Cristiano Ronaldo kuondoka Manchester United mara moja kwa makubaliano ya pande mbili

Influenza

JF-Expert Member
Jul 1, 2018
1,445
3,403
Manchester United imethibitisha kuwa Cristiano Ronaldo anatarajiwa kuondoka Klabuni hapo mara moja kwa makubaliano ya pande zote mbili

Klabu hiyo imesema “Inamshukuru kwa mchango wake mkubwa katika vipindi viwili akiwa Old Trafford, akifunga magoli 145 katika michezo 346”

Hatua hiyo inakuja baada ya Nyota huyo huishutumu Klabu hiyo kutokuwa na mipangp ya maendeleo na kusema hana heshima kwa Kocha Erik ten Hag kutokana na Kocha kutompa heshima
===

Cristiano Ronaldo is to leave Manchester United by mutual agreement, with immediate effect.

The club thanks him for his immense contribution across two spells at Old Trafford, scoring 145 goals in 346 appearances, and wishes him and his family well for the future.

Everyone at Manchester United remains focused on continuing the team’s progress under Erik ten Hag and working together to deliver success on the pitch.
 
Baada ya siku chache tangu kuachiwa kwa interview kati ya Mwandishi nguli na Cristiano Ronaldo, klabu ya Manchester United imeamua kuachana rasmi na nyota huyo haraka iwezekanavyo Makubaliano ya pande zote.

Ijapokuwa kulikuwa na tetesi ya Ronaldo kuachana na Manchester United, lakini mahojiano yale yalichochea zaidi tetesi hizo..

Ingelikuwa ni ajabu kwa mchezaji huyo kuendelea kusalia baada ya tuhuma hizo .
 
We love you too, but you're not bigger than club.
1669141677985.jpg
 
Back
Top Bottom