Ronaldo: Tangu kuondoka kwa Ferguson maendeleo ya Man United ni sifuri

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,308
5,460
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo).

Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka Ronaldo aondoke.

Aidha, ameishutumu klabu hiyo kwa kutokuwa na mipango mikakati ya kimaendeleo tangu kuondoka kwa Alex Ferguson akidai kuwa vitu vimebaki kuwa vilevile, inadaiwa kauli zake hizo zimewasikitisha wachezaji wa United huku klabu ikiwa haijatoa tamko lolote.

===============

Cristiano Ronaldo accuses Manchester United of 'BETRAYING' him in explosive interview with Piers Morgan, as he blasts Erik ten Hag: 'I don't have respect for him because he doesn't respect me'

Cristiano Ronaldo has launched an astonishing attack on Manchester United and manager Erik ten Hag that looks certain to end his Old Trafford career.

Ronaldo accused Ten Hag and United executives of trying to force him out of the club, saying he has no respect for the Dutchman and feels 'betrayed'.

'I don't have respect for him because he doesn't show respect for me,' said Ronaldo.

'Some people, they don't want me here - not only the coach but the other two or three guys. Not only this year, but last year too.

'Honestly, I shouldn't say that. But listen, I don't care. People should listen to the truth. Yes, I feel betrayed.'

Ronaldo missed United's last game before the World Cup through illness on Sunday, but Ten Hag will be incandescent that the 37-year-old's comments will overshadow the 2-1 win at Fulham and Alejandro Garnacho's injury-time goal.

The United boss thought he had settled his differences with Ronaldo after the player was dropped and fined for refusing to come on as a substitute against Tottenham last month and then leaving before the game had finished.

The five-time Ballon d'Or winner was allowed back into the squad after apologising and was even made team captain at Aston Villa last week.

However, Ronaldo's outburst makes it almost impossible for him to stay at Old Trafford beyond the January transfer window, leaving United and Ten Hag with little choice but to find him a new club.

His team-mates were said to be deeply disappointed by his comments on Sunday night and see it as way to force his departure from Old Trafford which they now believe is inevitable.

In the explosive interview with his friend Piers Morgan on TalkTV, Ronaldo also criticised the club's last of progress since he first left in 2009.

He added: 'Since Sir Alex Ferguson left I saw no evolution in the club, the progress was zero.

'Nothing changed. Not only the pool, the jacuzzi, even the gym. They stopped in time, which surprised me a lot.

'I think the fans should know the truth. I want the best for the club. But you have some things inside [the club] that don't help reach the top level as City, Liverpool and even now Arsenal.'

Source: DailyMail
 
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo)...
Kristina Ronaldo ataondoka na Man Itaendelea kuwepo.... Kama ambavyo Abdallah Kibaden na Sunday Manara walivyoondoka Simba na Yanga

Mayele na Chama pia wataziacha Simba na Yanga zikiwa Imara

Kristina akubali tu kuwa zama zake zimepita... Mbona swahiba yake Messi katulia tu?
 
Akili inataka ila mwili unagoma,

CR7 angepumzika tu, hakuna cha maana au cha ajabu ambacho anaweza kukifanya kwa sasa,

Akamalizie tu World cup yake ya mwisho Qatar kisha atulie na kula maisha.
 
shida yake nikutaka vyote mshahara mnono anautaka pia bado anataka kubaki kwenye tim kubwa kitu ambacho kwa umri wake hakiwezekani angeenda zake China au urabuni akajipigia hela zake miaka2 anarudi ulayu kwenye dili za uchambuz
 
Kristina Ronaldo ataondoka na Man Itaendelea kuwepo.... Kama ambavyo Abdallah Kibaden na Sunday Manara walivyoondoka Simba na Yanga

Mayele na Chama pia wataziacha Simba na Yanga zikiwa Imara

Kristina akubali tu kuwa zama zake zimepita... Mbona swahiba yake Messi katulia tu?
Katoa mawazo yake kama mtu mwingine yoyote anavyoweza kutoa pale anapofanyia kazi.Na kaongea ukweli kwasababu toka ferg aondoke Man U imekua haieleweki ma tatizo linaanzia kwenye managment ya timu kutotafuta kocha mkubwa mwenye level za club.Kwahiyo sidhan kama alichokiongea kinahusiana na umri au kutaka kufia man u bali katoa maoni yake ili yafanyiwe kazi.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Cristiano Ronaldo ameishutumu Manchester United kuwa imemsaliti na kudai kuwa hana heshima kwa kocha wake, Erik ten Hag kwa kuwa yeye (kocha) hajaonesha heshima kwake (Ronaldo).

Amedai kuwa Ten Hag na watu wengine watatu ndan ya Manchester United walikuwa wakitengeneza mazingira ya kutaka Ronaldo aondoke.

Aidha, ameishutumu klabu hiyo kwa kutokuwa na mipango mikakati ya kimaendeleo tangu kuondoka kwa Alex Ferguson akidai kuwa vitu vimebaki kuwa vilevile, inadaiwa kauli zake hizo zimewasikitisha wachezaji wa United huku klabu ikiwa haijatoa tamko lolote.

===============

Cristiano Ronaldo accuses Manchester United of 'BETRAYING' him in explosive interview with Piers Morgan, as he blasts Erik ten Hag: 'I don't have respect for him because he doesn't respect me'

Cristiano Ronaldo has launched an astonishing attack on Manchester United and manager Erik ten Hag that looks certain to end his Old Trafford career.

Ronaldo accused Ten Hag and United executives of trying to force him out of the club, saying he has no respect for the Dutchman and feels 'betrayed'.

'I don't have respect for him because he doesn't show respect for me,' said Ronaldo.

'Some people, they don't want me here - not only the coach but the other two or three guys. Not only this year, but last year too.

'Honestly, I shouldn't say that. But listen, I don't care. People should listen to the truth. Yes, I feel betrayed.'

Ronaldo missed United's last game before the World Cup through illness on Sunday, but Ten Hag will be incandescent that the 37-year-old's comments will overshadow the 2-1 win at Fulham and Alejandro Garnacho's injury-time goal.

The United boss thought he had settled his differences with Ronaldo after the player was dropped and fined for refusing to come on as a substitute against Tottenham last month and then leaving before the game had finished.

The five-time Ballon d'Or winner was allowed back into the squad after apologising and was even made team captain at Aston Villa last week.

However, Ronaldo's outburst makes it almost impossible for him to stay at Old Trafford beyond the January transfer window, leaving United and Ten Hag with little choice but to find him a new club.

His team-mates were said to be deeply disappointed by his comments on Sunday night and see it as way to force his departure from Old Trafford which they now believe is inevitable.

In the explosive interview with his friend Piers Morgan on TalkTV, Ronaldo also criticised the club's last of progress since he first left in 2009.

He added: 'Since Sir Alex Ferguson left I saw no evolution in the club, the progress was zero.

'Nothing changed. Not only the pool, the jacuzzi, even the gym. They stopped in time, which surprised me a lot.

'I think the fans should know the truth. I want the best for the club. But you have some things inside [the club] that don't help reach the top level as City, Liverpool and even now Arsenal.'

Source: DailyMail
Anajua hata baada ya world cup dirisha la usajili halitakuwa mbali bye bye Ronaldo
 
ni kama di maria tu.. alienda copa america
na hakurudi tna utd ;namuona CR7 nae
anapita umo umo.. hwa ni wachezaji wa UCL..

hwataki kucheza tournaments ndgo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom