riba

  1. L

    JamiiForums Tanzania Riba ya mikopo benki itashuka lini?

    Nimetembelea mabenki matatu makubwa nchini bado riba inacheza 17%-19%. Benki ya wazanzibari wao kidogo wana pungufu 12% - 16% Tuliambiwa serikali imeingiza Trilioni 1 kwenye mzunguko na riba itashuka hadi 8% ila hadi leo kimya. Shusheni riba watu tukope tukalime mahindi Katavi.
  2. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Serikali imelipa zaidi ya 2.9 bilioni kama riba ya ucheleweshaji wa malipo kwa makandarasi, Prof: Assad anajifunza nini hapa?

    Wakati ujenzi wa kipande cha Dar – Morogoro ulitakiwa kukamilika katika kipindi cha miezi 30 baada ya kuzinduliwa, na muda huo umepita, haifahamiki sababu za kuchelewa kwake wala siku ya kuanza kutumika. CAG Charles Kichere alibainisha katika ripoti yake ya miradi ya maendeleo ya mwaka 2019/20...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wito wa serikali kuzitaka Taasisi za fedha kushusha viwango vya riba upewe mkazo

    Salam ndugu wana JF! Moja kwa moja kwenye maada, ndugu zangu kwa muda mrefu kumekuwapo na wito na maagizo mengi ya serikali kuzitaka taasisi za fedha kushusha riba wanazotoza katika mikopo wanayotoa kwa wanananchi. Kila linapojitokeza tukio linalomkutanisha ama Rais, Makamu wa Rais, Waziri...
  4. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Benki gani haisumbui kutoa Mkopo na yenye Riba nafuu?

    Wadau naomba mnisaidie ushauri bank gani nzuri kwa mfanyakazi au mfanyabiashara katika kutoa mikopo na kuwa na Riba Nafuu? Ukiondoa NMB na CRDB. naombeni ushauri katika hili ili leo hii nikafungue account. Kuna watu wa banks flani wamenikwaza sana. Nataka kuhama hizo banks.
  5. Wasomba

    JamiiForums Tanzania Agizo la Serikali la kushusha riba za mikopo limeshaanza kutekelezwa?

    Kumekuwa na agizo la Serikali lililotolewa miezi michache iliyopita ya kuyataka mabenki kushusha riba ili kuongeza ukwasi mitaani. Naomba kufahamu kama agizo hilo limeshaanza kutekelezwa.
  6. Tlmau

    JamiiForums Tanzania Viwango vya riba (Interest rate) thread

    Habari,naitwa Titus Devis.. karibu sana tuongee kuhusu viwango vya riba au interest rate kwa lugha ya kigeni Kwanza kabisa tuanze na viwango vya riba ni nini (what is interest rate) -Viwango vya riba ni kiasi cha pesa ambacho kinaongezeka kwenye pesa ambayo mkopaji amekopa baada ya muda...
  7. x - mas

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Watumishi wakopeshwe pensheni yao kwa riba ndogo au bila riba badala ya kutegemea mikopo ya mabenki yenye riba kubwa

    Ukifikiria kiundani utagundua mtumishi anufaiki sana na mkopo anaokopa, wanufaika wakubwa wa mikopo kwa wafanyakazi ni mabenki/taasisi zinazohusika na ukopeshaji kupitia faida inayotokana na riba, mikopo inapelekea chanzo cha Maisha magumu kwa watumishi waliowengi huku ikiwaacha wakopeshaji wa...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Napendekeza kuvuka daraja la Kigamboni iwe bure, then NSSF walipwe na Serikali kwa riba kama mikopo mingine

    Huu hautakuwa mkopo wa kwanza kwa NSSF kuutoa kwa Serikali, Mabibo hostel, General Tyres upgrading, Machinga Complex na miradi mingine mingi isiyo na tija imepata mikopo toka NSSF, iweje kwa daraja la Kigamboni isiwe tu mkopo na ukalipwa taratibu na serikali kwa riba? Hii itapanua wigo wa...
  9. successiful dreamer

    JamiiForums Tanzania Je, kuna mabadiliko yoyote ya riba kwenye Benki?

    Habari ya uzima wanajamvi? Natumaini wote tumejaliwa zawadi adhimu ya uhai na Mola yeye atuwezeshaye kufanya yote tuyafanyayo kila siku. Naomba niende moja kwa moja kwenye mada au jambo nililopenda kulijua kutoka kwenu.Mimi nipo kijijini kwa mda mrefu sijafika mjini. Huku niliko hakuna Benki...
  10. X

    JamiiForums Tanzania Maombi ya uwezeshwaji kwa riba

    kwa jina naitwa david nahitaji mkopo wa haraka kiasi ni sh. 700,000 nitarudisha 1,000,000 kwa muda wa miezi 5...dhamana ni kadi ya gari la mzazi
  11. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Mikopo ya Wahisani ina Riba kubwa

    Rais Samia Suluhu Hassan amewaambia watanzania kwa sasa wahisani hawaleti misaada nchini, wanataka biashara ili kugawana faida Amesema kwa sababu hiyo ni lazima tujinyang'anye wenyewe ili kufadhili miradi ya nchi hii Ameyasema hayo alipokuwa Tegeta akisalimia wananchi akiwa katika safari ya...
  12. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Tuache Siasa, Riba ya Mabenki ya biashara kukopesha Raia ni suala la Vihatarishi na sio maamuzi ya Serikali

    Riba ya Mabenki kukopesha wateja wao sio suala la kisiasa, Huwezi ukasema kuanzia Leo Mabenki ya biashara riba ya kukopesha iwe asilimia kumi 10% Mabenki kukopesha Raia au wateja wake kinachoangaliwa ni: 1. Vihatarishi (Risk) vinavyoizunguka biashara au kazi ya mteja husika, Biashara au kazi...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hatua ya BOT kuhakikisha riba inayotozwa na mabenki inashuka, inahusu na riba ya mkopo ya wafanyakazi itayotolewa na Mabenki ya Biashara?

    Nimesoma taarifa ya BOT inayoongelea kushusha riba kwa wakopaji katika mabenki ya kibiashara lakini nimeshindwa kuelewa kama punguzo hilo litagusa mikopo inayotolewa na mabenki kwa wafanyakazi Nauliza hivi kwasababu taarifa ya BOT inaongelea punguzo kwa sekta binafs pamoja na sekta ya...
  14. The Assassin

    JamiiForums Tanzania BoT: Hatua za kisera kuongeza upatikanaji wa mikopo kwa Sekta Binafsi na kupunguza viwango vya riba

    Benki kuu ya Tanzania imetoa muongozo wa benki za biashara kupunguza riba kwa sekta binafsi. Benki kuu imetenga fungu la Trilioni moja ambayo itatumika kuzikopesha benki na taasisi za fedha kwa riba ya 3% na kutaka benki zitoe mikopo kwa riba isiyozidi 10%. Binafsi napongeza hizi hatua za...
  15. kipoma

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa Riba mpya za mabenki kwa wakopaji

    Habari wadau? Mwenye kujua kwa sasa RIBA mpya za mabenki baada ya tamko la serikali kuiagiza BOT ishushe riba kwa mabenki ili nazo zishushe kwa wakopaji wao, atujuze!
  16. Grahams

    JamiiForums Tanzania Dhana ya Kuinuana Kiuchumi baina ya Wanafamilia; Kuna haja unapompa ndugu yako Mtaji wa biashara umtoze riba ili kuongeza uwajibikaji?

    Binafsi naamini kwenye familia, mmoja anaweza kuinuliwa ili aweze kuwainua wengine. Ndiyo maana kwenye maandiko Kitabu cha Mwanzo 42:25-28 unaona Yusufu alivyoinuliwa ili kuwasaidia ndugu zake. Kuna mtu anaweza kujiuliza kwani ni lazima kuwasaidia ndugu zako, Jibu sio lazima (Sijui kama kuna...
  17. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Baada ya Dkt. Magufuli kuondoka, je Benki zitapandisha riba za mikopo?

    Watumishi wa umma watamkumbuka sana Magufuli kwenye mikopo. Kabla Magufuli hajachukua nchi mwaka 2015 riba za mikopo ya kawaida ya watumishi ilikua ni kuanzia 20% hadi 25% kwenye mabenk yetu. Ilikua ukokopa milioni 10 kwa miaka 5 utalipa milioni 20. Baada ya Magufuli kuingia alizishawishi bank...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Riba za bank za Tanzania ni kikwazo cha maendeleo

    Sababu mojawapo ya Tanzania kuwa na ajira ndogo ni riba kubwa za mikopo ya bank zetu. Imefika wakati hata Kimei ambaye alikuwa mkurugenzi wa CRDB kasema bungeni. Riba ikiwa kubwa biashara ndogo ndogo hazitaweza kukopa hivyo haziwezi kuwekeza kwenye ukuaji wa biashara. Hii inasababisha ajira...
  19. sammosses

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya kukopesha pesa kwa riba yamerudi rasmi

    Uchumi wa nchi umekuwa Sana na kufikia uchumi wa kati kabla ya muda ulio kusudiwa, maanake tume break event.lakini Maisha ya Watanzania hayahakisi uhalisia wa mabadiliko hayo ya uchumi. Makamu wa rais amesema kuwa Hali ya umaskini kwa Watanzania ni mbaya Sana,wananchi zaidi ya milioni 14...
  20. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Serikali iwasaidie mama lishe kupata majiko na mitungi ya gesi kwa riba nafuu

    Nilimsikiliza Rais katika ufunguzi wa kitu cha mabasi Magufuli kule Mbezi akitambua mchango wa mama lishe katika jamii. Mama lishe wengi wanatengeneza chakula katika hali ngumu sana. Wengi wanatumia kuni kama nishati ya kupikia, sshemu wanazopikia ni duni na mvua ikinyesha wanapata adha...
Back
Top Bottom