 katika mahakama ya wilaya ya Nachingwea limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22689/2025 mbele ya Hakimu Mwandamizi Mkuu Mh.J.Mnguto, Jamhuri dhidi Seleman Ajibu Chimogo ambaye ni Afisa Mtendaji wa Kata ya Lionja Halmashauri ya Wilaya ya Nachingwea.
Mshitakiwa...
Tume ya Kupambana na Rushwa ya Zimbabwe (ZACC), imetangaza kufungua upya jalada la Uchunguzi dhidi ya Mfanyabiashara Wicknell Chivayo kutokana na kuhusishwa kwake na masuala ya Rushwa na Ufisadi katika miradi aliyoifanya na Serikali.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na ZACC, imeeleza kuwa...
Katika Mahakama ya Wilaya ya Simanjiro Septemba 15, 2025 limefunguliwa shauri la Uhujumu Uchumi namba 22415/2025 mbele ya Mh. Onesmo Nicodemo Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya wilaya ya Simanjiro dhidi ya aliyekuwa mtendaji wa Kijiji cha Ruvu Remiti Wilaya ya Simanjiro, Godbless Felix...
Katibu mtendaji hafanyi hatimizi wajibu wake kimegeuka kijiwe cha kupiga soga na kuombana rushwa bila kutekeleza majukumu yake.
Hii Nactvet makao makuu ya Dodoma mnashindwaje kumaliza shida za wanaohusika, kazi ni kuombana posho mnashindwa kumsaidia raisi katika kuwatumikia wananchi.
Kazi...
Ameandika Makamu mwenyekiti wa CHADEMA Bara, John Heche kupitia ukurasa wake wa Instagram "Magari waliyopewa vyama vya mfukoni kufanyia kampeini ni rushwa.. Lengo ni kujaribu kuhalalisha uchafu huu unaoitwa uchaguzi. Bajeti ya serikali inapitishwa na bunge, Tume waseme wametoa hizo fedha wapi...
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.
“Tumesimamia matumizi mazuri, na...
Baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kueleza changamoto ya kuunganishwa na Huduma ya TTCL Fiber, kupitia ukurasa wa Instagram baadhi ya waliotoa maoni wamedai kuwa baadhi ya watendaji wamekuwa na tabia ya kuwataka wateja kulipia gharama (Rushwa) za miundombinu ikiwemo nguzo ili waweze kupata...
Kumekuwa na viashiria vya rushwa kwenye utoaji wa mikopo ya 10% kwa Vijana katika Wilaya ya Newala Vijijini Mkoani Mtwara.
Tuliunda kikundi na kufata taratibu zote lakini mwishoni tunaelezwa tutoe chochote ili waweze kupitisha ombi letu.
Maana ya kuomba mkopo ni dhahiri kwamba hatujitoshelezi...
Anonymous
Thread
mikopo
mtwara
newala
rushwa
viashiria
vijana
vijijini
wilaya
MGOMBEA wa Chama cha NLD, Doyo Hassan Doyo, amesema kuwa endapo atachaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatumia mbinu ya kipekee katika mapambano dhidi ya rushwa.
Doyo amesema watu wote watakaokamatwa na kuthibitika wamejihusisha na vitendo vya rushwa, watachapwa viboko 12...
Huu uzi uende sambamba na nyuzi hizi.
https://www.jamiiforums.com/threads/sare-za-traffic-wa-uganda-ni-za-ovyo-ukanda-huu-wa-afrika-mashariki.1983812/
https://www.jamiiforums.com/threads/sare-ya-trafiki-wa-uganda-unaipa-asilimia-ngapi.2272120/
Japokuwa rushwa ni rushwa lakini hapa unaweza...
Nimeshangaa kutosikia haya.
1. Kupambana na ubadhilifu kuwezesha TAKUKURU mbinu za kisasa kuzuia Rushwa.
2. Kuongeza uwajibikaji na kukomesha wafanyakazi wazembe
3. Serikali kuhakikisha utawala wa sheria unaimarika. Kuhakikisha ulinzi na usalama kwa raia wote.
4. Sijasikia akitaja mradi...
Maseneta sasa wametoa vitisho vya kuanzisha mchakato wa kuwapigia kura ya kutokuwa na imani (impeachment) Maspika wa Bunge la Kitaifa na Seneti iwapo hawatamuita Rais William Ruto kufika mbele ya Bunge kutoa ushahidi kuhusu waliotajwa kupokea hongo kutoka kwa maafisa wakuu wa serikali.
Wajumbe...
Kwasasa ukitembea mitaani utakutana na vitu vingi sana vyenye nembo ya CCM ambavyo watu wamepewa bure ikiwemo baiskeli na pikipiki ambazo zilitoka muda kidogo.
Mimi najiuliza kwanini vitolewe kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu??
Je Takukuru iko wapi na kwanini hawahoji hili...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita, imewakamata wajumbe wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Kata ya Nyankumbu Jimbo la Geita mjini walionekana katika picha mjongeo wakigawana rushwa katika mchakato wa uchaguzi ndani ya CCM huku taasisi hiyo ikiendelea na uchunguzi...
Rushwa yangu ya kwanza niliitoa mwaka 2010, nilipita njia niliyoona watu wengi wanavuka lakini haikuwa njia rasmi, siku niliyokamatwa nikaomba waniachie hawakunielewa, nikatoa elf 2 wakaniachia.
kukamatwa na bangi kiasi kidogo mfano msokoto - Elf 50 (mmalizane kabla hamjafika kituoni)
matrafki...
Baadhi ya viongozi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Geita Mjini mkoani Geita wameeleza kusikitishwa kwao na namna mchakato wa kura za maoni za kupata wagombea ubunge na madiwani ulivyokwenda huku wakidai kugubikwa na rushwa kwa baadhi wagombea na wajumbe.
Wakizungumza na JAMBO...
GʻT
Hawa wanaonunua uongozi kuna biashara gani wanaenda kufanya huko kwenye ofisi za umma ili pesa zao zirudi. Taifa lipo katika hali mbaya sana chini ya wanamtandao TAKUKURU nao wameng'olewa meno.
Kama ndiyo kupata uongozi ndiyo ulivyo tunaelekea pabaya. Katika zoezi la kura ya maoni Jimbo la Rorya RUSHWA ilitawala kwa kiasi kikubwa.
Kwa sasa kupata uongozi katika nchi hii aidha uwe Tajiri, uwe na connection na mengineyo mengi. Asilimia kubwa ya watia nia walioongoza kura za maoni...
Katika kura za maoni za CCM zilizopigwa hivi punde kama unataka kujua maana ya upatikanaji wa uongozi kwa njia ya rushwa nenda Mbulu, mkoa wa Manyara. Mbunge wa jimbo Mbulu mjini Zakaria Isaay rushwa alizotoa kuongoza kura za maoni inatisha. Mwenyekiti wa kitongoji moja alipewa mpaka Sh. Milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.