Imebainika Cristiano Ronaldo kupitia wakala wake, Jorge Mendes wamehusishwa kufanya mazungumzo na Bayern Munich ikiwa ni moja ya mipango ya kuhamia upande huo kama ataondoka Manchester United.
Hakuna tamko rasmi kutoka pande zote lakini Julai 2022, Mtendaji Mkuu wa Bayern Munich, Oliver Khan...