rostam aziz

  1. covid 19

    Hivi inawezekanaje mtu mmoja kama Rostam kuweza kuwapita akili na ku-outsmart viongozi

    Hivi inawezekanaje mtu mmoja kama Rostam kuweza kuwapita akili na ku-outsmart viongozi wetu wakubwa, wanasiasa, wakurugenzi, mameneja wa mashirika makubwa ya umma na hata vyombo vya ulinzi na usalama? Swali hili linaacha mshangao mkubwa. Je, ni kwa sababu yeye ni genius, au kuna udhaifu mkubwa...
  2. mirindimo

    PICHA: Magufuli alivyokutana Rostam kufungua kiwanda if you dont get forget about it

    Hii picha ya chini haihusiki na topic
  3. Griss

    Rostam Aziz na Kikwete watoke watoe maelezo ya kueleweka juu ya kifo Cha Magufuli!

    Hii sio bahati mbaya hata kidogo Kwa tuhuma hizi za Polepole, Gwajima na uko nyuma chadema waliwai kudokeza juu ya kifo Cha Magufuli. Ni wakati Sasa Rostam na Kikwete watoke front kukanusha tuhuma hizi wanazopewa. Hii sio afya kwa usalama wa nchi Hasira walizonazo wafuasi wa Magufuli...
  4. R

    Rostam ni mtu mwema sana, kama uliweza kufadhili Royale Tour, tulipie na deni la Taifa Trilioni 116 tafadhali

    Salaam! Tulipata msiba wa kufiwa na baba yetu, kiongozi wa shamba letu, Hata hatujapoa, akaibuka kibopa,tajiri mmoja mkarimu sana mwenye tabasamu la Mamba Rost Tamu,akaipenda familia yetu, akaahidi kutupenda Sisi na mama etu bila kutubagua. Aliweza kummsaidia sana mfiwa mamaetu kwa kumpeleka...
  5. R

    Rostam Aziz alitakiwa kuwa ndiye mlipa Kodi mkubwa kuliko wote wa nchi hii, kwanini Sivyo?

    Salaam! Mtu huyu anatajwa kumiiliki biashara kubwa kubwa Tena akizipata tenda za mamilioni na mabiioni zenye faida kubwa. 1. Tunaambiwa kwenye almasi yumo. 2.Migodi ya dhahabu yumo, 3. Makaa ya mawe yumo. 4. Gesi yumo. 5. Utalii yumo na Royo tua. 6. Usafiri na usafirishaji yumo. 7. Umeme...
  6. Heparin

    GE2025 Polepole: Agosti 29, 2025 nitafafanua mambo kuhusu Kifo cha Magufuli; Rostam na Kikwete, Kashfa mbalimbali, deni la Taifa na wezi wanakoficha pesa

    Miongoni mwa atakayozungumza: 1. Biashara za Rostam Aziz 2. Ziara ya Magufuli Morogoro, na mazungumzo yao kuhusu Rostam 3. Kashfa ya Uniform za Jeshi la Polisi ambayo kesi yake ilikuwa stori nyingine baada ya Magufuli kufariki 4. Wezi wanakoficha pesa 5. Kashfa ya kukomboa ndege Afrika Kusini 6...
  7. R

    Picha za Rostam Aziz kwenye harakati

    Rais Mstaafu Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi mgombea ubunge Jimbo la Igunga,Rostam Aziz katika uwanja wa SabaSaba mjini Igunga 2010 Rostam na Hayati Rais John Pombe Magufuli 2018 Katika zoezi la kurejea CCM, Lowassa aliambatana na swahiba wake wa muda mrefu ambaye pia aliwahi kuwa mbunge wa...
  8. tonicimmobility

    Kwahii speed hii ya Polepole hawa kuku ngbendu wa za BANGA hii miezi 2 wataiona miaka 30

    Polepole sio pole tena, usiku huhuu tayari kashawalipua CCM na mume wao Rostam Azizi. Utajiri wa nchi anakabidhiwa Rostam alafu utamskia mama anasema analinda mali za nchi kwa maslahi mapana ya umma, Polepole anauliza maslahi gani hayo mapana? Leo katukumbusha tena kuwa tumeuzwa tumepigwa bei...
  9. Heparin

    Humphrey Polepole: Rostam ni mfadhili mkuu wa wanamtandao, alipora 'Channel Ten', kauziwa kihuni mgodi wa Makaa ya Mawe na Serikali

    Anaandika Humprey Polepole kwenye Mtandao wa Instagram. Kisa cha wana wa Israeli waliotaka kurudi Misri wakiwa jangwani katika safari ya kuelekea nchi ya ahadi. Leo Channel 10, TV ya Chama imempa heshima Rostam Aziz kutoa nukuu baada ya taarifa ya habari akinibananga mie, nimeona niwakumbushe...
  10. Ex Spy

    Rostam Aziz ni mwanahisa mkubwa katika Kampuni iliyotajwa na Tundu Lissu kabla hajakamatwa!

    The Ngaka Coal Mine /Tundu Lissu's Arrest The Ngaka Coal Mine, located in Mbinga District, Ruvuma Region, is the same mine that opposition leader Tundu Lissu was speaking about shortly before his arrest. In 2011, the Government of Tanzania entered into a Public–Private Partnership (PPP) with...
  11. P

    Zitto Kabwe ni Asset ya Rostam Aziz ya Muda Mrefu Kimsingi Kawauza Wenzie wa ACT

    Bwana Zitto tangu akiwa chadema amekuwa akipata ufadhili wa kifedha wa Rostam. Uswahiba wao umeendelea zaidi hata wakati wa sakata la fedha za ESCROW ambapo zitto alikuwa upande wa Standard Chartered Hongkon yenye uhusiano na Rostam. JPM hakumpenda zitto maana alimjua ipasavyo vile vile...
  12. Fbn

    Kuna umihimu wa kuwa na askari wa mahakama sio askari magereza wa polisi

    Nilikuwa nafikiria hii kitu sababu ya kesi inayoendelea ya mchongo ya Lissu. Ila nikajiuliza kwa nini magereza wanajipa majukumu ya mahakama wakati sio ofisi zao. Ukiangalia kazi ya askari magereza ni kukufikisha mahakamani na kukubizi kwa askari ambo ni wa mahakama. Askari wa mahakama...
  13. Carlos The Jackal

    Mtanganyika LISSU ananyanyaswa na Rostam Aziz ,Vyombo vya Dola Hususani Polisi , Mahakama viko mfukoni mwake

    Inasikitisha sana, Yaan Mtanganyika , anaumizwa na Rostam Kwasababu ya Masilahi ya ROSTAM na Genge lake !!.
  14. Carlos The Jackal

    Polepole: Rostam Aziz ndiye anayeendesha biashara ya uchimbaji na usafirishaji wa makaa ya mawe

    Wakuu kuna MTU aliwahi kusema TUNDU LISSU Alikamatwa Kwa maelekezo ya ROSTAM AZIZ mara baada ya TUNDU LISSU kugusia Usafishaji wa kimagendo wa Makaa ya Mawe na Madini ya Uranium Tani Kwa matani kwenda nje ya Nchi . Humu JF pia Kuna mdau aliandika kua Madini haya yamekua yakisafirishwa Kila...
  15. Carlos The Jackal

    Humphrey Polepole amjibu Rostam Aziz na kuongelea kuvuliwa kwake Ubalozi

    https://www.youtube.com/live/dn9GFRy874c?si=sThD_It5uyI8Jnm-
  16. Just Pray

    GE2025 Polepole: Kuongea na watanzania Agost 6, saa 2:00 kuhusu mustakabali wa taifa

    Huu ni ujumbe wa Humphrey Polepole kupitia ukurasa wa Instagram asubuhi hii. Leo Jumatano saa 2:00 Usiku saa za Afrika Mashariki nitasema nanyi kwa Habari ya Mambo mawili;- 1. Mustakabali wa mbele wa Nchi yetu na Taifa katikati ya Mkwamo tulionao, na, 2. Nitatumia muda huo kumjibu Mwana CCM...
  17. Jidu La Mabambasi

    Tumchambue Rostam Aziz, ni mjamaa mwana CCM kweli?

    Billionea Rostam Aziz 'kada' wa CCM Moja ya misingi ya Imani ya mwana CCM ni kwamba : Binadamu wote ni sawa Kila mtu anastahili heshima ya kutambuliwa na kuthaminiwa utu wake jamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru Pamoja na Imani hizi ambazo ni...
  18. Griss

    Kwanini Rostam Aziz ana uraia wa Uingereza?

    Inakuwaje Rostam Aziz ana uraia pacha wakati Watanzania haturuhusiwi kuwa na uraia pacha? Yeye ana uraia wa TANZANIA na UK Kama anabisha aje akanushe na serikali ije ikanushe aliwezaje kuwa raia wa uingereza wakati ni raia wa TANZANIA? Huyu mtu ndio maana sio mwema kwa Tanzania.
  19. Ileje

    GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

    ==== Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi -...
  20. Ojuolegbha

    GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

    Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na...
Back
Top Bottom