rostam aziz

  1. Ileje

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kada wa CCM ampasua Rostam Aziz!

    ==== Alichokizungumza ni kuwa hoja za Rostam Aziz ni dhaifu kwenye kumjibu Humphrey Polepole. Amesema hayuko upande wa Polepole lakini hoja za Rostam Aziz si sahihi hivyo ametoa wito kwa CCM kutumia wasomi wa kumjibu Polepole Pia Soma >> GE2025 - Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi -...
  2. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania GE2025 Polepole ni mwana CCM wa itifaki na maslahi - Rostam Aziz

    Aliyewahi kuwa mjumbe wa kamati kuu ya Chama Cha Mapinduzi CCM na mbunge wa Jimbo la Igunga kwa miaka 18, mfanyabiashara Rostam Aziz amesema ukosoaji unaofanywa na Balozi Humphrey Polepole juu ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan na Chama cha Mapinduzi ni kutokana na kiongozi huyo kutokuwa kuwa na...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Ilikuwaje Rostam Aziz akapewa nafasi kuwakilisha sekta Binafsi kwenye siku muhimu !?

    Rostam Aziz ni Mfanya biashara mkubwa .Pengine ndiye Mfanyabiashara mkubwa aliyewahi kuingia kwenye siasa kwa kiwango cha juu.Mohamed Dewj pia anaweza kuingia katika orodha hii.Tofauti yao ni kuwa Rostam amekuwa akiingia katika Sayansi ya Siasa kimkakati zaidi. Katika Hali hii ya ushiriki wake...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Mfumo sekta za kibenki uliopo hauruhusu mfanyabiashara wa kitanzania kukua

    Mwakilishi wa Sekta Binafsi, Rostam Azizi, ametoa wito kwa wadau wa maendeleo ya uchumi kufanya mabadiliko makubwa katika sekta ya kifedha ili kuhakikisha wafanyabiashara wa Kitanzania wanapata mitaji ya kutosha kwa ajili ya kuwekeza na kukuza biashara zao. Amesema mfumo wa sasa wa benki nchini...
  5. Benson Mramba

    JamiiForums Tanzania Kwa namna moja au nyingine kesi ya Lissu inaweza kuja kumtetea Rostam Aziz

    Rostam Aziz aliposema hakuna Mwekezaji anayeweza kuja kuwekeza mabilioni yake hapa nchini huku akijua kuwa wakati wa mgogoro kesi itapelekwa Kisutu ambapo Mahakimu.......... Watu wa mahakama walifura na kuja juu sana hadi kumfanya ndugu Rostam Aziz kuamua kuomba radhi ili yaishe. Kesi hii ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania TBT: Reginald Mengi na Rostam Aziz walikuwa na ugomvi gani mkubwa kiasi cha wao kuchukiana kiasi hiki?

    Habarini, Wahenga mtakumbuka Reginald Mengi na Rostam aziz waligombana hadi kufikia hatua ya kuitana mafisadi papa kwenye vyombo vya habari Kwenye msiba wa Reginald Mengi nafikiri Rostam Aziz hakwenda Kilichonishangaza zaidi leo nimeona interview ya Rostam Aziz YouTube kwenye Millard ayo...
  7. Vichekesho

    JamiiForums Tanzania Kwanini kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu ambayo ni Rostam Aziz?

    Kwenye hii kampeni ya kutumia nishati safi viongozi wa serikali wanagawa mitungi ya Taifa Gas tu (kampuni ya Rostam Azizi). Je kwanini hawagawi mitungi ya O-gas, Manjis, Oryx, Lake nk? Kwanini Taifa Gas tu? Au ndiyo kulipa fadhila za mchango aliotoa mfanyabiashara huyo kuchangia mradi wa Royal...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz: Nimekuwa Kwenye Biashara kwa miaka 32 Sasa, kuchelewa Mradi wa Gesi Asilia ilikuwa ni kupata Mkataba Bora na Kuepuka Laana ya Rasilimali!

    KADA Maarufu wa CCM na mfanyabiashara aliyeahidiwa Ubunge Jimbo la Morogoro Mjini na Shujaa Magufuli ndugu yetu Rostam Aziz amesema Uwekezaji umeendelea kuimarika kutoka Viwango vidogo hadi vikubwa katika vipindi vyote vya Utawala. Aziz amesema amekuwa kwenye biashara kwa miaka 32 Sasa na...
  9. jMali

    JamiiForums Tanzania Jina la Azizi lilivyo na “bahati” Tanzania

    “Hakuna mwekezaji atawekeza kwenye nchi ambayo kesi ikipelekwa hapo Kisutu kiongozi yoyote anaweza kupiga simu akaielekeza mahakama nini cha kufanya.” –Rostam Abdulrasul Aziz, June 26 2023. Angalizo: Bahati hii haihusishi Maazizi wote, sio wewe Aziz Ali wa Mtongani wala Aziz ki! Usijichanganye...
  10. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Mahakama yakataa maombi ya Serikali, Dhamana ya Boni Yai sasa kutolewa Oktoba 7, 2024

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imetupilia mbali maombi ya Serikali kuwasilisha kiapo cha ziada katika kiapo cha awali cha kupinga dhamana ya aliyewahi kuwa Meya wa Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob, maarufu kama Boni Yai. Jacob, maarufu kama Boni Yai, mkazi wa Mbezi Msakuzi, Dar es Salaam...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Rostam: Tuungane kukomesha vitendo vya kishetani katika nchi yetu. Poleni CHADEMA

    TAARIFA YA ROSTAM AZIZI KUFUATIA MAUAJI YA KIONGOZI WA KISIASA Katika siku za karibuni nchi yetu imeshuhudia kujirudia tena kwa matukio ya kikatili ambayo yamehusisha kuripotiwa kwa vitendo vya utekaji, utesaji na jana tukashuhudia tukio baya zaidi la mauaji ya kiongozi wa Chadema, Ndugu...
  12. S

    JamiiForums Tanzania SERIKALI ITUPIE JICHO WIZARA TATU:-KILIMO, MADINI NA NISHATI ROSTAM AZIZ YUMO.

    Umakini unahitajika wizara Tatu, upigaji wa Rostam Aziz na kutumia picha alizopiga na Rais kutisha wawekezaji wazawa. (1). Wizara ya Kilimo, wizara hii sitashangaa na sikushangaa sakata la sukari na makarate ya kugawa vibali vya kuagiza Sukari na kampuni za simu, stationery nk Waziri wa kilimo...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Rostam Aziz na FAIDA ya kuwa karibu na Mtoto wa Rais

    Rostam Aziz anasemekana kuwa na kampuni hidden 80, kweli una nia njema na Serikali ya Dr. Samia una kampuni zaidi ya 80 za siri why? Lazima Rostam Aziz aangaliwe watanzania tusije kulia mbeleni. Rostam Aziz ameendelea kutisha wawekezaji wazawa nchini, Sawa Kwenye Sukari ametumia kampuni za...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Swala Solution na Barrick Corporation kulikoni? Kampuni ya Twiga iko wapi?

    Kulikoni? Swala Solution, Barrick Gold Corporation na Rostam Aziz huko Kwenye Migodi Yetu? Kwa nini Kuna asili ya watu Fulani wenye asili Fulani ndo wanapewa Nguvu na Barrick Gold Kwenye Migodi?kwa Nini wanatamba kuwa Rostam Aziz hafanywi Chochote na watachukua Kazi zoote za wazawa migodini...
  15. Heparin

    JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Longido yaipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit kwa miaka 15

    Halmashauri ya Longido imeipa familia ya Rostam Aziz mapori 3 kwa uwekezaji wa Carbon credit wa miaka 15 kwa malipo ya Tsh. Milioni 10 kwa kila pori kwa mwaka. Mkataba huo umesaniwa na Akram Azizi ambaye ni Director wa kampuni iliyoingia mkataba huo ya Kilombero North Safaris. Marejeo na...
  16. Ex Spy

    JamiiForums Tanzania The Network: Abdul kiungo muhimu kati ya Rostam Aziz na Mukhsin Patel upande mmoja na Sameer Karim Alibhai na W. Salum upande mwingine

    Kuna mambo mengi yatafunuka ndani ya siku chache zijazo kuhusiana na huu mtandao. Kwanini tunarudishwa kwenye ujinga uleule? Rostam, you can do better than this! Enzi za JK hukujifunza mzee? Elewa kuwa kila hatua, kila kinachofanyika - viko well documented. Ni suala la muda tu.
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, anguko la Rostam Aziz na wenzake kupitia agenda feki ya kujivua gamba mmesahau?

    Watanzania acheni kuwa vichwa panzi, Chini ya Kikwete CCM ilikuja na agenda ya kujivua Gamba, machawa wakuu wa kupayuka kauli mbiu hio walikuwa Ndugu Kinana na Nape. Miongoni mwa waliofedheheshwa na kuabishwa ni Rostam Aziz, Lowasa na wengineo. Msisahau waliosalitiwa nchi hii ni wengi...
  18. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya aliyewahi kuwa Waziri Mkuu, Hayati Edward Lowassa, Februari 17, 2024

    Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Zamani wa Monduli (CCM) Hayati Edward Lowassa anazikwa leo Nyumbani kwake, Monduli. Mazishi haya yamehudhuriwa na viongozi wakuu wa Nchi wakiongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan. https://www.youtube.com/live/v2qFUEf1N_s?si=0DxihDr8JzbqfhH_ Waombolezaji wametoa...
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Video: Rostam Aziz awasili Monduli kumuaga Lowassa

    Mfanyabishara, mwanasiasa nguli na swahiba wa karibu wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Edward Lowassa amewasili nyumbani kwa kiongozi huyo Ngarash wilayani Monduli mkoani Arusha kushiriki shughuli za kuaga mwili wa Lowassa zinazoendelea nyumbani kwake leo Ijumaa.
  20. Truth Bot AI

    JamiiForums Tanzania Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Aziz?

    Nawasalimu. MIMI NI MZALENDO.. Tumeshuhudia Safari nyingi za Rais Samia za nje ya nchi zote Rostam lazma awepo iwe safari ya India au zingine zote. Leo Rostam kaingia live kuelezea kuhusu Lowassa cha ajabu location yake inasoma VATICAN wakati huo Rais na yeye akiwa huko. Kwani Rostam yeye...
Back
Top Bottom