Watu watano wameuawa Jumanne katika shambulio la risasi katika mji wa Israel wa Bnei Brak, kitongoji cha mji wa Tel Aviv.
Ni shambulizi baya la tatu katika siku za karibuni.
Siku mbili zilizopita, maafisa wawili wa polisi waliuawa kwa kupigwa risasi katika mji wa Hadera. Wiki moja kabla, watu...